Je, TFF Kuna TISS?

Je, TFF Kuna TISS?

TFF ambayo inajumuisha virabu vyote vya mpira ni rahisi MTU kupenyezwa kuliko katika mabenki mfano jiulizi ukimkuta kocha,au mchezaji ni mchina au muarabu utaona ni kawaida lakini Leo hii unaenda Benki yeyote unamkuta manager au taller ni mchina razima uumize kichwa na uweke dout,huo NI mfano
Umeandika nini?
 
Mkuu kwa hizo details zinatosha kabisa.
si vyema kuwataja kwa majina yao..

ila kuna ma informer na kuna watu wa idara..
kwenye vilabu kuanzia
Simba
Yanga
Azam na zinginezo kuna wachezaji ambao ni ma Informer
hawa wanafanya kazi ya kuwachoma na kupeleka taarifa kwa maofisa au kwa watu ambao wame directiwa kuwapelekea taarifa mbalii mbali kuanzia Siri na migogoro ya vilabu hadi wachezaji wenyewe binafsi.

then baadhi ya clabu wapo maofisa wasiri wa TISS na TFF wapo pia maofisa..
Yanga inaongoza kwa kuwa na watu wengi wa system ikifuatiwa na simba..

Niishie Hapa.
Ongeza finyango
 
Aisee mtemi ramadhani ninani? Halafu kumbe tiss inakuwaga ahead of time maana Kama miaka ya 80 waliona umuhimu wa kuwa na moles kwenye michezo Basi leo ni zaidi.
Hawatakiwi kuwa gizani Jambo likitokea kwenye kada yyte ile
 
Mada pendwa za jf hizi

Mnaipenda hii ajira

Mnapenda kuwajua kuwafahamu hawa

Ova
 
Yule mwanasheria shahidi kwenye ile kampuni inasadikiwa ni tiss! Itakosekana hapo tff kweli?

ndio maana akawa anawapa mafile polisi bila hata kuhojiwa na kima yeyote.

kama kuna mkulina kanuna ajiue.
 
Ningekuwa ni Mimi ningeuliza hili swali kwa kuwa ligi yetu kwa sasa ni ligi bora kwa Afrika mashariki na kati je Tiss wamejipanga kuilinda ligi yetu dhidi ya mataifa mengine kwani ukiwa na ligi bora ni wazi inagusa mambo mengi sana kiuchumi,kiushirikiano,na kisiasa pia

Mfano tazama uingereza inavyo pambana kuweka ligi yao katika ubora ujio wa Gadiola klop,na sasa ronaldo siyo accident ila ni mipango ya kiinchi
 
Back
Top Bottom