Nile_house_designs
JF-Expert Member
- Nov 13, 2020
- 402
- 483
Ramani ya elfu 10?? Anyway ili mchoro ukamilike na uweze kuombea kibali itakubidi uwe na michoro ifuatayo
.Floor plan
.site plan
.building sections
.Elevations
.septic tanks
.Roof Plan
.Foundation layout
.Perspective views
Hizo ramani za elfu 10 ni vile mtu ametoa copy hizo floor plan na anauza, ila kwa uhalisia hakuna mtu atakaa akuchoree hiyo michoro yote kwa elfu 10.
Mwisho wa siku tukubali tu hali ni ngumu ndo maana mtu anapambana apate vitu vya bei rahisi ila hakuna mtu smart mwenye kupenda vitu vyake ataenda okota ramani buguruni au kariakoo afu akawekeze 40m+
Kila mbuzi ale kulingana na urefu wa kamba yake