Mimi hata elfu 10 hamna kabisa na nyumba imesimama vyema fundi nilimuita nikamueleza nataka hivi na hivi na hivi na yeye akaongezea duuuh MBONA MAMBO MAZURI IMESIMAMA MPAKA JIRANI KANIULIZA HII RAMANI MBONA BEI SANA!!! Nilimwambia ndio 500k kumbe BURE TU
Kutokana na ombi lako,
UVIMO tumetumia tofali 2,800, tukapata nyumba hi hapa, tumeona nikuchoree ramani roughly...
HeheNyumba kama hii ramani ya nini sasa
Wanakiuka taratibu na sheria za ujenzi,kilicjopitishwa ndicho kinatakiwa kujengwa na si upuuzi wa hivyo kuharibu soko la wasomi wa architecture kwa ajili ya kupata vimapato vya HalmashauriUnatafuta uhalali au unatafuta market price?
Market price 10 to 50 Gs unapata michoro ya manispaa. Thats a fact, na inapitishwa.....
Mimi nafahamu Halmashauri fulani wanafuatilia kila inavyotakiwa ndio upewe kibali cha ujenzi sio hiyo ya kutoa photocopyMichoro ya manispaa huku mitaani tunamaanisha architectural na structural drawings za kuombea building permit.
They are like 80% recycled.
And 80% ya nyumba zinazojengwa hazitumii michoro.
Inavyotakiwa ndiyo ipi hiyo; Hebu tuelezeeMimi nafahamu Halmashauri fulani wanafuatilia kila inavyotakiwa ndio upewe kibali cha ujenzi sio hiyo ya kutoa photocopy
Aisee pale Kamanga (mwanza) kuna jamaa amechora ramani zake kwa mkono (kwenye karatasi za A3) anakuuzia kwa 10K na hesabu anakupa kuanzia tofali, bati, mifuko ya cement, kokoto, mbao na mazaga mengine yote. Wewe unasema tu unataka ramani iwe na nini na niniUnaenda mbali sana, ramani siku hizi tunapata kwa 10K.
Kadri siku zinavyoenda ndio umuhimu wa ramani zenu unapungua, watu waliosoma Civil Eng nao wanachora ramani siku hizi, architects nao wanachora unakuta mpaka masela wangu wa electrical nao wamo. Yaani ilimradi vurugu tu.
Auto CAD na zinginezo zimekuwa kimeo, kuna jamaa yangu kasoma account naye saiv anachora ramani tena za hali ya juu.
Sikukatishi tamaa ila hiyo bei umeweka kwa matarajio makubwa sana[emoji23][emoji23][emoji23]
So Hizo hesabu anafanya bila kuona kiwanja, of which kama kiwanja kina slope tayari ni utapata hesabu tofauti,Aisee pale Kamanga (mwanza) kuna jamaa amechora ramani zake kwa mkono (kwenye karatasi za A3) anakuuzia kwa 10K na hesabu anakupa kuanzia tofali, bati, mifuko ya cement, kokoto, mbao na mazaga mengine yote. Wewe unasema tu unataka ramani iwe na nini na nini
Inavyotakiwa ndiyo ipi hiyo; Hebu
Kuna mdau kaeleza aina zote za michoro inayohitajika. Kwa kuongezea ni kuwa kwenye mchoro wa site plan ambao ndio unaonesaha namna nyumba itakavyokaa kwenye kiwanja husika ambapo wao wataangalia setbacks za jengo kwenye kiwanja (mara nyingi haitakiwi kupungua 1.5m), na plot coverage (kuna kiasi wanachotaka kifikiwe na kisipungue inatofautiana kulingana na eneo unalojenga) pia builtupa area ndio wanatumia kukuchaji kiasi cha kulipia kwenye vibali na kama kiwanja kimepimwa baadhi ya halmashauri huhitaji kuonesha block plan piaInavyotakiwa ndiyo ipi hiyo; Hebu tuelezee
Hiyo ramani hicho choo cha publicKutokana na ombi lako,
UVIMO tumetumia tofali 2,800, tukapata nyumba hi hapa, tumeona nikuchoree ramani roughly.
BOQ nzima angalia inbox umetumiwa kaka.
Kama kuna mtu anahitaji makadirio,kujengewa , finishing au ramani ,tuwasiliane.
0753927572 -Wasap
0629361896 -Kupiga
View attachment 1760807View attachment 1760808View attachment 1760809View attachment 1760810
We jamaa ramani za bure zipo nyingi tu na zina vipimo na kila kitu, na ukitaka kuchorewa kwa sasa vijana wanachora hata kwa 10,000/ Autocad na archcard sijui master series saihi had wadada wana stationery wanazijua na wanakuchorea ramani safi kabisa hata kwa 10,000/= floor plan na elevations za pande zote ha 3DHiyo 10K unamaanisha 10,000 au 100,000? Kama ni ten basi huo ni uongo ulikithiri labda kwa wanafunzi wa chuo
Pia unless ni ramani za kujenza kwenye slums ila kama ni ya kujenga kwenye plots zilizopangwa hakuna kitu kama hicho
[ Suala la professionalism bongo bado sana ndio maana hata mtaani watu wanalizwa mamillioni kisa uliona ni expensive kumpa mwanasheria laki mbili akuchekie ishu yako kisheria, au mtu anaamua kumeza tu madawa kisa anaona hospital ataongeza gharama...etc, We are still very far........
Ramani ni muhimu sana katika ujenzi na gharama zake kwa mtaalamu anayejielewa haipungui 500k.
Hadi za bure zipo, ramani siku hizi sio ishu labda usiwe mjanja au labda Kama unataka kujenga ghorofa! Ila kikawaida tu ramani sio ishu, nazungumza hivyo cause hata Mimi ramani sikununua...