min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Lamo pombe imekata aseee ngoja niagize visunguraHao mabikra 72 ni sisi Mungu hana muda wa kuumba wanawake wengine..!!
Ongea na mimi vizuri ohhh 😹😹😹
Lamo pombe imekata aseee ngoja niagize visunguraHao mabikra 72 ni sisi Mungu hana muda wa kuumba wanawake wengine..!!
Ongea na mimi vizuri ohhh 😹😹😹
Mkuu mimi nakuwahi kabisa tukiwa hapa hapa duniani. Tukifika kule sitaki mtu akusogelee nitaua mtu. 😃Hao mabikra 72 ni sisi Mungu hana muda wa kuumba wanawake wengine..!!
Ongea na mimi vizuri ohhh 😹😹😹
Sisi ndio tutakuwa hao mahur-layn.Itakuaje sasa madam mzuri kuhusu wanawake?
Natak hii ipo youtubeNitakupa mrejesho kaka , angalia pia lucifer the morning starView attachment 3315252
Nadhani ni dhana hasi hizi.Waambie kwamba Wao Wataimba Milele Na milele..Bila Kupumzika Huku wakisujudu Bila Kupumzika..
Huku wakila Maziwa tu na Asali..
Hakuna Ziada 😀😀
Da Angel lakini wamesema mabikra 72 sasa huku waume zetu si wana wake mmoja, sasa hiyo idadi itafidiwa vipi?? 😹Sisi ndio tutakuwa hao mahur-layn.
Na kila mwanamke atabaki na mmewe
Kunawatu Wana mpango wa kuhamia mars nao mwisho watarudisha huku huku tuimbe nao na kusifu au ndo mambo ya rohoni hayaelezeki Kwa akili DR Mambo Jambopeponi ni huko kwenye majini na mapepo aka akhera kwenye mito ya pombe na mabikira 72 wenye macho kama gololi.
Wakati Mbinguni ni kWa Mungu mkuu Jehova aliyeumba mbingu na dunia.
Netflix ipo kitambo madam mzuriNatak hii ipo youtube
😹😹😹 Weeehh..!!Mkuu mimi nakuwahi kabisa tukiwa hapa hapa duniani. Tukifika kule sitaki mtu akusogelee nitaua mtu. 😃
Bata linaliwa anakoenda min -me , ongea nae vizuri akuwekee siti😂Nadhani ni dhana hasi hizi.
Huwa tunaabudu na kusujudu kwa ajili ya kuomba rehema za Mungu ili twende mbinguni.
Sasa tunafika mbinguni tunamuomba nini tena Mungu?
Halafu kuimba ni vipawa vya wanakwaya na ni burudani yao, sasa tusiopenda kuimba tutalazimishwa?
Ungelisema kula bata high classic ningelikuelewa.
Wakati wengine wanaimba na kusifufu sisi ni chwaa chwaaa chwaaa😹😹😹 Weeehh..!!
Afu hakuna jinsi yaan wote mnakuwa sawa kimuonekano,hakuna mwanaume wala mwanamkeBora hata waislam wamepewa ofa nzuri, Sasa uishi milele mambo ya kuimba kwaya tu hakuna kitu kingine Kuna nini hapo
Tena kikaragosi kilochofanyiwa MODIFICATION ya kiuno na nyeti,....😂😂😂🙌📌Mbinguni ni mateso, kama kuzimu tu.
Umepewa mabikra 72, uishi nao kinyumba milele, raha iko wapi hapo? Huumwi, huzeeki, huchoki, ni wewe na mabikra tu.
Wasipokuondolea uwezo wako wa kukinai, utateseka. Wakikuondolea, wewe sio mtu tena, ni kikalagosi.
Si amesema hataki kuimba na kusifu huko mbinguni maana ameyafanya hayo hapa duniani. Sasa akitaka bata akuone mapema.Kwa nini mkuu?😆😆