Je, tofauti na kuishi milele ni kitu gani kingine sisi wakristo tutapewa?

Je, tofauti na kuishi milele ni kitu gani kingine sisi wakristo tutapewa?

Mabikra 72 wenye mizigo, tena wasiomaliza ubikra pamoja na mito ya pombe tamu isiyokauka (kulingana na mafundisho ya Sheikh Kipozeo)

Vs.

Kusujudu, kusifu na kuimba mbele ya kiti cha enzi milele na milele 24/7 daima dumu (kulingana na kitabu cha Ufunuo)....

Uchaguzi ni wako 😂😂😂🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
Nachagua mabikra... Tunaruhusiwa kwenda na mkongo?
 
Nachagua mabikra... Tunaruhusiwa kwenda na mkongo?
Hautahitaji mkongo maana, kulingana na Sheikh Kipozeo, kwa kadri unavyowabikiri hao mabikra 72 wenye mizigo na wasiomaliza ubikra ndivyo nguvu zako za kiume zinavyoongezeka. Mkongo wa nini sasa? 😳
 
Kwa iyo ata mtoto uliyomzaa wewe, afanye anavyotaka sababu umemzaa hukulazimishwa kumzaa? Imagine anafanya visivyokupendeza utafurahi tu
Kwa ufahamu wangu Mungu anajua kila kitu yaani kabla hata hajakuuba anajua utakuwa mkaidi utakuwa unamkejeri nk.
Lakini mimi binadamu siwezi jua ya kesho kuhusu mwanangu hivyo siwezi fananishwa na Mungu hata kwa 01%
 
Sio kufananishwa nakupa tu mfano, kuna andiko linasema je baba anaweza kuombwa mkate na mwanae akampa jiwe? La hasha, je si zaidi baba yenu wa mbinguni, ukiombacho unapewa sawasawa na mapenzi yake, huo ni mfano kuwa yanayofanyika dunian kwa MUNGU ni vile ila ni zaidi, ukimpa mtu kitu akashukuru ukafurahi basi kwa MUNGU pia ukishukuru anafurahi, ndio maana kuna pepo na jehanamu option ni yako mwenyew wapi unataka kwenda
 
Dunia ni nyumba ya kuchuma kwa ajili ya Akhera. Na hauongezeki umri wa Muumini ila ni kheri kwake.

عن أَبي هريرة رضي الله عنه : أنَّ رسول الله صلى الله عليه وسلم ، قَالَ : (( لا يَتَمَنَّ أحَدُكُمُ المَوْتَ ، إمَّا مُحْسِناً فَلَعَلَّهُ يَزْدَادُ ، وَإمَّا مُسِيئاً فَلَعَلَّهُ يَسْتَعْتِبُ )) متفقٌ عَلَيْهِ ، وهذا لفظ البخاري .

وفي رواية لمسلم عن أَبي هريرة رضي الله عنه ، عن رسول الله صلى الله عليه وسلم ، قَالَ : (( لاَ يَتَمَنَّ أَحَدُكُمُ المَوْتَ ، وَلاَ يَدْعُ بِهِ مِنْ قَبْلِ أنْ يَأتِيَهُ ؛ إنَّهُ إِذَا مَاتَ انْقَطَعَ عَمَلُهُ ، وَإنَّهُ لاَ يَزِيدُ المُؤْمِنَ عُمُرُهُ إِلاَّ خَيْراً )) .

Imepokewa kutoka kwa Abu Huraiyrah (Radhwiya Allaahu 'anhu) kuwa Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Asitamani mmoja wenu mauti kwani kama kama ni mtu mwema huenda akazidisha amali njema. Na ama akiwa ni mtu muovu (mwenye kufanya madhambi) huenda akatubia (na kutadaraki yalioyopita)." [Al-Bukhaariy, Muslim na Ahmad, na hii ni lafdhi ya Al-Bukhaariy]

Katika riwaayah ya Muslim kutoka kwa Abu Huraiyrah (Radhwiya Allaahu 'anhu) Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Asitamani mmoja wenu umauti wala asiwe ni mwenye kujiombea kabla hayajamfikia, kwani akiaga dunia amali yake yote hukatika. Na kwa hakika umri wa Muumini hauongezeki ila huleta kheri zaidi."
 
