Je, tofauti na kuishi milele ni kitu gani kingine sisi wakristo tutapewa?

Je, tofauti na kuishi milele ni kitu gani kingine sisi wakristo tutapewa?

Au sio kwa akili za kikanisa na za kimsikiti,wew unamjua Babu yako wa awali ukiachana na nadharia za kidini?,who is your first father?
Na hili swali ulijibu ili tuende vizur
 
Lakin Mungu wako Yuko uko akhera..in short anahitaj space kama Mungu wa ndugu zenu wakristo..huyo mungu wako anatumia mechanisms gan kuwa sehem zote ?,yupoje yaan?,nataka unielezee
Akhera ni wapi!?.. unajua hata unaongea nini!?..akhera(aakhiri) maana yake mwisho... hahitaji space,insmchukulia kama wewe kwa kuwa mwanzo uliaminishwa fundi seremala ni mungu
 
Mm nitakuwa nauza mahindi ya kuchoma kutoka jehanamu nawaletea huko peponi ili msujudu vzr huku wengine wakilomba vzr hizo bikra 🔥
 
Najua nipo nataka kufanya argument na mtu ambaye ana virusi vya dini,na nadharia yako ya Mungu wako wa Arabuni.hiv ni kitu Gani kinakufanya uwe wew Kam wew hapo ?,yaan kinachokufanya uishi?.,na zaid ni kwa nin unakuta mwanamke anajifungua mtoto anaishi na mwingine anajifungua mtoto Aishi?,ebu naomba unifundishe
Anaishi na aishi, unamaanisha nini!?..kama kuandika lugha yako mama huwezi, utakua unafikiri kwa lugha gani!?..unazielewa fikra zako kweli!?..unataka wote tuzaliwe na kufia umri ule ule,kwa nini!?
 
Acha ujinga wew,ety Kuna mamlaka uidhinisha,mbona wew mvaa kobaz mjinga hiv?,kwa hiyo huyo Mungu wako anayekaa kwenye kijumba uko Arabuni uidhinisha watoto wachanga wazaliwe alafu anawaua?,ety mvaa kobaz ?, umekariri Kuruan Sasa unajiona unajibu , uwiiii uwiiii mvaa kobazi ,ita na ndugu zako wakristo mtetee huu ujinga wenu.
Kuna tofauti gani ya kufa mtoto mchanga,kijana na mzee?!..vyote ni vifo tu
 
So kwa kunijibu hiv unaona sasa umeshatoa Jibu?,ety Kuruan 😂,kwa hiyo huwez kutumia akili yako kuufahamu ulimwengu?,swali huyo Mungu wako kabla ya kuumba sayari dunia alikuwa wapi?.yeye ni nani?,yupo wapi?,au ndio amekaa kwenye kijumba chake kile cheusi kama Cha dog wa kingunge?
Unauliza swali lile lile, Mungu hahitaji kigoda(space) kuwepo
 
Unauliza swali lile lile, Mungu hahitaji kigoda(space) kuwepo
Wew kizibo kwel,so mungu wako wa kuruan si yupo uko kwenye kijumba chake Arabuni?,kw am kabah ni Nyumba ya nani bi mdogo wa mwijaku?,ety kale kajumba mwijaku alikuwa anakabusu ni la nani?
 
Anaishi na aishi, unamaanisha nini!?..kama kuandika lugha yako mama huwezi, utakua unafikiri kwa lugha gani!?..unazielewa fikra zako kweli!?..unataka wote tuzaliwe na kufia umri ule ule,kwa nini!?
Hujui lugha bi wa mwijaku,Jibu swali kizibo.tumia akili hapa kizibo.
 
Akhera ni wapi!?.. unajua hata unaongea nini!?..akhera(aakhiri) maana yake mwisho... hahitaji space,insmchukulia kama wewe kwa kuwa mwanzo uliaminishwa fundi seremala ni mungu
Ona huyu kizibo,kama wew ni manz bas ni mwanamke kizibo kwel.so umejibu hapa Sasa Kwa kutumia kuruan ya uarabuni?
 
Wew kizibo kwel,so mungu wako wa kuruan si yupo uko kwenye kijumba chake Arabuni?,kw am kabah ni Nyumba ya nani bi mdogo wa mwijaku?,ety kale kajumba mwijaku alikuwa anakabusu ni la nani?
Itakua ulipita kwenye uchi mpana sana wakati unazaliwa!
 
Itakua ulipita kwenye uchi mpana sana wakati unazaliwa!
So na wew huwa unaenda kuswali Sasa?,uwiii huyo mnyaaaazi mungu amemkosa mja hapa uwiiiii,kituko hiki,Sasa wew umeongea kitu sahihi kabsa hapo?,ndio Mungu wenu anawafundisha hiv?
 
Back
Top Bottom