Je threads na posts za machawa wa CCM mitandaoni zitamuokoa Chura Kiziwi na wenzake kwenye mkono wa ICC

Ki ukweli bora hata hao wengine mimi mpaka leo nina uchunguna hasira ya majeruhi nina hamu wachomwe moto live, na wale walioonekana kwenye cctv watafutwe wanyongwe wote , BADO SIJARIDHIKA KABISA
MUNGU tusaidie WATANGANYIKA
 
Huyu nguruwe na yeye asisahaulike kwenye hiyo orodha ya 'jihadists' kwa viandishi vyake hivi vya rejareja mara kwa mara.
Ukileta unyumbu wako wa kihalifu kuleta vurugu, kuiba, na kuchoma nchi utashughulikiwa bila huruma yoyote.

Hakuna huruma kwa nyumbu wahalifu moto mtakaopelekewa ni mkali bila chembe ya huruma.
 
Hii ndo mada mnaamka na kujadili kweli ?
Naona jamaa kakugusa mtetezi wa uovu. Ww ni baadhi ya viongozi mliomwagwa humu kuja kutetea mauaji na unajisi wa uchaguzi ili rais haramu akae madarakani. Ulikuja ukajifanya unaongea kwa busara, ila siku zinavyoenda naona uzalendo unakushinda umegeuka kuongea kichawa zaidi. Ertugrul Bey
 
Ukileta unyumbu wako wa kihalifu kuleta vurugu, kuiba, na kuchoma nchi utashughulikiwa bila huruma yoyote.

Hakuna huruma kwa nyumbu wahalifu moto mtakaopelekewa ni mkali bila chembe ya huruma.
Ila chawa mnaruhusiwa kupora chaguzi, na watu wakigoma wauawawe.
 
Ukileta unyumbu wako wa kihalifu kuleta vurugu, kuiba, na kuchoma nchi utashughulikiwa bila huruma yoyote.

Hakuna huruma kwa nyumbu wahalifu moto mtakaopelekewa ni mkali bila chembe ya huruma.
GOOD FOR YOU SIR!
Mkiwa mnafanya hayo kumbukeni basi wote tu MAVUMBI na Mavumbini tutarudi.Usiue kwa upanga kisa fedha na madaraka mkuu.Nakuomba usinyanye mtu uhai kwasababu ya madaraka hujui lini na kwa namna gani na wewe utaondoka.Ukumbuke mkuu hakuna nayejua adhabu ya kaburi baada ya kufariki.Shusha hasira yako juu ya uhai wa Binadamu mwenzako
 
Ukileta unyumbu wako wa kihalifu kuleta vurugu, kuiba, na kuchoma nchi utashughulikiwa bila huruma yoyote.

Hakuna huruma kwa nyumbu wahalifu moto mtakaopelekewa ni mkali bila chembe ya huruma.
Wewe mwenyewe hapo ulipo sasa hivi unajuwa kuwa wakati wenu unahesabika sana sasa. Kila dakika kwenu ni kama mateso makubwa.
Wewe tayari ni mzoga wa nguruwe; kilichobaki ni kuufukia tu usieneze magonjwa katika jamii.
 
Tanganyika tumefika huku?Mkuu hakuna mwenye grant ya maisha USIUE wala kufikiria kuua.Maisha ni zawadi ya MUNGU
Ki ukweli bora hata hao wengine mimi mpaka leo nina uchunguna hasira ya majeruhi nina hamu wachomwe moto live, na wale walioonekana kwenye cctv watafutwe wanyongwe wote , BADO SIJARIDHIKA KABISA
Tanganyika tumefika huku?Mkuu hakuna mwenye grant ya maisha USIUE wala kufikiria kuua.Maisha ni zawadi ya MUNGU
Hapana.
Nadhani hujaelewa maana yangu.
Simhukumu yeyote adhabu ya kifo au adhabu yoyote kwa utashi wangu binafsi. Ninachosema; hawa wote wanaosababisha na kushangilia maumivu kwa waTanzania ni muhimu wafikishwe mbele ya sheria na wapate haki yao; hata kama wao hawakutaka iwe hivyo.
 
Kuna jambo halipo sawa na linapotoshwa makusudi

Hili si la kujibu kwa comment, muda si mrefu ntakuja na uzi
Inamaana hadi sasa, baada ya mada chungu nzima umekuwa hujui kuwa "kuna jambo halipo sawa...". Mada zote hizo za kipuuzi ulizojaza humu zilihusu nini?
Na hiyo unayopanga kuileta itakuwaje tofauti na hizo takataka nyinginezo ulizojaza humu?
 
