Umeandika nini?TFF ambayo inajumuisha virabu vyote vya mpira ni rahisi MTU kupenyezwa kuliko katika mabenki mfano jiulizi ukimkuta kocha,au mchezaji ni mchina au muarabu utaona ni kawaida lakini Leo hii unaenda Benki yeyote unamkuta manager au taller ni mchina razima uumize kichwa na uweke dout,huo NI mfano
Dr. Panel solar systemKaria
KIdau
Msafiri
Almasi
Wambura
Madadi
Kuwataja wachache
Ongeza finyangoMkuu kwa hizo details zinatosha kabisa.
si vyema kuwataja kwa majina yao..
ila kuna ma informer na kuna watu wa idara..
kwenye vilabu kuanzia
Simba
Yanga
Azam na zinginezo kuna wachezaji ambao ni ma Informer
hawa wanafanya kazi ya kuwachoma na kupeleka taarifa kwa maofisa au kwa watu ambao wame directiwa kuwapelekea taarifa mbalii mbali kuanzia Siri na migogoro ya vilabu hadi wachezaji wenyewe binafsi.
then baadhi ya clabu wapo maofisa wasiri wa TISS na TFF wapo pia maofisa..
Yanga inaongoza kwa kuwa na watu wengi wa system ikifuatiwa na simba..
Niishie Hapa.
Hawawezi kukosekana hao jamaa ni nomaaYaani TISS wawepo kwenye vijiwe vya kahawa halafu wakose TFF?
Hawatakiwi kuwa gizani Jambo likitokea kwenye kada yyte ileAisee mtemi ramadhani ninani? Halafu kumbe tiss inakuwaga ahead of time maana Kama miaka ya 80 waliona umuhimu wa kuwa na moles kwenye michezo Basi leo ni zaidi.
HahahaaTenga muda utujuze mkuu.
Umemsahau Haji Manara aliyetumwa kuididimiza Simba na kumchunguza mfadhili.Karia
KIdau
Msafiri
Almasi
Wambura
Madadi
Kuwataja wachache
Yule mwanasheria shahidi kwenye ile kampuni inasadikiwa ni tiss! Itakosekana hapo tff kweli?
OhoooYou
Mshindo? Mso.....?
Wewe huoni yakina mwakalebela yamekomaa na mpira unafikiri kazi ni mpira tu wakina msolaSawa endelea
TengaRais mmoja wa zamani wa tff namtilia shaka
Utaelewaje wakati hutaki kuelewaUmeandika nini?
Teh teh teh[emoji23][emoji28][emoji23] vijana wa bongo ukitaka uwaone upumbav wao lete story za TISS