Je threads na posts za machawa wa CCM mitandaoni zitamuokoa Chura Kiziwi na wenzake kwenye mkono wa ICC

Ukileta unyumbu wako wa kihalifu kuleta vurugu, kuiba, na kuchoma nchi utashughulikiwa bila huruma yoyote.

Hakuna huruma kwa nyumbu wahalifu moto mtakaopelekewa ni mkali bila chembe ya huruma.
Nyumbu wa kihalifu ni code name ya UVCCM
 
Kujisifia uwezo wa kuua raia wasio na silaha huwa kunaishia pabaya sana.

Aibu
UKWELI UNA UKIUPUUZA UJUE UTALIPA KISASI

MSIPUUZE UKWELI KUWA MLIHUSIKA KATIKA KUSABABISHA MAUAJI YA VIJANA KWA KUWAINGIZA BARABARANI .

USHAHIDI HUU HAPA

👇🏾
 

Attachments

  • Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    368.7 KB · Views: 14
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…