Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
- Thread starter
- #121
Naunga mkono hojaTofautisha Kati ya mbinguni na pepo ya allah.
Allah vs Jehova ni maji na moto
Naunga mkono hojaTofautisha Kati ya mbinguni na pepo ya allah.
Umesema hakuna jua wala mwezi, huo mwanga ni wa nini kwenye hiyo picha uliyopiga mbinguni?Waislamu wao wakifika peponi Allah amewaofa mabikira 72 kwa kila mwanaume halafu wakaongezewa na pombe.
Upande wetu wakristo kwa madhehebu yetu yote tunaamini huko mbinguni hakuna koa wala kuolewa.
Sisi Yehova ametueahidi uzima wa milele (nijuavyo mimi).
Biblia inatoa sifa za ile mbingu mpya na nchi mpya baadhi ya sifa hizo ni kama.......
Hakutakuwa na kifo,jua wala mwezi ,magonjwa maandiko yanasema mji ule ni mzuri sana njia zake ni dhahabu safi malango yake ni lulu ule mji hautafungwa ( Mji ulikuwa unang'aa kwa utukufu wa Mungu. Ulikuwa unang'aa kwa uangavu kama yaspi, kito cha thamani sana. Ulionekana kwa uwazi kama kioo "ufunuo 21:11")
zaidi soma hapa Bible Gateway passage: Ufunuo 21 - Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Ukisoma kwa umakini wote utagundua hakika sifa nyingi umepewa ule mji wa wateuli biblia haijasema kama kutakuwa burudani zingine kama wenzetu wao waziwazi bila kufichwa wameahidiwa wanawake bikra tena warembo wenye macho kama bilauri.
Maswali yangu ya msingi ni haya JE TOFAUTI NA KUISHI MILELE NI KITU GANI KINGINE SISI WAKRISTO TUTAPEWA?
JE KAMA HAKUNA STAREHE KUNA HAJA GANI YA KUISHI MILELE?
KaribuniView attachment 3315146
Hivi sisi hatuna ahadi ya bikra?😭😭😭
Je kama ni kweli?
Watakuja watu waulize mbona una baka mara moja tu ila unakula mvua ya 30 years?Kupewa adhabu au zawadi ya milele kwa thawabu au dhambi ya miaka kadhaa tu ni ujinga unaoonesha hizi ni hadithi za kutungwa na watu tu.
Kama hazina zetu zipo mbinguni, hazina za duniani zipo kwa ajili ya nani?
kwenye kuimba itatumika lugha gani, au randomUnaweza kuimba milele bila kuchoka?
Ushawahi kuangalia movie za mazombie? Ndo kinachotokea mbinguni sasa. Unaondolewa utashi.
ISAYA 60:19Umesema hakuna jua wala mwezi, huo mwanga ni wa nini kwenye hiyo picha uliyopiga mbinguni?
Kwahyo kwa Logic maana Yake na Wewe Una hamu uwekewe Tendo la Ndoa na Kama hukuahidiwa Unaamini kabisa kipo kitu mbadala Kakiweka yaani Lazima maana Hawezi Kuziba kote..Tutakijua tukifika.
Ila logic inaruhusu hawezi kuzuia tendo la ndoa asiweke kitu bora zaidi ya alivyokizuia. Hapa tuwe wavumilivu
Mkuu hakuna kuolewa banamkuu Tulia Ushaposwa Tayari..
2 Wakorintho 11:2
" Maana nawaonea wivu, wivu wa Mungu; kwa kuwa naliwaposea mume mmoja, ili nimletee Kristo bikira safi."
Ukisoma Tena Kwenye Isaya..
Isaya 54:5
"Kwa sababu Muumba wako ni mume wako; Bwana wa majeshi ndilo jina lake; na Mtakatifu wa Israeli ndiye Mkombozi wako; Yeye ataitwa Mungu wa dunia yote."
Na Mwisho Tunapata Ahadi ya Kuolewa..
