Je threads na posts za machawa wa CCM mitandaoni zitamuokoa Chura Kiziwi na wenzake kwenye mkono wa ICC

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
26,483
Reaction score
40,130
Nimeona humu jukwaani na huko mitandaoni, machawa pro max wa wauaji wakipambania kampuni yao ya mauaji (CCeM). Wapo maprofesa uchwara, wanahabari, watu maarufu na viongozi.

Machawa wa humu tunawafahamu, na wamekuwa wakishambulia kila hoja inayotolewa kuhoji na kukosoa serikali wamekuwa mstari wa mbele kushambulia na kuupindisha ukweli.

Tujiulize, hawa akina mashimo na washamb(w)a wanamsaidia huyo haramu au ndo wanammalizia hata small reputation ya ving'ora aliyobaki nayo?

Kinachoshangaza, wanaandika hoja zinazozua taharuki na kuchochea chuki, wanatumia mtandao wa JamiiForums unaopigwa vita na utawala dhalimu. Wanajua Maxence Melo ameshatishiwa sana na kina Msigwa na wamemuwinda wamkamate....

Siku zote kamba hukatikia pembamba.
Ikumbukwe kuwa mti wa MKENGE huota pembezoni mwa njia
 
Ahsante sana HOV kwa kuwapa shule nyumbu naimani wachache watakuelewa ,wengi wao mpaka waoshwe akili na dip ile dawa ya kuoshea mifugo
 
Ahsante sana HOV kwa kuwapa shule nyumbu naimani wachache watakuelewa ,wengi wao mpaka waoshwe akili na dip ile dawa ya kuoshea mifugo
 
Nimeona humu jukwaani na huko mitandaoni, machawa pro max wa wauaji wakipambania kampuni yao ya mauaji (CCeM). Wapo maprofesa uchwara, wanahabari, watu maarufu na viongozi.

Machawa wa humu tunawafahamu, na wamekuwa wakishambulia kila hoja inayotolewa kuhoji na kukosoa serikali wamekuwa mstari wa mbele kushambulia na kuupindisha ukweli.

Tujiulize, hawa akina mashimo na washamb(w)a wanamsaidia huyo haramu au ndo wanammalizia hata small reputation ya ving'ora aliyobaki nayo?

Siku zote kamba hukatikia pembamba.
Ikumbukwe kuwa mti wa MKENGE huota pembezoni mwa njia
 
Utashangaaa kesho bado nyumbu watajifanya wanaenda kukinukisha, mara wengine komaa kamanda wakati wanaowashauri akina mwaipaya, maria, mange, na hilda newton wao mtandaoni tu hawaingii field kamwe
ile 29/10 walijionea wenyewe hawawezi kufanya huu mchezo tena
 
Nimeona humu jukwaani na huko mitandaoni, machawa pro max wa wauaji wakipambania kampuni yao ya mauaji (CCeM). Wapo maprofesa uchwara, wanahabari, watu maarufu na viongozi.

Machawa wa humu tunawafahamu, na wamekuwa wakishambulia kila hoja inayotolewa kuhoji na kukosoa serikali wamekuwa mstari wa mbele kushambulia na kuupindisha ukweli.

Tujiulize, hawa akina mashimo na washamb(w)a wanamsaidia huyo haramu au ndo wanammalizia hata small reputation ya ving'ora aliyobaki nayo?

Siku zote kamba hukatikia pembamba.
Ikumbukwe kuwa mti wa MKENGE huota pembezoni mwa njia
Wafutao ni mashetani walio laaniwa na damu za watanganyika!Damu zilizo mwagika kwenye ardhi hii zikanene na familia na koo hizi .Maisha yao yote yatawaliwe na visasi za damu.Fedha walizo zipata ziishie kwenye matibabu ya familia zao
ndoto2020 HAYA LAND HOV Lucha Tlaatlaah Lucas mwashamba Ritz GENTAMYCINE MamaSamia2025 THE BIG SHOW kavulata Kimbesa11 naliwe KERATO MOMBAA Sela Son pronto. Dakarai Dr wa Manesi Makebo Chibike Ertugrul Bey
 
hao ni miwa iliozamisha meli
 
Dogo acha unyumbu, hiyo dua yako ya kinyumbu kuombea wazalendo ujinga itakurudia wewe na Nyumbu wenzako
 
Hii clip ni msumari kwenye utosi wa Kizimkazi.

