Je, tofauti na kuishi milele ni kitu gani kingine sisi wakristo tutapewa?

Je, tofauti na kuishi milele ni kitu gani kingine sisi wakristo tutapewa?

Mabikra 72 wenye mizigo, tena wasiomaliza ubikra pamoja na mito ya pombe tamu isiyokauka (kulingana na mafundisho ya Sheikh Kipozeo)

Vs.

Kusujudu, kusifu na kuimba mbele ya kiti cha enzi milele na milele 24/7 daima dumu (kulingana na kitabu cha Ufunuo)....


Uchaguzi ni wako 😂😂😂🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
Aiseee watu mnajua kukejeri
 
Mbinguni ni mateso, kama kuzimu tu.

Umepewa mabikra 72, uishi nao kinyumba milele, raha iko wapi hapo? Huumwi, huzeeki, huchoki, ni wewe na mabikra tu.

Wasipokuondolea uwezo wako wa kukinai, utateseka. Wakikuondolea, wewe sio mtu tena, ni kikalagosi.
Lakini bikira zitakuwa zinarejea upya.Yaani leo ukibandua ya Hawa ukimaliza inarudi upya kesho ukibandua ya Ashura kesho yake inarudi kuwa piru kama mwanzo.
 
Back
Top Bottom