MUNGU tusaidie WATANGANYIKAKi ukweli bora hata hao wengine mimi mpaka leo nina uchunguna hasira ya majeruhi nina hamu wachomwe moto live, na wale walioonekana kwenye cctv watafutwe wanyongwe wote , BADO SIJARIDHIKA KABISA
Ukileta unyumbu wako wa kihalifu kuleta vurugu, kuiba, na kuchoma nchi utashughulikiwa bila huruma yoyote.Huyu nguruwe na yeye asisahaulike kwenye hiyo orodha ya 'jihadists' kwa viandishi vyake hivi vya rejareja mara kwa mara.
Naona jamaa kakugusa mtetezi wa uovu. Ww ni baadhi ya viongozi mliomwagwa humu kuja kutetea mauaji na unajisi wa uchaguzi ili rais haramu akae madarakani. Ulikuja ukajifanya unaongea kwa busara, ila siku zinavyoenda naona uzalendo unakushinda umegeuka kuongea kichawa zaidi. Ertugrul BeyHii ndo mada mnaamka na kujadili kweli ?
Ila chawa mnaruhusiwa kupora chaguzi, na watu wakigoma wauawawe.Ukileta unyumbu wako wa kihalifu kuleta vurugu, kuiba, na kuchoma nchi utashughulikiwa bila huruma yoyote.
Hakuna huruma kwa nyumbu wahalifu moto mtakaopelekewa ni mkali bila chembe ya huruma.
GOOD FOR YOU SIR!Ukileta unyumbu wako wa kihalifu kuleta vurugu, kuiba, na kuchoma nchi utashughulikiwa bila huruma yoyote.
Hakuna huruma kwa nyumbu wahalifu moto mtakaopelekewa ni mkali bila chembe ya huruma.
Wewe mwenyewe hapo ulipo sasa hivi unajuwa kuwa wakati wenu unahesabika sana sasa. Kila dakika kwenu ni kama mateso makubwa.Ukileta unyumbu wako wa kihalifu kuleta vurugu, kuiba, na kuchoma nchi utashughulikiwa bila huruma yoyote.
Hakuna huruma kwa nyumbu wahalifu moto mtakaopelekewa ni mkali bila chembe ya huruma.
Tanganyika tumefika huku?Mkuu hakuna mwenye grant ya maisha USIUE wala kufikiria kuua.Maisha ni zawadi ya MUNGU
Ki ukweli bora hata hao wengine mimi mpaka leo nina uchunguna hasira ya majeruhi nina hamu wachomwe moto live, na wale walioonekana kwenye cctv watafutwe wanyongwe wote , BADO SIJARIDHIKA KABISA
Hapana.Tanganyika tumefika huku?Mkuu hakuna mwenye grant ya maisha USIUE wala kufikiria kuua.Maisha ni zawadi ya MUNGU
Inamaana hadi sasa, baada ya mada chungu nzima umekuwa hujui kuwa "kuna jambo halipo sawa...". Mada zote hizo za kipuuzi ulizojaza humu zilihusu nini?Kuna jambo halipo sawa na linapotoshwa makusudi
Hili si la kujibu kwa comment, muda si mrefu ntakuja na uzi
MUNGU anaona ulicho maanisha .Ukweli wewe unafurahia watu kuteswa,kuuawa, kutekwa na kupewa kesi za UHAINI.Wakati huo huo hunakubaliana na watawala kuendelea kugandamiza haki za wananchi wake ambayo ndo chanzo cha amani kupotea na vurugu zote. Simama katikati kama hakimu asiye na upande tetea nchi yako .Hapana.
Nadhani hujaelewa maana yangu.
Simhukumu yeyote adhabu ya kifo au adhabu yoyote kwa utashi wangu binafsi. Ninachosema; hawa wote wanaosababisha na kushangilia maumivu kwa waTanzania ni muhimu wafikishwe mbele ya sheria na wapate haki yao; hata kama wao hawakutaka iwe hivyo.
Eti Unasemaje, mkuu 'Samvurah'!MUNGU anaona ulicho maanisha .Ukweli wewe unafurahia watu kuteswa,kuuawa, kutekwa na kupewa kesi za UHAINI.Wakati huo huo hunakubaliana na watawala kuendelea kugandamiza haki za wananchi wake ambayo ndo chanzo cha amani kupotea na vurugu zote. Simama katikati kama hakimu asiye na upande tetea nchi yako .
Wewe ni muuajiEti Unasemaje, mkuu 'Samvurah'!
Akili yako ipo sawa kweli?
Basi, nikuombe kwa heshima unionyeshe mchango wangu humu unaoelezea hayo unayonipakazia mimi. Nipe tu, maandishi niliyoweka humu yakielezea hayo uliyoyasema wewe.
Ni rahisi tu, fanya hivyo, nami nitaomba radhi kwako na kwa waTanzania kwa hayo maandishi yangu.
Samahani. Imenibidi nirudi tena na kusoma uliyoandika.MUNGU anaona ulicho maanisha .Ukweli wewe unafurahia watu kuteswa,kuuawa, kutekwa na kupewa kesi za UHAINI.Wakati huo huo hunakubaliana na watawala kuendelea kugandamiza haki za wananchi wake ambayo ndo chanzo cha amani kupotea na vurugu zote. Simama katikati kama hakimu asiye na upande tetea nchi yako .
EEEeeenHEEeeee!Wewe ni muuaji
Wewe ndo uliandika kuwa nyumbu waandamane 29/10 watalindwa na jeshi na ushahidi upo
Wewe ndo umehusika kwa 100 katika vifo Vya nyumbu
EEEeeenHEEeeee!
Aiseeee nisamehe samehe sana sikujua uliye qoute nina kati ya KITOSONGWANUS na Lucha .Nilijua ambaye unatamani awekwe kwenye orodha ni KITOSONGWANUS anayetetea haki.Huyu nguruwe na yeye asisahaulike kwenye hiyo orodha ya 'jihadists' kwa viandishi vyake hivi vya rejareja mara kwa mara.
Hujamuelewa hata mimi niliquote kimakosa .Mwanzo nilielewa kama wewe.Rudia tena kusomaMUNGU anaona ulicho maanisha .Ukweli wewe unafurahia watu kuteswa,kuuawa, kutekwa na kupewa kesi za UHAINI.Wakati huo huo hunakubaliana na watawala kuendelea kugandamiza haki za wananchi wake ambayo ndo chanzo cha amani kupotea na vurugu zote. Simama katikati kama hakimu asiye na upande tetea nchi yako .
Punguza hasira brother naona umedanďia gari kwa mbele bila kujua linaenda wapiInamaana hadi sasa, baada ya mada chungu nzima umekuwa hujui kuwa "kuna jambo halipo sawa...". Mada zote hizo za kipuuzi ulizojaza humu zilihusu nini?
Na hiyo unayopanga kuileta itakuwaje tofauti na hizo takataka nyinginezo ulizojaza humu?