Je, tofauti na kuishi milele ni kitu gani kingine sisi wakristo tutapewa?

Je, tofauti na kuishi milele ni kitu gani kingine sisi wakristo tutapewa?

Mbinguni hakuna jinsia ya Kike:
Mungu na Malaika wote ni Wanaume ndio maana tunasali Baba yetu uliye Mbinguni: ( angalia majina ya Malaika hakuna la Kike)

Hebu soma hapa:

Isaya 50:1
Bwana asema hivi, Iko wapi hati ya talaka ya mama yenu, ambayo kwa hiyo naliachana naye? Au nimewauza ninyi kwa nani katika watu wanaoniwia? Ninyi mliuzwa kwa sababu ya maovu yenu; tena mama yenu ameachwa kwa sababu ya makosa yenu.

Kutokana na Biblia Mwanamke wa kwanza ni Hawa:
Na Mwanamke aliumbwa kwa sababu ya kumpatia mwenza Adamu:

Yesu alishuka kama Mwanamume:
Hivyo hivyo huko Mbinguni wanawake watabaki na jinsia yao ya Kike, huku wakipata mema yote kama jinsia ya Kiume:
Thibitisha kwa maandiko mkuu
 
Janat Firdaus
Ziko Janat Nyingj hiyo ni Ya Juu zaidi..
Zipo pepo kama 8 hivi..

1. Jannat al-Firdaus – Hii ndiyo Peponi ya juu kabisa na bora zaidi.

2. Jannat ‘Adn – Peponi ya kudumu milele, ya neema isiyokwisha.

3. Jannat al-Ma’wa – Peponi ya makazi, mahali pa amani.

4. Dar al-Salaam – Nyumba ya amani.

5. Dar al-Maqamah – Nyumba ya makazi ya kudumu.

6. Jannat al-Na'im – Peponi ya neema na starehe.

7. Dar al-Khuld – Nyumba ya umilele.

8. Illiyyin – Mahali pa juu kabisa pa wacha Mungu (pia huhusiana na rekodi ya wema).
 
Siyo kweli,sababu pepo zipo kwa madaraja na kila mtu ana daraja lake la uchamungu,daraja lako guest ya buku tano ukatie/tiwe hotel ya nyota tano duniani!?..peponi kwa uislam ni mtu atapewa atakacho
Kweli kila pepo ina naraja lake lakini kama mkeo ulie muacha duniani, alikuwa anakuombea dua. Ili mje muwe pamoja huko peponi Mungu anaweza ipokea dua yake.

Mwenyezi Mungu ni mwingi wa kusamehe na mwenye kurehemu
 
Hahaha hapana kwa kwel, mda huo utakuta mimi huko jehanam nimeuzoea moto na gida zangu tu bia na warembo kibao.
Nilichosoma kwa mujibu wa mafundisho ya Uislamu ni kuwa hakuna kuzoea moto wala kuzoea pepo. Aliyemuumba mtu anajua anaweza kuzoea hali yoyote iwe ya raha au ya shida kwahiyo inaelezwa kutakuwa na mabadiliko ya mara kwa mara motoni na peponi.
 
Thibitisha kwa maandiko mkuu
Nithibitishe jambo gani ?
Wakati maandiko nimeya ambatanisha hapo:

Mungu ni Mwanamume Malaika pia ni Wanaume:
Maandiko yapo mengi sana kuthibitisha hili jambo:

Kiumbe cha kike cha kwanza kuumbwa ni Hawa:
Baadhi ya majina ya Malaika ni Gabriel, Raphael, Michael, nk. Wote wakiume:

Ref: Sala Kuu:
Baba Yetu Uliye Mbinguni
Jina Lako Litukuzwe
Ufalme Wako Uje
Utakalo Lifanyike
Duniani Koama Mbinguni...

Hadi Shetani Mkuu Lucifer ni Mwanaume (malaika aliyekuwa na kiburi na kutupwa nje ya Ufalme wa Mbingu)
 
Kama umewahi kuingia katika ulimwengu wa roho au tuite kutoka katika mwili na kuingia mahali pa raha utajua kuwa mbinguni kuna raha.
Yaani moyoni unasikia raha isiyoisha.
Unexplainable.
Achana na wale wapuuzi wa maziwa na asali , mara mito ya pombe mara bikra 70
 
Waislamu wao wakifika peponi Allah amewaofa mabikira 72 kwa kila mwanaume halafu wakaongezewa na pombe.

