Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Waambie kwamba Wao Wataimba Milele Na milele..Bila Kupumzika Huku wakisujudu Bila Kupumzika..
Si Tulikubaliana Mbinguni Hakuna Kuoa Wala kuolewaNaomba kuuliza hapo kwenye mabikra 72, je dada na wake zetu nao wata pewa vijeba 72 viwa shughulikie?
Waislamu wao wakifika peponi Allah amewaofa mabikira 72 kwa kila mwanaume halafu wakaongezewa na pombe.
Upande wetu wakristo kwa madhehebu yetu yote tunaamini huko mbinguni hakuna koa wala kuolewa.
Sisi Yehova ametueahidi uzima wa milele (nijuavyo mimi).
Biblia inatoa sifa za ile mbingu mpya na nchi mpya baadhi ya sifa hizo ni kama.......
Hakutakuwa na kifo,jua wala mwezi ,magonjwa maandiko yanasema mji ule ni mzuri sana njia zake ni dhahabu safi malango yake ni lulu ule mji hautafungwa ( Mji ulikuwa unang'aa kwa utukufu wa Mungu. Ulikuwa unang'aa kwa uangavu kama yaspi, kito cha thamani sana. Ulionekana kwa uwazi kama kioo "ufunuo 21:11")
zaidi soma hapa Bible Gateway passage: Ufunuo 21 - Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Ukisoma kwa umakini wote utagundua hakika sifa nyingi umepewa ule mji wa wateuli biblia haijasema kama kutakuwa burudani zingine kama wenzetu wao waziwazi bila kufichwa wameahidiwa wanawake bikra tena warembo wenye macho kama bilauri.
Maswali yangu ya msingi ni haya JE TOFAUTI NA KUISHI MILELE NI KITU GANI KINGINE SISI WAKRISTO TUTAPEWA?
JE KAMA HAKUNA STAREHE KUNA HAJA GANI YA KUISHI MILELE?
Karibuni
Na hakuna kuoa wala kuolewa ni harusi moja tu ya mwanakondoo.Waambie kwamba Wao Wataimba Milele Na milele..Bila Kupumzika Huku wakisujudu Bila Kupumzika..
Huku wakila Maziwa tu na Asali..
Hakuna Ziada 😀😀
Tutaolewa na Mwanakondoo wote sisi Tukiwa Bibi Harusi Safi 😀🤣🤣Na hakuna kuoa wala kuolewa ni harusi moja tu ya mwanakondoo.
Hahaha hapana kwa kwel, mda huo utakuta mimi huko jehanam nimeuzoea moto na gida zangu tu bia na warembo kibao.Tutaolewa na Mwanakondoo wote sisi Tukiwa Bibi Harusi Safi 😀🤣🤣
Haya Mambo ya Dini Ukitumia Akili tu Kuyafikiria Basi ushapoteza Imani yako 🤣🤣Hahaha hapana kwa kwel, mda huo utakuta mimi huko jehanam nimeuzoea moto na gida zangu tu bia na warembo kibao.
Akili ni mpango wa shetani , amelaaniwa azitegemeae akili zake mwenyeweHaya Mambo ya Dini Ukitumia Akili tu Kuyafikiria Basi ushapoteza Imani yako 🤣🤣
Dah Nimecheka Saana kwamba akili ni Mpango wa Shetani 🤣🤣Akili ni mpango wa shetani , amelaaniwa azitegemeae akili zake mwenyewe
Mkuu si Na Bia Zipo Pombe za Kutosha...Mbinguni ni mateso, kama kuzimu tu.
Umepewa mabikra 72, uishi nao kinyumba milele, raha iko wapi hapo? Huumwi, huzeeki, huchoki, ni wewe na mabikra tu.
Wasipokuondolea uwezo wako wa kukinai, utateseka. Wakikuondolea, wewe sio mtu tena, ni kikalagosi.
Hakuna kingine?Tutaishi na Baba milele yote.