Je, tofauti na kuishi milele ni kitu gani kingine sisi wakristo tutapewa?

Mbona kuna tasa na wagumba wengi tu,Wana matumbo na hawazai!?..akili zako ndogo,hao wazazi wako na babu zako walitoka wapi ukitrace hadi wa kwanza kabisa?!..we ni papai,umejaa mbegu tu kichwani
Kumbe Mungu wako ni wa Arabuni ndio nmegundua Sasa, nilidhan ni yule mwenye trakooo anayeketi kweny kiti Cha enzi,vip huyo mungu wako anayekaa kwenye kijumba cheusi Cha mraba kama m-mbwaaa wa marehemu Kigunge?,vip ndiye aliyekuumba?,yaan ka Mungu kanakaa kwenye Banda🙌
 
Mbona kuna tasa na wagumba wengi tu,Wana matumbo na hawazai!?..akili zako ndogo,hao wazazi wako na babu zako walitoka wapi ukitrace hadi wa kwanza kabisa?!..we ni papai,umejaa mbegu tu kichwani
Hiyo ni nature ,the universe has its own rules kijana.mtu kutokuzaa Kuna sababu .na sio za huyo Mungu wako mwenye trakooo
 
Mbona kuna tasa na wagumba wengi tu,Wana matumbo na hawazai!?..akili zako ndogo,hao wazazi wako na babu zako walitoka wapi ukitrace hadi wa kwanza kabisa?!..we ni papai,umejaa mbegu tu kichwani
Hiyo ni nature ,the universe has its own rules kijana.mtu kutokuzaa Kuna sababu .na sio za huyo Mungu wako mwenye tra
Mungu mdhaifu aligongelewa misumari na wahuni wa kirumo,halafu wakabet nani achukue boksa yake
Afu mm Sio muhuni wa dini zenu hizo ,zenye miungu inayojengewa Nyumba kisha inaish ndani ya vijumba hivyo kama vi mbwaaa vyenye trakooo
 
Waislamu wao wakifika peponi Allah amewaofa mabikira 72 kwa kila mwanaume halafu wakaongezewa na pombe.

Upande wetu wakristo kwa madhehebu yetu yote tunaamini huko mbinguni hakuna koa wala kuolewa.
Sisi Yehova ametueahidi uzima wa milele (nijuavyo mimi).

Biblia inatoa sifa za ile mbingu mpya na nchi mpya baadhi ya sifa hizo ni kama.......

Hakutakuwa na kifo,jua wala mwezi ,magonjwa maandiko yanasema mji ule ni mzuri sana njia zake ni dhahabu safi malango yake ni lulu ule mji hautafungwa ( Mji ulikuwa unang'aa kwa utukufu wa Mungu. Ulikuwa unang'aa kwa uangavu kama yaspi, kito cha thamani sana. Ulionekana kwa uwazi kama kioo "ufunuo 21:11")

zaidi soma hapa Bible Gateway passage: Ufunuo 21 - Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi

Ukisoma kwa umakini wote utagundua hakika sifa nyingi umepewa ule mji wa wateuli biblia haijasema kama kutakuwa burudani zingine kama wenzetu wao waziwazi bila kufichwa wameahidiwa wanawake bikra tena warembo wenye macho kama bilauri.

Maswali yangu ya msingi ni haya JE TOFAUTI NA KUISHI MILELE NI KITU GANI KINGINE SISI WAKRISTO TUTAPEWA?
JE KAMA HAKUNA STAREHE KUNA HAJA GANI YA KUISHI MILELE?

KaribuniView attachment 3315146
Pombe yenyewe mbona hawaitaji jina smairnoff, hennecy, flyingfish, balimi safari au castlerite
 
Mbona kuna tasa na wagumba wengi tu,Wana matumbo na hawazai!?..akili zako ndogo,hao wazazi wako na babu zako walitoka wapi ukitrace hadi wa kwanza kabisa?!..we ni papai,umejaa mbegu tu kichwani
Hakuna mtu mjinga kama wew,je unajua mwanzo wa Mungu wako mwenye trakooo anayekaa kwenye kiti Cha enzi?,alitokea wapi?
 
Hiyo ni nature ,the universe has its own rules kijana.mtu kutokuzaa Kuna sababu .na sio za huyo Mungu wako mwenye tra

Afu mm Sio muhuni wa dini zenu hizo ,zenye miungu inayojengewa Nyumba kisha inaish ndani ya vijumba hivyo kama vi mbwaaa vyenye trakooo
We si umesema umetokea tumboni kwa mama yako,kama tumbo la mwanamke linatosha kuzaa, mbona kuna wanawake tasa
 
Wew kiaz kwel ,miembe yote uzaa ?,mimea yote uzaa?,ety wew mtumwa wa mungu mwenye trakooo
 
Waislamu wao wakifika peponi Allah amewaofa mabikira 72 kwa kila mwanaume halafu wakaongezewa na pombe.

Upande wetu wakristo kwa madhehebu yetu yote tunaamini huko mbinguni hakuna koa wala kuolewa.
Sisi Yehova ametueahidi uzima wa milele (nijuavyo mimi).