Upande wetu wakristo kwa madhehebu yetu yote tunaamini huko mbinguni hakuna koa wala kuolewa.
Sisi Yehova ametueahidi uzima wa milele (nijuavyo mimi).

Biblia inatoa sifa za ile mbingu mpya na nchi mpya baadhi ya sifa hizo ni kama.......

Hakutakuwa na kifo,jua wala mwezi ,magonjwa maandiko yanasema mji ule ni mzuri sana njia zake ni dhahabu safi malango yake ni lulu ule mji hautafungwa ( Mji ulikuwa unang'aa kwa utukufu wa Mungu. Ulikuwa unang'aa kwa uangavu kama yaspi, kito cha thamani sana. Ulionekana kwa uwazi kama kioo "ufunuo 21:11")

zaidi soma hapa Bible Gateway passage: Ufunuo 21 - Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi

Ukisoma kwa umakini wote utagundua hakika sifa nyingi umepewa ule mji wa wateuli biblia haijasema kama kutakuwa burudani zingine kama wenzetu wao waziwazi bila kufichwa wameahidiwa wanawake bikra tena warembo wenye macho kama bilauri.

Maswali yangu ya msingi ni haya JE TOFAUTI NA KUISHI MILELE NI KITU GANI KINGINE SISI WAKRISTO TUTAPEWA?
JE KAMA HAKUNA STAREHE KUNA HAJA GANI YA KUISHI MILELE?


KaribuniView attachment 3315146
Raha katika roho inatafsir tofauti na mwili. Kila kitu ni katika kiwango cha kimbingu. Utapewa mwili mpya, makaz mapya na utaishi na mfalme mkuu, so huwez nyumba ya kifalme ukaishi kifukara.
 
Kama umewahi kuingia katika ulimwengu wa roho au tuite kutoka katika mwili na kuingia mahali pa raha utajua kuwa mbinguni kuna raha.
Yaani moyoni unasikia raha isiyoisha.
Unexplainable.
Achana na wale wapuuzi wa maziwa na asali , mara mito ya pombe mara bikra 70
Raha isiyo isha ndio nini? wewe elezea nini mmeandaliwa mbimguni
 
Waislamu wao wakifika peponi Allah amewaofa mabikira 72 kwa kila mwanaume halafu wakaongezewa na pombe.

Upande wetu wakristo kwa madhehebu yetu yote tunaamini huko mbinguni hakuna koa wala kuolewa.
Sisi Yehova ametueahidi uzima wa milele (nijuavyo mimi).

Biblia inatoa sifa za ile mbingu mpya na nchi mpya baadhi ya sifa hizo ni kama.......

Hakutakuwa na kifo,jua wala mwezi ,magonjwa maandiko yanasema mji ule ni mzuri sana njia zake ni dhahabu safi malango yake ni lulu ule mji hautafungwa ( Mji ulikuwa unang'aa kwa utukufu wa Mungu. Ulikuwa unang'aa kwa uangavu kama yaspi, kito cha thamani sana. Ulionekana kwa uwazi kama kioo "ufunuo 21:11")

zaidi soma hapa Bible Gateway passage: Ufunuo 21 - Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi

Ukisoma kwa umakini wote utagundua hakika sifa nyingi umepewa ule mji wa wateuli biblia haijasema kama kutakuwa burudani zingine kama wenzetu wao waziwazi bila kufichwa wameahidiwa wanawake bikra tena warembo wenye macho kama bilauri.

Maswali yangu ya msingi ni haya JE TOFAUTI NA KUISHI MILELE NI KITU GANI KINGINE SISI WAKRISTO TUTAPEWA?
JE KAMA HAKUNA STAREHE KUNA HAJA GANI YA KUISHI MILELE?


KaribuniView attachment 3315146
Binadamu bwana hawana fadhila wala kuridhika.

Yaani haujafika hata mbinguni penyewe uishi hata miaka miwili, umeshauchoka uzima 😅😅😅
 
Binadamu bwana hawana fadhila wala kuridhika.

Yaani haujafika hata mbinguni penyewe uishi hata miaka miwili, umeshauchoka uzima 😅😅😅
Mkuu tunauliza kama tuishi milele bila starehe wala burudani yoyote Ile si tutachoka na ku boeka sasa😆
 
Back
Top Bottom