Je, tofauti na kuishi milele ni kitu gani kingine sisi wakristo tutapewa?

Waislamu wao wakifika peponi Allah amewaofa mabikira 72 kwa kila mwanaume halafu wakaongezewa na pombe.

Upande wetu wakristo kwa madhehebu yetu yote tunaamini huko mbinguni hakuna koa wala kuolewa.
Sisi Yehova ametueahidi uzima wa milele (nijuavyo mimi).

Biblia inatoa sifa za ile mbingu mpya na nchi mpya baadhi ya sifa hizo ni kama.......

Hakutakuwa na kifo,jua wala mwezi ,magonjwa maandiko yanasema mji ule ni mzuri sana njia zake ni dhahabu safi malango yake ni lulu ule mji hautafungwa ( Mji ulikuwa unang'aa kwa utukufu wa Mungu. Ulikuwa unang'aa kwa uangavu kama yaspi, kito cha thamani sana. Ulionekana kwa uwazi kama kioo "ufunuo 21:11")

zaidi soma hapa Bible Gateway passage: Ufunuo 21 - Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi

Ukisoma kwa umakini wote utagundua hakika sifa nyingi umepewa ule mji wa wateuli biblia haijasema kama kutakuwa burudani zingine kama wenzetu wao waziwazi bila kufichwa wameahidiwa wanawake bikra tena warembo wenye macho kama bilauri.

Maswali yangu ya msingi ni haya JE TOFAUTI NA KUISHI MILELE NI KITU GANI KINGINE SISI WAKRISTO TUTAPEWA?
JE KAMA HAKUNA STAREHE KUNA HAJA GANI YA KUISHI MILELE?

KaribuniView attachment 3315146
Zab 8:6. Ni msitari wenye nguvu mno mno. Unajua ukubwa wa kazi za mikono ya Mungu? Universe? Na hizo zitakuwa chini yako? Mfano unapewa galaxy moja inakuwa chini yako. Unafiri kazi ni kuziangalia hizo barren planets wakati wewe utakuwa Mungu? (Yes, Mungu) mwenye uwezo wa ku create?? Kuna recreation of the Universe at an unthinkable and unimaginable scale, na wewe utakuwa mtekelezaji🙂
 
Wote si tutakuwa pamoja? Na wewe utaweza kuwapata hao mabikira
 
Zab 8:6. Ni msitari wenye nguvu mno mno. Unajua ukubwa wa kazi za mikono ya Mungu? Universe? Na hizo zitakuwa chini yako? Mfano unapewa galaxy moja inakuwa chini yako. Unafiri kazi ni kuziangalia hizo barren planets wakati wewe utakuwa Mungu? (Yes, Mungu) mwenye uwezo wa ku create?? Kuna recreation of the Universe at an unthinkable and unimaginable scale, na wewe utakuwa mtekelezaji🙂
Kwanini hatujaambiwa waziwazi kama WENZETU ?
 
Mungu wa arabuni ndiye aliyekuchonga mashavu na kukujaza mavvuzi
Mtoto mjinga sana wew 😂🤣😂,huyo alinichongea wapi ?,alikuwa wapi ?,ana akili kweli ?,, miongoni miungu wajinga ,huyo muungu anatengeneza top 2 .
 
Mungu gani alikutengeneza?..au ndo ulitokana na nyani aliyetokana na kiluilui kilichotokana na bacteria aliyetokana na mlipuko?!
 
Huyo Mungu wako akuniumba ,mm nmetokana na baba na mama yangu ,mm ni sehemu ya uhai wao .
 
Kumbe naongea na papai
Sijakutusi mzee,usinilazimishie huyo Mungu wako mwenye wivu wa kike,Sasa thibitisha kuwa huyo Mungu wako mjinga mjinga ndiye aliyekuumba,kama yeye ndio aliyelala na mama ako ili wakuumbe.ulikuwa kwenye tumbo la huyo Mungu wako mjinga mjinga?.sijawai kuona Mungu mjinga kama huyo unayemwamini.na sio Mungu ni muungu aliye mjinga mjinga.sijaumbwa na Mungu mjinga mjinga mm.
 
Kumbe naongea na papai
Yaan hiki ulichokiandika kinadhihirisha wew na huyo unayemwamini akili yenu ni moja .kwanza una chuki kama huyo Mungu wako mjinga mjinga.sijawai kuona mungu mdhaifu kama Mungu wako .
 
Mungu mdhaifu aligongelewa misumari na wahuni wa kirumo,halafu wakabet nani achukue boksa yake
 
Sijakutusi mzee,usinilazimishie huyo Mungu wako mwenye wivu wa kike,Sasa thibitisha kuwa huyo Mungu wako mjinga mjinga ndiye aliyekuumba,kama yeye ndio aliyelala na mama ako ili wakuumbe.ulikuwa kwenye tumbo la huyo Mungu wako mjinga mjinga?.sijawai kuona Mungu mjinga kama huyo unayemwamini.na sio Mungu ni muungu aliye mjinga mjinga.sijaumbwa na Mungu mjinga mjinga mm.
Mbona kuna tasa na wagumba wengi tu,Wana matumbo na hawazai!?..akili zako ndogo,hao wazazi wako na babu zako walitoka wapi ukitrace hadi wa kwanza kabisa?!..we ni papai,umejaa mbegu tu kichwani
 
Back
Top Bottom