Naomba kuuliza hapo kwenye mabikra 72, je dada na wake zetu nao wata pewa vijeba 72 viwa shughulikie?

ayat 124 from Surah An-Nisa
﴿وَمَن يَعْمَلْ مِنَ الصَّالِحَاتِ مِن ذَكَرٍ أَوْ أُنثَىٰ وَهُوَ مُؤْمِنٌ فَأُولَٰئِكَ يَدْخُلُونَ الْجَنَّةَ وَلَا يُظْلَمُونَ نَقِيرًا﴾
[ النساء: 124]

Na anaye fanya mema, akiwa mwanamume au mwanamke, naye ni Muumini - basi hao wataingia Peponi wala hawatadhulumiwa hata kadiri ya tundu ya kokwa ya tende.

ayat 97 from Surah An-Nahl
﴿مَنْ عَمِلَ صَالِحًا مِّن ذَكَرٍ أَوْ أُنثَىٰ وَهُوَ مُؤْمِنٌ فَلَنُحْيِيَنَّهُ حَيَاةً طَيِّبَةً ۖ وَلَنَجْزِيَنَّهُمْ أَجْرَهُم بِأَحْسَنِ مَا كَانُوا يَعْمَلُونَ﴾
[ النحل: 97]

Mwenye kutenda mema, mwanamume au mwanamke, naye akawa ni Muumini, tutamhuisha maisha mema; na tutawapa ujira wao kwa bora ya waliyo kuwa wakiyatenda.

ayat 35 from Surah Al-Ahzab
﴿إِنَّ الْمُسْلِمِينَ وَالْمُسْلِمَاتِ وَالْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ وَالْقَانِتِينَ وَالْقَانِتَاتِ وَالصَّادِقِينَ وَالصَّادِقَاتِ وَالصَّابِرِينَ وَالصَّابِرَاتِ وَالْخَاشِعِينَ وَالْخَاشِعَاتِ وَالْمُتَصَدِّقِينَ وَالْمُتَصَدِّقَاتِ وَالصَّائِمِينَ وَالصَّائِمَاتِ وَالْحَافِظِينَ فُرُوجَهُمْ وَالْحَافِظَاتِ وَالذَّاكِرِينَ اللَّهَ كَثِيرًا وَالذَّاكِرَاتِ أَعَدَّ اللَّهُ لَهُم مَّغْفِرَةً وَأَجْرًا عَظِيمًا﴾
[ الأحزاب: 35]

Hakika Waislamu wanaume na Waislamu wanawake, na Waumini wanaume na Waumini wanawake, na wat'iifu wanaume na wat'iifu wanawake, na wasemao kweli wanaume na wanawake, na wanao subiri wanaume na wanawake, na wanyenyekevu wanaume na wanawake, na watoao sadaka wanaume na wanawake, na wanao funga wanaume na wanawake, na wanao jihifadhi tupu zao wanaume na wanawake, na wanao mdhukuru Mwenyezi Mungu kwa wingi wanaume na wanawake, Mwenyezi Mungu amewaandalia msamaha na ujira mkubwa.

Na Imekuja katika Hadith;

عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ عَنْ رَسُولِ اللَّهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ:
«قَالَ اللَّهُ تَبَارَكَ وَتَعَالَى: أَعْدَدْتُ لِعِبَادِي الصَّالِحِينَ، مَا لاَ عَيْنٌ رَأَتْ، وَلاَ أُذُنٌ سَمِعَتْ، وَلاَ خَطَرَ عَلَى قَلْبِ بَشَرٍ» قَالَ أَبُو هُرَيْرَةَ: اقْرَؤُوا إِنْ شِئْتُمْ: {فَلاَ تَعْلَمُ نَفْسٌ مَا أُخْفِيَ لَهُمْ مِنْ قُرَّةِ أَعْيُنٍ} [السجدة: 17].
[صحيح] - [متفق عليه] - [صحيح البخاري: 4779]