Kama nilivyoandika hapo juu. Machawa tayari wameshaanza counter offensive ya hii mada.

Kumfananisha Hangaya muuaji na Putin haitamnasua kwenye mikono ya ICC na Watanzania
Hii ni kazi yetu, tutaimaliza sisi wenyewe hapa hapa. Huyu Samia haindi popote; ataipata shubiri hapa hapa akiwa kwenye mikono ya waTanzania.

Huko ICC anakwenda kula raha asiyostahili kuwa nayo.
 
Hao wauaji jliotaja wamebakia kubweka kama v
Wafutao ni mashetani walio laaniwa na damu za watanganyika!Damu zilizo mwagika kwenye ardhi hii zikanene na familia na koo hizi .Maisha yao yote yatawaliwe na visasi za damu.Fedha walizo zipata ziishie kwenye matibabu ya familia zao
ndoto2020 HAYA LAND HOV Lucha Tlaatlaah Lucas mwashamba Ritz GENTAMYCINE MamaSamia2025 THE BIG SHOW kavulata Kimbesa11 naliwe KERATO MOMBAA Sela Son pronto. Dakarai Dr wa Manesi Makebo Chibike Ertugrul Bey
ichaa hayawani. Hakuna joja yoyote wanayoileta zaidi ya kutapatapa. Hakika damu za watu zimewaondolea hata ile akili ndogo waliyokuwa nayo.
 
Dogo acha unyumbu, hiyo dua yako ya kinyumbu kuombea wazalendo ujinga itakurudia wewe na Nyumbu wenzako
Wewe siyo mzalendo ni njaa tu.Isingekuwa fedha unazolipwa usinge kushangilia damu kumwagika.Isingekuwa madaraka na vyeo unavyotafuta usingeshangilia damu kumwagika.

Hakuna MTANZANIA mwenye hofu ya MUNGU ndani mwake,mwenye ELIMU yake,mwenye uwezo wa kutafuta fedha mwenyewe bila kutegemea kupewa anaweza kushangilia vifo visivyo na hatia.

Damu zilizo mwagika zikanene juu ya maisha ,familia na ukoo wako wote.Fedha ULIZOLIPWA KUUWA NA KUSHANGILIA ZIISHIE KWENYE MATIBABU YA SARATANI
 
Huyu nguruwe na yeye asisahaulike kwenye hiyo orodha ya 'jihadists' kwa viandishi vyake hivi vya rejareja mara kwa mara.
Tanganyika tumefika huku?Mkuu hakuna mwenye grant ya maisha USIUE wala kufikiria kuua.Maisha ni zawadi ya MUNGU
 
Wafutao ni mashetani walio laaniwa na damu za watanganyika!Damu zilizo mwagika kwenye ardhi hii zikanene na familia na koo hizi .Maisha yao yote yatawaliwe na visasi za damu.Fedha walizo zipata ziishie kwenye matibabu ya familia zao
ndoto2020 HAYA LAND HOV Lucha Tlaatlaah Lucas mwashamba Ritz GENTAMYCINE MamaSamia2025 THE BIG SHOW kavulata Kimbesa11 naliwe KERATO MOMBAA Sela Son pronto. Dakarai Dr wa Manesi Makebo Chibike Ertugrul Bey
Ki ukweli bora hata hao wengine mimi mpaka leo nina uchunguna hasira ya majeruhi nina hamu wachomwe moto live, na wale walioonekana kwenye cctv watafutwe wanyongwe wote , BADO SIJARIDHIKA KABISA
 
Back
Top Bottom