Je, tofauti na kuishi milele ni kitu gani kingine sisi wakristo tutapewa?

Je, tofauti na kuishi milele ni kitu gani kingine sisi wakristo tutapewa?

Mabikra 72 wenye mizigo, tena wasiomaliza ubikra pamoja na mito ya pombe tamu isiyokauka (kulingana na mafundisho ya Sheikh Kipozeo)

Vs.

Kusujudu, kusifu na kuimba mbele ya kiti cha enzi milele na milele 24/7 daima dumu (kulingana na kitabu cha Ufunuo)....


Uchaguzi ni wako 😂😂😂🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
Unaweza kuimba milele bila kuchoka?

Ushawahi kuangalia movie za mazombie? Ndo kinachotokea mbinguni sasa. Unaondolewa utashi.
 
Waislamu wao wakifika peponi Allah amewaofa mabikira 72 kwa kila mwanaume halafu wakaongezewa na pombe.

Upande wetu wakristo kwa madhehebu yetu yote tunaamini huko mbinguni hakuna koa wala kuolewa.
Sisi Yehova ametueahidi uzima wa milele (nijuavyo mimi).

Biblia inatoa sifa za ile mbingu mpya na nchi mpya baadhi ya sifa hizo ni kama.......

Hakutakuwa na kifo,jua wala mwezi ,magonjwa maandiko yanasema mji ule ni mzuri sana njia zake ni dhahabu safi malango yake ni lulu ule mji hautafungwa ( Mji ulikuwa unang'aa kwa utukufu wa Mungu. Ulikuwa unang'aa kwa uangavu kama yaspi, kito cha thamani sana. Ulionekana kwa uwazi kama kioo "ufunuo 21:11")

zaidi soma hapa Bible Gateway passage: Ufunuo 21 - Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi

Ukisoma kwa umakini wote utagundua hakika sifa nyingi umepewa ule mji wa wateuli biblia haijasema kama kutakuwa burudani zingine kama wenzetu wao waziwazi bila kufichwa wameahidiwa wanawake bikra tena warembo wenye macho kama bilauri.

Maswali yangu ya msingi ni haya JE TOFAUTI NA KUISHI MILELE NI KITU GANI KINGINE SISI WAKRISTO TUTAPEWA?
JE KAMA HAKUNA STAREHE KUNA HAJA GANI YA KUISHI MILELE?


KaribuniView attachment 3315146
Yesu alisema hatokunywa tena uzao huu wa zabibu tena hadi atakapokunywa nanyi mpya katika ufalme wa baba yake
Hivyo na nyinyi mtakunywa pombe kama wenzenu
 
Mbinguni ni mateso, kama kuzimu tu.

Umepewa mabikra 72, uishi nao kinyumba milele, raha iko wapi hapo? Huumwi, huzeeki, huchoki, ni wewe na mabikra tu.

Wasipokuondolea uwezo wako wa kukinai, utateseka. Wakikuondolea, wewe sio mtu tena, ni kikalagosi.
Kwa hiyo mkuu wewe starehe yako kuumwa na kuzeeka
 
Back
Top Bottom