Imepokelewa kutoka kwa Abuu Huraira radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake, kutoka kwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake amesema:
"Amesema Allah Aliyetakasika na kutukuka: Nimewaandalia waja wangu wema, vitu ambavyo jicho halijawahi kuona, wala sikio kusikia, wala haijawahi kupita katika fikira ya moyo wa binadamu yeyote" Akasema Abuu Huraira: Someni mkitaka: "Basi nafsi yoyote haijui yale waliyofichiwa miongoni mwa mambo yenye kutuliza macho" [As-Sajida: 17).
[Sahihi] - [Wamekubaliana Bukhaariy na Muslim] - [صحيح البخاري - 4779]

Itoshe tu kwako kujua kuwa Wanawake wa hapa Duniani watakaoingia Peponi watakuwa na hadhi kubwa na bora zaidi kuliko wanawake walioumbwa kwa ajili ya watu wa Peponi (Hurul 'Ayn).
 
Dunia ni nyumba ya kuchuma kwa ajili ya Akhera. Na hauongezeki umri wa Muumini ila ni kheri kwake.

عن أَبي هريرة رضي الله عنه : أنَّ رسول الله صلى الله عليه وسلم ، قَالَ : (( لا يَتَمَنَّ أحَدُكُمُ المَوْتَ ، إمَّا مُحْسِناً فَلَعَلَّهُ يَزْدَادُ ، وَإمَّا مُسِيئاً فَلَعَلَّهُ يَسْتَعْتِبُ )) متفقٌ عَلَيْهِ ، وهذا لفظ البخاري .

وفي رواية لمسلم عن أَبي هريرة رضي الله عنه ، عن رسول الله صلى الله عليه وسلم ، قَالَ : (( لاَ يَتَمَنَّ أَحَدُكُمُ المَوْتَ ، وَلاَ يَدْعُ بِهِ مِنْ قَبْلِ أنْ يَأتِيَهُ ؛ إنَّهُ إِذَا مَاتَ انْقَطَعَ عَمَلُهُ ، وَإنَّهُ لاَ يَزِيدُ المُؤْمِنَ عُمُرُهُ إِلاَّ خَيْراً )) .

Imepokewa kutoka kwa Abu Huraiyrah (Radhwiya Allaahu 'anhu) kuwa Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Asitamani mmoja wenu mauti kwani kama kama ni mtu mwema huenda akazidisha amali njema. Na ama akiwa ni mtu muovu (mwenye kufanya madhambi) huenda akatubia (na kutadaraki yalioyopita)." [Al-Bukhaariy, Muslim na Ahmad, na hii ni lafdhi ya Al-Bukhaariy]

Katika riwaayah ya Muslim kutoka kwa Abu Huraiyrah (Radhwiya Allaahu 'anhu) Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Asitamani mmoja wenu umauti wala asiwe ni mwenye kujiombea kabla hayajamfikia, kwani akiaga dunia amali yake yote hukatika. Na kwa hakika umri wa Muumini hauongezeki ila huleta kheri zaidi."
Hii hadith siyo saheeh
 
Hii hadith siyo saheeh

Huu ni Uislam, kumbuka, sio ufunuo wa Yohana. Hakuna janja janja na Dini hii imehifadhiwa. Hakuna kubahatisha.

Najua hukutarajia kupata jibu hili, ila kama unataka kujifunza zaidi na kuitafuta haki, utakuta katika Uislam majibu ya maswali yako mengi ambayo unadhani hayana majibu.

Endelea kujifunza.

Namuomba Allah akuongoze katika Uislam. Aameen.

Namuomba Allah anifishe katika Uislam na Sunnah. Aameen.
 
Unajiona umejibu mwenyewee...😂😂😂
 
Yehova na miungu wengine kina yule wa Arabuni ni matapeli sana.
 
Back
Top Bottom