Biblia inatoa sifa za ile mbingu mpya na nchi mpya baadhi ya sifa hizo ni kama.......

Hakutakuwa na kifo,jua wala mwezi ,magonjwa maandiko yanasema mji ule ni mzuri sana njia zake ni dhahabu safi malango yake ni lulu ule mji hautafungwa ( Mji ulikuwa unang'aa kwa utukufu wa Mungu. Ulikuwa unang'aa kwa uangavu kama yaspi, kito cha thamani sana. Ulionekana kwa uwazi kama kioo "ufunuo 21:11")

zaidi soma hapa Bible Gateway passage: Ufunuo 21 - Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi

Ukisoma kwa umakini wote utagundua hakika sifa nyingi umepewa ule mji wa wateuli biblia haijasema kama kutakuwa burudani zingine kama wenzetu wao waziwazi bila kufichwa wameahidiwa wanawake bikra tena warembo wenye macho kama bilauri.

Maswali yangu ya msingi ni haya JE TOFAUTI NA KUISHI MILELE NI KITU GANI KINGINE SISI WAKRISTO TUTAPEWA?
JE KAMA HAKUNA STAREHE KUNA HAJA GANI YA KUISHI MILELE?

KaribuniView attachment 3315146
Jitahidi uishi maisha marefu hapa duniani kwa maana miiko yake nadhani kwasasa unaitambua
 
Huyo muumba wako Yuko wapi,yupoje na kipind anaumba alikuwa wapi?,kabla hajaumba tufe hili(sayari ya dunia).
Kwa elimu yako ndogo sayari dunia pana,kuna sayari nyingi kwenye galaxy yetu kuliko punje za mchanga zinazopatikana duniani,kwa akili unafikiri Mungu anahitaji space ya kuwepo, rethink, Quran inasema hafanani na chochote
 
Au sio kwa akili za kikanisa na za kimsikiti,wew unamjua Babu yako wa awali ukiachana na nadharia za kidini?,who is your first father?
First farther ndiyo nini wewe!?..kuna second and last father!?
 
Wew kiaz kwel ,miembe yote uzaa ?,mimea yote uzaa?,ety wew mtumwa wa mungu mwenye trakooo
So kuzaa siyo suala la tumbo tu, meaning hujatoka tu tumboni kwa mama yako na korodani za baba,kuna mamlaka huidhinisha
 
Kwa elimu yako ndogo sayari dunia pana,kuna sayari nyingi kwenye galaxy yetu kuliko punje za mchanga zinazopatikana duniani,kwa akili unafikiri Mungu anahitaji space ya kuwepo, rethink, Quran inasema hafanani na chochote
So kwa kunijibu hiv unaona sasa umeshatoa Jibu?,ety Kuruan 😂,kwa hiyo huwez kutumia akili yako kuufahamu ulimwengu?,swali huyo Mungu wako kabla ya kuumba sayari dunia alikuwa wapi?.yeye ni nani?,yupo wapi?,au ndio amekaa kwenye kijumba chake kile cheusi kama Cha dog wa kingunge?
 
So kuzaa siyo suala la tumbo tu, meaning hujatoka tu tumboni kwa mama yako na korodani za baba,kuna mamlaka huidhinisha
Acha ujinga wew,ety Kuna mamlaka uidhinisha,mbona wew mvaa kobaz mjinga hiv?,kwa hiyo huyo Mungu wako anayekaa kwenye kijumba uko Arabuni uidhinisha watoto wachanga wazaliwe alafu anawaua?,ety mvaa kobaz ?, umekariri Kuruan Sasa unajiona unajibu , uwiiii uwiiii mvaa kobazi ,ita na ndugu zako wakristo mtetee huu ujinga wenu.
 
So kuzaa siyo suala la tumbo tu, meaning hujatoka tu tumboni kwa mama yako na korodani za baba,kuna mamlaka huidhinish
Au hata hujui dhana ya kuzaa aseee?,ety kijana?,kinazaa chenye tumbo tu?.
 
First farther ndiyo nini wewe!?..kuna second and last father!?
Najua nipo nataka kufanya argument na mtu ambaye ana virusi vya dini,na nadharia yako ya Mungu wako wa Arabuni.hiv ni kitu Gani kinakufanya uwe wew Kam wew hapo ?,yaan kinachokufanya uishi?.,na zaid ni kwa nin unakuta mwanamke anajifungua mtoto anaishi na mwingine anajifungua mtoto Aishi?,ebu naomba unifundishe
 
Kwa elimu yako ndogo sayari dunia pana,kuna sayari nyingi kwenye galaxy yetu kuliko punje za mchanga zinazopatikana duniani,kwa akili unafikiri Mungu anahitaji space ya kuwepo, rethink, Quran inasema hafanani na chochote
Lakin Mungu wako Yuko uko akhera..in short anahitaj space kama Mungu wa ndugu zenu wakristo..huyo mungu wako anatumia mechanisms gan kuwa sehem zote ?,yupoje yaan?,nataka unielezee
 
Back
Top Bottom