gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Wajinga kweli!!Wameanza Kupata wivu sio??🤣🤣
Wajinga kweli!!Wameanza Kupata wivu sio??🤣🤣
Hao wengine 71 watapewa kama bakhshishi. Hao watawakuta huko huko wanawasubiri, sio wa dunia hii 😁Da Angel lakini wamesema mabikra 72 sasa huku waume zetu si wana wake mmoja, sasa hiyo idadi itafidiwa vipi?? 😹
🤣🤣🤣🤣🤣,Wanabugi siyo, mbingu haina vaibuSema hapa kidogo huyo papa mpya ajaye aparekebishe ili kuvutia wafuasi wengi zaidi
Utapata kong'oteo linaloenea,siyo kibamia,full kurusha maji, mwamba six pack,pipe hailaliHao wengine 71 watapewa kama bakhshishi. Hao watawakuta huko huko wanawasubiri, sio wa dunia hii 😁
Aanze zoezi la kupaka mafuta na tangomkuu Tulia Ushaposwa Tayari..
2 Wakorintho 11:2
" Maana nawaonea wivu, wivu wa Mungu; kwa kuwa naliwaposea mume mmoja, ili nimletee Kristo bikira safi."
Ukisoma Tena Kwenye Isaya..
Isaya 54:5
"Kwa sababu Muumba wako ni mume wako; Bwana wa majeshi ndilo jina lake; na Mtakatifu wa Israeli ndiye Mkombozi wako; Yeye ataitwa Mungu wa dunia yote."
Na Mwisho Tunapata Ahadi ya Kuolewa..
Hosea 2:19-22
19 Nami nitakuoa uwe wangu kwa milele; naam, nitakuoa kwa haki, na kwa hukumu, na kwa ufadhili, na kwa rehema.
20 Nami nitakuoa kwa uaminifu; nawe utamjua Bwana.
21 Tena itakuwa siku hiyo, mimi nitaitika, asema Bwana; nitaziitikia mbingu, nazo zitaiitikia nchi;
22 nayo nchi itaiitikia nafaka na divai na mafuta; nayo yataiitikia Yezreeli.
NImefurahi hiyo respond ya mwishoni 😀😀😀Uzima, no suffering...maana yake...sio tu longevity...anyway sijui...
Dah Watu mna maneno aisee 🤣🤣🤣Aanze zoezi la kupaka mafuta na tango
Suleiman alikua nao buku,acha uvivu72 wengi sana aisee hawa wawili tu mziki bora option ya kwenda kujiimbia zangu tu machenja ya huko.
Kiranga alikimbia siku nyingi,hataki kuimba viitikio/chorus mileleKabisa yeye Kiranga ataimba na kusifu milele.
Magonjwa yenyewe si ni ya ini,figo,saratani ya njia ya kizazi,tezi dume,so via vya uzazi vipoNasi tutapewa mwili mpya mkuu , usio na magonjwa wala kufa hawajasema kama vitawekwa via vya uzazi bwashee
Hao watakuwa wake kwa waume zao waliokuwa duniani pamoja(wataingia peponi na waume zao wa duniani)Naomba kuuliza hapo kwenye mabikra 72, je dada na wake zetu nao wata pewa vijeba 72 viwa shughulikie?
Siyo kweli,sababu pepo zipo kwa madaraja na kila mtu ana daraja lake la uchamungu,daraja lako guest ya buku tano ukatie/tiwe hotel ya nyota tano duniani!?..peponi kwa uislam ni mtu atapewa atakachoHao watakuwa wake kwa waume zao waliokuwa duniani pamoja(wataingia peponi na waume zao wa duniani)
Mbinguni kumepoa ni mapambio tu kama msibani🤣🤣🤣🤣🤣,Wanabugi siyo, mbingu haina vaibu
Huko mimba vp mkuuUtapata kong'oteo linaloenea,siyo kibamia,full kurusha maji, mwamba six pack,pipe hailali
Hakuna mimbaHuko mimba vp mkuu
Akili ni mpango wa shetani , amelaaniwa azitegemeae akili zake mwenyewe
Khaaaaaaa, simtaki huyo.Utapata kong'oteo linaloenea,siyo kibamia,full kurusha maji, mwamba six pack,pipe hailali
We unampangia Mungu 😃Khaaaaaaa, simtaki huyo.
Namtaka huyuhuyu mmewangu 🫣
Ukishaona neno linahitaji tafsiri tu ujue hilo ni neno la watu.Hakuna utata hapo ila kuna upana wa tafsiri. Kuna utajiri mkubwa wa tafsiri zinazoonyesha upana wa maelezo ya Mungu ili yaguse kila angle. Usugu wa moyo ndio utaona huu ni udhaifu.
Duh mkuu una msimamo mkali kama Al shababUkishaona neno linahitaji tafsiri tu ujue hilo ni neno la watu.
Kama Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wotw na upendo wote yupo, neno lake lisingwhitaji tafsiri. Kika mtu angelielewa bila kuhutaji tafsiri.
Huelewi wapi?