Je, tetesi hizi zina ukweli?

Je, tetesi hizi zina ukweli?

ulichoandika na hiyo biashara yako uliyokuja kuifanya dar mnaendana
 
Kwa hiyo kama ni shoga wewe unataka kujua ili iweje? utanufaika kibiashara, utaomba mchezo au hasa utaongeza au kupunguza nini??

The World will be a better place only if everyone will mind their own life.
Kila mtu akishika hamsini zake ktk hii dunia usingekuwa hapo ulipo acha kujisahaulisha mkuu. Kumbuka mpaka kufika hapo ulipo kuna watu wamehusika bila wewe kuwalipa hata asante.
 
Kila mtu akishika hamsini zake ktk hii dunia usingekuwa hapo ulipo acha kujisahaulisha mkuu. Kumbuka mpaka kufika hapo ulipo kuna watu wamehusika bila wewe kuwalipa hata asante.
Soma tena ulichoandika then come back to argue otherwise you look pathetic on your comment.
 
Mtu Akiwa Maarufu Haachwi Kupakwapakwa Matope Achafuke Ili Brand Na Image Yake Ibomoke. Haingii Akilini Mwana Gospel Musician Kama Yule Ajihusishe Na Ushenzi Kama Huo Ni Dhambi Ya Ulawiti. Mchungaji Gani Anakaa Na Walawiti? Dhambi Ni Mbaya Haijawahi Kumuacha Mtu Salama Akastawi, Mungu Hadhihakiwi
Usimkanie mtu mkuu ambaye huishi naye wala hujazaliw Naye.kila kitu kinawezekana mkuu.Alisema zamani alikuwa mlevi wa kutupwa je unajuaje hakuwahi kufirwa huko wakati ni mlevi?
 
Si ajabu maana hata Uingereza kuna Askofu Muangalikana ni mke (dume) wa mtu.
Lakini pia huko Catholic tumesikia Mafather wengi wapenda marinda.

Lakini si vizuri kumzushia mtu jambo zito kama hili kama hakuna ushahidi.
 
Makanisa mengi ya kilokole hawamualiki.. Hivi ana wimbo wowote kamtaja Yesu . I'm curious
 
Nimekuambia usilazimishe watu wakubaliane na ushetani wako wa kasagana.
Hayo mengine n kujaribu kunitoa on point.
Nyie wasagaji n kuwamaliza.
Kila post ya kupinga ushoga wewe na wasagaj wenzako mnatokwa na povu as if usenge n jambo jema.
Nitawasema popote.
Halafu suala la kukoncive watu wafate ushenzi wenu mkome, maana ipo siku mtasaga meno kwa kilio kisichokwisha
 
Back
Top Bottom