Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Kifungo cha maisha si milele, huelewi wapi?Lakini kuna adhabu za kifungo cha maisha mkuu
Kifungo cha maisha si milele, huelewi wapi?Lakini kuna adhabu za kifungo cha maisha mkuu
Safi hapa Umekula ✔️✔️ kwenye Kujibu Hili..Milele inamaana zaidi ya moja inategemea anaongea kwa muktadha upi.
Milele kwa maana isiyo na mwisho
Au milele kwa maana kitu kukoma kabisa kuwepo. Sisi watu wa Biblia maana zote zimetumika. Labda jamaa qeleze anamaanisba milele ipi.
Inawezekana Au Hujasikia Asali ya Miwa 😀😀Sasa asali bila nyuki inakuwaje Sasa 😀
Nasi tutapewa mwili mpya mkuu , usio na magonjwa wala kufa hawajasema kama vitawekwa via vya uzazi bwasheeWanasema binadamu ni mwili na roho.
Na wanadai mtu akifa mwili unabaki unaoza, roho ndio inaenda huko mbinguni.
Sasa kama roho ina via vya uzazi, na roho sio mwili, Hapo tayari kuna Contradictions.
🤣🤣Si ijumaa mkuu? Akili kuzipata ndio mda wake sasa , watu wameshaanza kushusha sukari akili lazima ziwepo 🍺
Sasa binadamu tangu vivazi vya kale tupo mabilioni iyo siku si miwa Itabid ipandwe ya kutosha 😀Inawezekana Au Hujasikia Asali ya Miwa 😀😀
Kwa nini upewe mwili mpya?Nasi tutapewa mwili mpya mkuu , usio na magonjwa wala kufa hawajasema kama vitawekwa via vya uzazi bwashee
Mkuu Milele Ina Muktadha nyingi sana..Ukishaona kuna utata wa tafsiri, nuktadha, lugha, utamaduni, etc, katika kutafsiri neno la Nungu, huo nao ni ushahidi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upwndo wote hayupo.
Angekuwapo, kila mtu angejua ukweli bila kuwa na utata wowote.
Nakuelewa sana tu,Kifungo cha maisha si milele, huelewi wapi?
Mwili wa kiroho mkuuKwa nini upewe mwili mpya?
Kwani hiyo roho haijitoshelezi yenyewe?
Ukitumia akili hauwezi kuamini haya mambo sema ndio hivyo tu🤣🤣
Kwahiyo Mungu hapendi akili 😀😀 Ni laana Kutumia Akili ...
Nimecheka sana
Sa uwo utakuwa mtungo.Angel Nylon njoo huku bhana
Tafuta Hii Movie Ya Hukumu Za MbinguniNakuelewa sana tu,
huwa najiuliza inakuaje dhambi zote ziwe sawa yani mimi ninywe bia tu nihukumiwe na muuaji?
Huyu Jamaa Dhambi yake Ilikuwa ni Uoga Tu na ndo alihukumiwa kwa Uoga tu..Tafuta Hii Movie Ya Hukumu Za Mbinguni
Jamaa wanakuambia Hakuna Moto wala Pepo ni ya mwaka 1992..
Na Hakuna uniform Dhambi
View attachment 3315250
Nitakupa mrejesho kaka , angalia pia lucifer the morning starTafuta Hii Movie Ya Hukumu Za Mbinguni
Jamaa wanakuambia Hakuna Moto wala Pepo ni ya mwaka 1992View attachment 3315250
Sasa hujaelewa ukichonukuu au unajitoa akili tu?Mkuu Milele Ina Muktadha nyingi sana..
Inaweza Kuwa na Mwanzo na Mwisho
Haya ni mambo yangu kabisa bro 😅 asante sana🙌Huyu Jamaa Dhambi yake Ilikuwa ni Uoga Tu na ndo alihukumiwa kwa Uoga tu..
na Hukumu yake ikawa Kurudi duniani kuzaliwa tena ila Alipokuwa Huko mbinguni akaonyesha Ujasiri kwa sababu ya Huyo mwanamke wakamuacha aende Next level..
min -me
Itakuaje sasa madam mzuri kuhusu wanawake?Sa uwo utakuwa mtungo.
Umeona wapi ng'ombe jike mmoja akaingiliwa na madume 10!?
Hizi ni tishatisha za jamii ya kale tu ambazo jamii ya watu walioelimika wa leo haitakiwi kuzifuata.Nakuelewa sana tu,
huwa najiuliza inakuaje dhambi zote ziwe sawa yani mimi ninywe bia tu nihukumiwe na muuaji?