Je, tofali 2800 zinatosha kujengea nyumba ya vyumba 3 na kila kitu ndani?

Nilikuwa kwenye mkwamo kama mwuliza swali, nyumba yangu nimetumia tofari 1000 msingi pekee lakini jilivyojifunza ni kuwa kama eneo tambarare utatumia tofari kidogo tofauti na na eneo ambalo haliko sawa. Hivyo ni ngumu mtu kusema zinatosha au hazitoshi bila kusema eneo utalojenga likoje
 

Mimi ramani imenigharimu 2M nashangaa watu hapa wanazunvumza mambo ya elf10 !? Akili za hovyo kabisa
 
Profession inayoringa kipindi hiki cha uchumi wa katikati siioni labda wale wanaolazimisha rushwa barabarani ya kubrashi viatu wengine wote kapuuuut chaliiiii njaa mbaya huyo wa kukupa 150,000 kwa ramani ya nyumba hayupo
 
Profession inayoringa kipindi hiki cha uchumi wa katikati siioni labda wale wanaolazimisha rushwa barabarani ya kubrashi viatu wengine wote kapuuuut chaliiiii njaa mbaya huyo wa kukupa 150,000 kwa ramani ya nyumba hayupo
Kila mtu analipwa kutokana na thamani aliyojijengea. Na kila mtu analipa kutokana na thamani anayohisi au anategemea kuipata. Bei standard ya ramani kwa nyumba ya kawaida ni laki tatu na kwa nyumba ya ghorofa ni million moja. Hata hiyo laki na nusu ni ndogo na watu wanafanya kazi na zinalipiwa. Binafsi nisisitize kuwa kukwepa gharama sio tatizo ila muhimu ni ujue unachokifanya
 
hizo tofali mimi nimejengea nyumba kubwa sana hapo Mbezi, ina masta moja, chumba cha binti yangu, sebule kubwa, dining, jiko, choo cha ndani chenye korido ndogo ya kufulia pamoja na veranda mbili (kwa mbele na nyuma).

ukiwa na uwezo wa kupata hayo matofali hebu anza ujenzi, usijiulize sana kama yatapelea ni mbele kwa mbele, wewe anza nayo hayo hayo
 
🤣 🤣 🤣 🤣
 
mi i
mimi sijasoma civil wala mama ake auto cad drawing lakini ninatools nakuchorea ramani chap
 
hajui kutafuta bado, hajui waliokuwa juu walitafuta kuanzia chini, Hata General alianza kwa kuwa Private.
 
Nawezaje kujifunza kuchora ramani ? Nidowload programme gani zinisaidie natamn sanaa niweze kujifunza hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…