I ilala yetu JF-Expert Member Joined Apr 10, 2015 Posts 1,451 Reaction score 2,348 Mar 12, 2023 #61 Superbug said: Ligi ya Tanzania imeshakuwa kubwa Sasa inapesa na Ina watu wa kutoka mataifa mbalimbali swali langu ni je Serikali yetu Ina moles wake mule TFF? Je, maslahi ya nchi ndani ya ligi tajiri Afrika Mashariki na Kati nani anayalinda? Click to expand... The Clinic said: mbona katika kila vilabu vikubwa unavyojua wewe kuna wachezaji n ma informer. Tff kuna maofisa kabisa ambao binafsi NAWAFAHAMU Click to expand... E.N anakipiga Hadi Leo watu hawaelewi kwanini
Superbug said: Ligi ya Tanzania imeshakuwa kubwa Sasa inapesa na Ina watu wa kutoka mataifa mbalimbali swali langu ni je Serikali yetu Ina moles wake mule TFF? Je, maslahi ya nchi ndani ya ligi tajiri Afrika Mashariki na Kati nani anayalinda? Click to expand... The Clinic said: mbona katika kila vilabu vikubwa unavyojua wewe kuna wachezaji n ma informer. Tff kuna maofisa kabisa ambao binafsi NAWAFAHAMU Click to expand... E.N anakipiga Hadi Leo watu hawaelewi kwanini
I ilala yetu JF-Expert Member Joined Apr 10, 2015 Posts 1,451 Reaction score 2,348 Mar 12, 2023 #62 Superbug said: Karia nakubali maana alikuwa DED mvomero huko Sasa kutoka DED mpaka tff sio bure. Click to expand... Karia mwanae sana pm huyo..mtu wa kazi kitambo ,,malinzi ana hisi hisi tu jamaa ndo Kam 😀
Superbug said: Karia nakubali maana alikuwa DED mvomero huko Sasa kutoka DED mpaka tff sio bure. Click to expand... Karia mwanae sana pm huyo..mtu wa kazi kitambo ,,malinzi ana hisi hisi tu jamaa ndo Kam 😀
I ilala yetu JF-Expert Member Joined Apr 10, 2015 Posts 1,451 Reaction score 2,348 Mar 12, 2023 #63 carter said: Huyu ni halisi haswa.. Wengine hao labda in4 tu.. Nakumbuka msiba wake Kinesi pale..... Click to expand... Ilikuaje mkuu
carter said: Huyu ni halisi haswa.. Wengine hao labda in4 tu.. Nakumbuka msiba wake Kinesi pale..... Click to expand... Ilikuaje mkuu
I ilala yetu JF-Expert Member Joined Apr 10, 2015 Posts 1,451 Reaction score 2,348 Mar 12, 2023 #64 Deceiver said: Umemsahau Haji Manara aliyetumwa kuididimiza Simba na kumchunguza mfadhili. Matokeo mnayaona dhahir Click to expand... Huyu jamaa hata ile issue ya kina kaburu na aveva ile ,na huko yanga Kuna Jambo sio bule yupo kazini..haji ni Simba Simba kabisa Leo yupo yanga ngoja tuone Hilo picha litaishia wap
Deceiver said: Umemsahau Haji Manara aliyetumwa kuididimiza Simba na kumchunguza mfadhili. Matokeo mnayaona dhahir Click to expand... Huyu jamaa hata ile issue ya kina kaburu na aveva ile ,na huko yanga Kuna Jambo sio bule yupo kazini..haji ni Simba Simba kabisa Leo yupo yanga ngoja tuone Hilo picha litaishia wap