Je, TFF Kuna TISS?

Je, TFF Kuna TISS?

Ligi ya Tanzania imeshakuwa kubwa Sasa inapesa na Ina watu wa kutoka mataifa mbalimbali swali langu ni je Serikali yetu Ina moles wake mule TFF?

Je, maslahi ya nchi ndani ya ligi tajiri Afrika Mashariki na Kati nani anayalinda?

mbona katika kila vilabu vikubwa unavyojua wewe kuna wachezaji n ma informer.

Tff kuna maofisa kabisa ambao binafsi NAWAFAHAMU
E.N anakipiga Hadi Leo watu hawaelewi kwanini
 
Umemsahau Haji Manara aliyetumwa kuididimiza Simba na kumchunguza mfadhili.
Matokeo mnayaona dhahir
Huyu jamaa hata ile issue ya kina kaburu na aveva ile ,na huko yanga Kuna Jambo sio bule yupo kazini..haji ni Simba Simba kabisa Leo yupo yanga ngoja tuone Hilo picha litaishia wap
 
Back
Top Bottom