ProcrastinatorInChief
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 13,027
- 29,556
Mbinguni na Pepo Ni kitu Kimoja Mkuu Unataka Nikupe UthibitishoTofautisha Kati ya mbinguni na pepo ya allah.
Mbinguni na Pepo Ni kitu Kimoja Mkuu Unataka Nikupe UthibitishoTofautisha Kati ya mbinguni na pepo ya allah.
Achana na mudi boy ...siyo mtume ni roho ya ibilisi Kama kina mwamposa tuNaomba kuuliza hapo kwenye mabikra 72, je dada na wake zetu nao wata pewa vijeba 72 viwa shughulikie?
30 years si milele.Watakuja watu waulize mbona una baka mara moja tu ila unakula mvua ya 30 years?
Watauliza kama umekataa uwepo wa roho umejua vipi kama hazina via vya uzazi ?Lakini hekaya zinasema mbinguni zinaenda roho zetu.
Je roho zina viungo vya uzazi?
Hao mabikra wataliwaje?
HahahahaKwahyo kwa Logic maana Yake na Wewe Una hamu uwekewe Tendo la Ndoa na Kama hukuahidiwa Unaamini kabisa kipo kitu mbadala Kakiweka yaani Lazima maana Hawezi Kuziba kote..
Hahaaha Nimeipenda Hiyo Logic..
min -me kama Hujaahidiwa Kitu na wewe Jaribu kuwaza lazima Kuna Kitu mbadala wa Hicho kitu kipo..
Ndiyo maana Ikaitwa Imani
kwenye kuimba itatumika lugha gani, au random
Milele inamaana zaidi ya moja inategemea anaongea kwa muktadha upi.30 years si milele.
This is logical non sequitur fallacy and innumeracy that can't comprehend cross multiplication.
Lakini kuna adhabu za kifungo cha maisha mkuu30 years si milele.
This is logical non sequitur fallacy and innumeracy that can't comprehend cross multiplication.
Wale walio shinda watapewa kufanyika wana wa mungu ..... ukiambiwa uchague bikira 1000 au kuwa mungu ungechagua nini ? ...aliye Mungu kapata yote tena atakavyo yeye mwenyewe.Mabikra 72 wenye mizigo, tena wasiomaliza ubikra pamoja na mito ya pombe tamu isiyokauka (kulingana na mafundisho ya Sheikh Kipozeo)
Vs.
Kusujudu, kusifu na kuimba mbele ya kiti cha enzi milele na milele 24/7 daima dumu (kulingana na kitabu cha Ufunuo)....
Uchaguzi ni wako 😂😂😂🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
ntapitia huo uzi mkuu, sema jf kuna mada tata sana![]()
Sawa tumefika mbinguni. Je! tutakuwa tunaongea lugha Gani?
Inatakiwa utupe induction yake Sasa😆😆 Hiyo kazi watafanya malaika😃😃😃www.jamiiforums.com
Huwa Napenda Majibu ya Kutumia Akili 🤣🤣Jibu swali lake direct huku umezunguka sana
Ahhaha Kwahyo Inabidi Tuwe na Nyuki wa Kutosha 🤣🤣Nyuki watakuwa wapole sana ni asali tu😀
Wanasema binadamu ni mwili na roho.Watauliza kama umekataa uwepo wa roho umejua vipi kama hazina via vya uzazi ?
Na Hata Kuimba Ns Kula sijui matunda na Vingine itakuwaje maana Roho haili 🤣🤣Lakini hekaya zinasema mbinguni zinaenda roho zetu.
Je roho zina viungo vya uzazi?
Hao mabikra wataliwaje?
Kwahyo Unamshauri Nini matunduiziHaya ni mawazo na fikra za kifirauni
Si ijumaa mkuu? Akili kuzipata ndio mda wake sasa , watu wameshaanza kushusha sukari akili lazima ziwepo 🍺Huwa Napenda Majibu ya Kutumia Akili 🤣🤣
Wafia dini hawaonagi hizi Contradictions kabisa.Na Hata Kuimba Ns Kula sijui matunda na Vingine itakuwaje maana Roho haili 🤣🤣
Sasa asali bila nyuki inakuwaje Sasa 😀Ahhaha Kwahyo Inabidi Tuwe na Nyuki wa Kutosha 🤣🤣
Ukishaona kuna utata wa tafsiri, muktadha, lugha, utamaduni, etc, katika kutafsiri neno la Nungu, huo nao ni ushahidi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upwndo wote hayupo.Milele inamaana zaidi ya moja inategemea anaongea kwa muktadha upi.
Milele kwa maana isiyo na mwisho
Au milele kwa maana kitu kukoma kabisa kuwepo. Sisi watu wa Biblia maana zote zimetumika. Labda jamaa qeleze anamaanisba milele ipi.
Tendo la Ndoa Si kitu Bora kwangu Na sio kipaumbele, Vipi kwa wale ambao kwao ni Kipaumbele..Hahahaha
James 1:17
EVERY Good thing given and every perfect gift is from above; it comes down from the Father of lights [the Creator and Sustainer of the heavens], in whom there is no variation [no rising or setting] or shadow cast by His turning [for He is perfect and never changes].
Dr wewe ni mtaalam wa theolojia. Mungu ni bingwa wa kutoa vitu vizuri. Kwa pattern hiyo kama tendo la ndoa linaonekana ni kitu bora basi viko bora zaidi ya hocho tunavitarajia mkuu.