Nile_house_designs
JF-Expert Member
- Nov 13, 2020
- 402
- 483
Hizo ramani zinauzwa na watu wa vibali. Wanabadilisha tu majina na kukupa kibali.Ramani ya elfu 10?? Anyway ili mchoro ukamilike na uweze kuombea kibali itakubidi uwe na michoro ifuatayo
.Floor plan
.site plan
.building sections
.Elevations
.septic tanks
.Roof Plan
.Foundation layout
.Perspective views
Hizo ramani za elfu 10 ni vile mtu ametoa copy hizo floor plan na anauza, ila kwa uhalisia hakuna mtu atakaa akuchoree hiyo michoro yote kwa elfu 10.
Mwisho wa siku tukubali tu hali ni ngumu ndo maana mtu anapambana apate vitu vya bei rahisi ila hakuna mtu smart mwenye kupenda vitu vyake ataenda okota ramani buguruni au kariakoo afu akawekeze 40m+
Kila mbuzi ale kulingana na urefu wa kamba yake
Hizo ramani zinauzwa na watu wa vibali. Wanabadilisha tu majina na kukupa kibali.
Ukienda site unamwambia fundi akujengee unavyotaka wewe.
Nyumba kama si ya ghorofa, ramani huwa haitumiki sana.
Unatafuta uhalali au unatafuta market price?Issue ya kupewa ramani na mtu wa halmashauri haihalalishi bei ya ramani kuwa elfu 10
Hiyo michoro ya manispaa ni ipi?? Halmashauri wanachora au wanasubiri mtu apeleke mchoro wake uliokamilika afu na wao watoe copy wakuuzie??Unatafuta uhalali au unatafuta market price?
Market price 10 to 50 Gs unapata michoro ya manispaa. Thats a fact, na inapitishwa.
Sasa kwanini mtu atoe milioni wakati utampa mchoro uleule?
Na wala hatoutumia?
Michoro ya manispaa huku mitaani tunamaanisha architectural na structural drawings za kuombea building permit.Hiyo michoro ya manispaa ni ipi?? Halmashauri wanachora au wanasubiri mtu apeleke mchoro wake uliokamilika afu na wao watoe copy wakuuzie??
Mimi hata elfu 10 hamna kabisa na nyumba imesimama vyema fundi nilimuita nikamueleza nataka hivi na hivi na hivi na yeye akaongezea duuuh MBONA MAMBO MAZURI IMESIMAMA MPAKA JIRANI KANIULIZA HII RAMANI MBONA BEI SANA!!! Nilimwambia ndio 500k kumbe BURE TUMimi ramani imenigharimu 2M nashangaa watu hapa wanazunvumza mambo ya elf10 !? Akili za hovyo kabisa
Kaka Athumani , angalia tathimini nzima ya nyumba yako , nimekutumia inbox,Eneo ni Dar, chanika lengo nahitaji nyumba yenye vyumba 3, vyumba 2 vya kawaida na master 1, jiko, dining, choo
Kinachotakiwa ni ni nyumba, kwa maeneo yasiyo ya mpango mji , UVIMO tunajenga bila ramain na tunakidhi kiu yako, ila ukihitajibramani tunakuchorea, hii ni kutokana na uzoefu na utalaam wetu.Mimi hata elfu 10 hamna kabisa na nyumba imesimama vyema fundi nilimuita nikamueleza nataka hivi na hivi na hivi na yeye akaongezea duuuh MBONA MAMBO MAZURI IMESIMAMA MPAKA JIRANI KANIULIZA HII RAMANI MBONA BEI SANA!!! Nilimwambia ndio 500k kumbe BURE TU
GoodKinachotakiwa ni ni nyumba, kwa maeneo yasiyo ya mpango mji , UVIMO tunajenga bila ramain na tunakidhi kiu yako, ila ukihitajibramani tunakuchorea, hii ni kutokana na uzoefu na utalaam wetu.
Zaid tunazingatia hitaji na Hali ya mtu, mwingine hana hela ya ramani je asijengewe?
Ndo maana kwa ramani ya kawaida inayo onyesha floor plan tunakuchorea na kukujengea
Je, tofali 2800 zinatosha kujengea nyumba ya vyumba 3 na kila kitu ndani?
Nahitaji ramani pia
Kila mtu anakula kulingana na urefu wa kamba yake.Mimi ramani imenigharimu 2M nashangaa watu hapa wanazunvumza mambo ya elf10 !? Akili za hovyo kabisa
Ume nena hekma,Kila mtu anakula kulingana na urefu wa kamba yake.
Kwa akili ya kawaida unadhani mtu mwenye mahesabu ya kama matofali 2800 zinatosha kujenga nyumba ya vyumba vitatu yenye Master bedroom, public toilet, na kitchen ataweza kutoa 2m za ramani?
Hahahaha, unatisha watuHizi ramani za fastafasta ndiyo maana unakuta nyumba kubwa mvua ikinyesha kidogo tu inageuka bwawa.
True manHizi ramani za fastafasta ndiyo maana unakuta nyumba kubwa mvua ikinyesha kidogo tu inageuka bwawa.
Hizo tofali ni za ukubwa gani?Pia msingi utajengea tofali hizohizo?Je, tofali 2800 zinatosha kujengea nyumba ya vyumba 3 na kila kitu ndani?
Nahitaji ramani pia