Hapana.
Nadhani hujaelewa maana yangu.
Simhukumu yeyote adhabu ya kifo au adhabu yoyote kwa utashi wangu binafsi. Ninachosema; hawa wote wanaosababisha na kushangilia maumivu kwa waTanzania ni muhimu wafikishwe mbele ya sheria na wapate haki yao; hata kama wao hawakutaka iwe hivyo.
MUNGU anaona ulicho maanisha .Ukweli wewe unafurahia watu kuteswa,kuuawa, kutekwa na kupewa kesi za UHAINI.Wakati huo huo hunakubaliana na watawala kuendelea kugandamiza haki za wananchi wake ambayo ndo chanzo cha amani kupotea na vurugu zote. Simama katikati kama hakimu asiye na upande tetea nchi yako .
 
Eti Unasemaje, mkuu 'Samvurah'!

Akili yako ipo sawa kweli?
Basi, nikuombe kwa heshima unionyeshe mchango wangu humu unaoelezea hayo unayonipakazia mimi. Nipe tu, maandishi niliyoweka humu yakielezea hayo uliyoyasema wewe.
Ni rahisi tu, fanya hivyo, nami nitaomba radhi kwako na kwa waTanzania kwa hayo maandishi yangu.

Na kama hutayapata, natumaini utakuwa muungwana na kusema wazi juu ya upotofu wako huu.
 
Eti Unasemaje, mkuu 'Samvurah'!

Akili yako ipo sawa kweli?
Basi, nikuombe kwa heshima unionyeshe mchango wangu humu unaoelezea hayo unayonipakazia mimi. Nipe tu, maandishi niliyoweka humu yakielezea hayo uliyoyasema wewe.
Ni rahisi tu, fanya hivyo, nami nitaomba radhi kwako na kwa waTanzania kwa hayo maandishi yangu.
Wewe ni muuaji

Wewe ndo uliandika kuwa nyumbu waandamane 29/10 watalindwa na jeshi na ushahidi upo

Wewe ndo umehusika kwa 100 katika vifo Vya nyumbu
 
MUNGU anaona ulicho maanisha .Ukweli wewe unafurahia watu kuteswa,kuuawa, kutekwa na kupewa kesi za UHAINI.Wakati huo huo hunakubaliana na watawala kuendelea kugandamiza haki za wananchi wake ambayo ndo chanzo cha amani kupotea na vurugu zote. Simama katikati kama hakimu asiye na upande tetea nchi yako .
Samahani. Imenibidi nirudi tena na kusoma uliyoandika.

Sina shaka kabisa kuwa hukuwa unanilenga mimi!
 
Wewe ni muuaji

Wewe ndo uliandika kuwa nyumbu waandamane 29/10 watalindwa na jeshi na ushahidi upo

Wewe ndo umehusika kwa 100 katika vifo Vya nyumbu
EEEeeenHEEeeee!

Sasa unanichanganya na Samia Suluhu Hassan; kama haya si maajabu ni kitu gani?

Najuwa nguruwe huna uwezo wa kutofautisha sana kujuwa mabaki ya chakula unayopewa yanatolewa na nani. Mimi hata chembe ya mchele huipati kutoka kwangu.
Sihitaji nguruwe wa kuwafuga.
 
Attachments

  • Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    368.7 KB · Views: 23
Kumbe ujumbe huo ndio unaowatia kiwewe kiasi hiki?
Sasa tueleze kama hali hiyo haipo sasa hivi?

Ndiyo maana unahangaika namna hii?

Hivi Samia mfugaji wako alikwenda kuwaambia nini hao watu, baada ya mauaji mliyofanya?
 
MUNGU anaona ulicho maanisha .Ukweli wewe unafurahia watu kuteswa,kuuawa, kutekwa na kupewa kesi za UHAINI.Wakati huo huo hunakubaliana na watawala kuendelea kugandamiza haki za wananchi wake ambayo ndo chanzo cha amani kupotea na vurugu zote. Simama katikati kama hakimu asiye na upande tetea nchi yako .
Hujamuelewa hata mimi niliquote kimakosa .Mwanzo nilielewa kama wewe.Rudia tena kusoma
 
Inamaana hadi sasa, baada ya mada chungu nzima umekuwa hujui kuwa "kuna jambo halipo sawa...". Mada zote hizo za kipuuzi ulizojaza humu zilihusu nini?
Na hiyo unayopanga kuileta itakuwaje tofauti na hizo takataka nyinginezo ulizojaza humu?
Punguza hasira brother naona umedanďia gari kwa mbele bila kujua linaenda wapi

Ntakuonyesha linaenda wapi

Nakutag kwenye huo uzi niliosema nauandika
 
Back
Top Bottom