Ukiona nakuita madam ujue nimeshalewa 🤣🤣🤣Huyo wampe kazi ya kupokea wageni na kuwaonyesha sehemu ya kusujudu..!! 😹😹
Relax bro. Hilo suala Mungu kalimaliza kitambo. Huwezi kunikuta najadili hilo popote zaidi ya hiki ninachokis8sitiza. Ninachokuambia hapa siongei na wewe naongea na dhamiri yako qmbayo imefungwa na ukweli wa uwepo wa Mungu automatically.Thibitisha uwepo Mungu acha janja janja usifikiri kila mtu ni kiazi master haujui hata lugha tano za kimataifa tunathibishaje wewe hata biblia unaijua vizuri kweli?
Kumbusu YesuWaislamu wao wakifika peponi Allah amewaofa mabikira 72 kwa kila mwanaume halafu wakaongezewa na pombe.
Upande wetu wakristo kwa madhehebu yetu yote tunaamini huko mbinguni hakuna koa wala kuolewa.
Sisi Yehova ametueahidi uzima wa milele (nijuavyo mimi).
Biblia inatoa sifa za ile mbingu mpya na nchi mpya baadhi ya sifa hizo ni kama.......
Hakutakuwa na kifo,jua wala mwezi ,magonjwa maandiko yanasema mji ule ni mzuri sana njia zake ni dhahabu safi malango yake ni lulu ule mji hautafungwa ( Mji ulikuwa unang'aa kwa utukufu wa Mungu. Ulikuwa unang'aa kwa uangavu kama yaspi, kito cha thamani sana. Ulionekana kwa uwazi kama kioo "ufunuo 21:11")
zaidi soma hapa Bible Gateway passage: Ufunuo 21 - Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Ukisoma kwa umakini wote utagundua hakika sifa nyingi umepewa ule mji wa wateuli biblia haijasema kama kutakuwa burudani zingine kama wenzetu wao waziwazi bila kufichwa wameahidiwa wanawake bikra tena warembo wenye macho kama bilauri.
Maswali yangu ya msingi ni haya JE TOFAUTI NA KUISHI MILELE NI KITU GANI KINGINE SISI WAKRISTO TUTAPEWA?
JE KAMA HAKUNA STAREHE KUNA HAJA GANI YA KUISHI MILELE?
KaribuniView attachment 3315146
Hii Point Kubwa Sana Umeiongea Mkuu!Mungu aliyekuumba anajua kitu gani akikuba kwako ndio bora zaidi. Kuna watu wanapenda vitu kwa sababu ya movie, western brainwshing etc.
Pia ubora wa tendo la ndoa ni subjective.
Inategemea na mtu na mtu.
Linakuzwa sana na wafanyabiashara zinazotegemea ngono kama mtaji.
Mimi naamini kuna bora mbadala wa bora zote ambazo tuznaiona bora sasa mkuu wangu.
kwani wanawake wa kiislamu wao wame ahidiwa nini?Maswali yangu ya msingi ni haya JE TOFAUTI NA KUISHI MILELE NI KITU GANI KINGINE SISI WAKRISTO TUTAPEWA?
JE KAMA HAKUNA STAREHE KUNA HAJA GANI YA KUISHI MILELE?
KaribuniView attachment 3315146
Jehanam pasikie tu hapafaiHii zaidi ya jehanam
NdioMilele yote?
Tutakutana wapi na wewe, kama ni kwa bikra 72 nitaomba mmoja wao uwe wewe. Kama kusifu na kuabudu basi nitajitolea kukuletea asali na maziwa kila siku na kama ni kule alikosema min -me anaenda basi nitajitolea tuwe wote. Kifupi utakapokuwepo nami nipo.Huyo wampe kazi ya kupokea wageni na kuwaonyesha sehemu ya kusujudu..!! 😹😹
Umewahi kufika mkuu wangu?Jehanam pasikie tu hapafai
Kaka unaongelea dhamira yangu wewe? Umeijuaje dhamira yangu?Relax bro. Hilo suala Mungu kalimaliza kitambo. Huwezi kunikuta najadili hilo popote zaidi ya hiki ninachokis8sitiza. Ninachokuambia hapa siongei na wewe naongea na dhamiri yako qmbayo imefungwa na ukweli wa uwepo wa Mungu automatically.
Kwa mujibu wa biblia mkuuUmewahi kufika mkuu wangu?
Kaka , Lamomy hana baya , ila sijui kama jamii africa kwa mambo ya hovyo tutadumu mkuu🤔🤔🤔 kwako ActiveTutakutana wapi na wewe, kama ni kwa bikra 72 nitaomba mmoja wao uwe wewe. Kama kusifu na kuabudu basi nitajitolea kukuletea asali na maziwa kila siku na kama ni kule alikosema min -me anaenda basi nitajitolea tuwe wote. Kifupi utakapokuwepo nami nipo.
Pombe ya wapi sasa? Ya kilabu cha mbinguni au cha huku duniani?? 😹😹Ukiona nakuita madam ujue nimeshalewa 🤣🤣🤣
Sawa mkuu.Kwa mujibu wa biblia mkuu
Ya dunia ya kwanza , ya huko kuzimu situmii kabisa🙌Pombe ya wapi sasa? Ya kilabu cha mbinguni au cha huku duniani?? 😹😹
Hao mabikra 72 ni sisi Mungu hana muda wa kuumba wanawake wengine..!!Tutakutana wapi na wewe, kama ni kwa bikra 72 nitaomba mmoja wao uwe wewe. Kama kusifu na kuabudu basi nitajitolea kukuletea asali na maziwa kila siku na kama ni kule alikosema min -me anaenda basi nitajitolea tuwe wote. Kifupi utakapokuwepo nami nipo.
Chimpumu au chipapa? 😹😹Ya dunia ya kwanza , ya huko kuzimu situmii kabisa🙌