Hosea 2:19-22
19 Nami nitakuoa uwe wangu kwa milele; naam, nitakuoa kwa haki, na kwa hukumu, na kwa ufadhili, na kwa rehema.
20 Nami nitakuoa kwa uaminifu; nawe utamjua Bwana.
21 Tena itakuwa siku hiyo, mimi nitaitika, asema Bwana; nitaziitikia mbingu, nazo zitaiitikia nchi;
22 nayo nchi itaiitikia nafaka na divai na mafuta; nayo yataiitikia Yezreeli.
Quran inaeleza kila mtu atapata anachotaka, qu'ran 41.31Kama hazina zetu zipo mbinguni, hazina za duniani zipo kwa ajili ya nani?
Kama mabikra wapo mbinguni, mabikra wa duniani waliwekwa kwa ajili gani na kwa ajili ya nani?
Hii ni kali 😆Kwahyo kwa Logic maana Yake na Wewe Una hamu uwekewe Tendo la Ndoa na Kama hukuahidiwa Unaamini kabisa kipo kitu mbadala Kakiweka yaani Lazima maana Hawezi Kuziba kote..
Hahaaha Nimeipenda Hiyo Logic..
min -me kama Hujaahidiwa Kitu na wewe Jaribu kuwaza lazima Kuna Kitu mbadala wa Hicho kitu kipo..
Ndiyo maana Ikaitwa Imani
Swali la kumthibitisha Mungu hajaachia wafuasi wake. Yeye mwenyewe ameshalifanya ndani ya kila mwanadamu hata kama hamtaki.Hapo bado hauja toa hakika ya uwepo wa mungu umetumia mbinu ya fear appeal kukwepa mtego wa swali.
Jibu swali lake direct huku umezunguka sanaSwali lako mkuu!
Mbona Lina Jibu Kabisa..
Unajiuliza kwanini Kuna wazee Kigamboni na Ubungo wana Maeneo ya Hekari zaidi ya 1000 na Sio Matajiri kwamba walinunua Na Unajiuliza walinunuaje?
Waliwahi Kipindi ambacho Hakukuwa na Wakazi Eneo hilo wala Hakukuwa na Macho ya Kuamka wakajikatia Maeneo Kipindi bado ni vichaka Mji ulipochangamka ukawakuta tayari wana maeneo na Mitaa inawafahamu na Kuwalinda..
Nahisi Umeelewa Kwa Hiyo allegory
Nyuki watakuwa wapole sana ni asali tu😀Waambie kwamba Wao Wataimba Milele Na milele..Bila Kupumzika Huku wakisujudu Bila Kupumzika..
Huku wakila Maziwa tu na Asali..
Hakuna Ziada 😀😀
Lakini hekaya zinasema mbinguni zinaenda roho zetu.Quran inaeleza kila mtu atapata anachotaka, qu'ran 41.31
Tofauti na utumbo maini na ubongo na organ nyingine ndani yangu nyingine ni ipi?Swali la kumthibitisha Mungu hajaachia wafuasi wake. Yeye mwenyewe ameshalifanya ndani ya kila mwanadamu hata kama hamtaki.
Sisi kwa maandiko tunaambiwa matokeo makubwa ya uasi ni pale watu walipomkataa Mungu akilini mwao kwa Makusudi na kugeukia hadithi na nadharia potoshi. Hivyo suala la Mungu kuthibitisha ni swali ambalo sio la mjadala ameshafanya mwenyewe wala halihitaji imani na logic
Haya ni mawazo na fikra za kifirauniKwahyo kwa Logic maana Yake na Wewe Una hamu uwekewe Tendo la Ndoa na Kama hukuahidiwa Unaamini kabisa kipo kitu mbadala Kakiweka yaani Lazima maana Hawezi Kuziba kote..
Hahaaha Nimeipenda Hiyo Logic..
min -me kama Hujaahidiwa Kitu na wewe Jaribu kuwaza lazima Kuna Kitu mbadala wa Hicho kitu kipo..
Ndiyo maana Ikaitwa Imani