Je, tofauti na kuishi milele ni kitu gani kingine sisi wakristo tutapewa?

Je, tofauti na kuishi milele ni kitu gani kingine sisi wakristo tutapewa?

Mtu anayemuamini hana hofu ya kifo. Kifo chake qmeshakikufa Yesu miaka 2000+ iliyopita mkuu.

Kiimani tunaamini licha ya kiwa tuniani lakini ametunzwa mbinguni katika ulimwengu wa roho. Mahala ambako kifo hakina nguvu. Mkristo anayeogopa qu kuzungumizia kifo sa a hawezi kwenda mbinguni. Maana waoga wote sehemu yao no katika ziwa la Moto.
Ndio maana nikakuambia hizo sio logic ni kusadikika kama ile hadithi ya chunguza na maua.
 
Yesu alisema hatokunywa tena uzao huu wa zabibu tena hadi atakapokunywa nanyi mpya katika ufalme wa baba yake
Hivyo na nyinyi mtakunywa pombe kama wenzenu
Hapo tumegawanyika walokole wao huwa wanasema haikuwa pombe pamoja na wasabato sisi wakatoliki pombe sio kosa ila ukilewa ukaleta fujo na aibu hiyo ndiyo dhambi.
 
Waislam hawajatajiwa bayana. Ni hadithi tu ambazo hata wenyewe wanaaminj nyingi ni uongo wa watu.
Ukristo ndio dini inayotoa option kubwa na bora kuliko ile. Ile hadithy inaifanya mbingu iwe kama pornhub au uwanja wa ngono
Huwa nikisoma naona mji mpya ndo umeelezewa zaidi iwe ukubwa malango ni12 yaani sidhani kama kuna kitu hakijaandikwa kuhusu mji. Swali ni je yohana hakuona wateule wa Mungu wakila bata na starehe au starehe ni dhambi?
 
Waislamu wao wakifika peponi Allah amewaofa mabikira 72 kwa kila mwanaume halafu wakaongezewa na pombe.

Upande wetu wakristo kwa madhehebu yetu yote tunaamini huko mbinguni hakuna koa wala kuolewa.
Sisi Yehova ametueahidi uzima wa milele (nijuavyo mimi).

Biblia inatoa sifa za ile mbingu mpya na nchi mpya baadhi ya sifa hizo ni kama.......

Hakutakuwa na kifo,jua wala mwezi ,magonjwa maandiko yanasema mji ule ni mzuri sana njia zake ni dhahabu safi malango yake ni lulu ule mji hautafungwa ( Mji ulikuwa unang'aa kwa utukufu wa Mungu. Ulikuwa unang'aa kwa uangavu kama yaspi, kito cha thamani sana. Ulionekana kwa uwazi kama kioo "ufunuo 21:11")

zaidi soma hapa Bible Gateway passage: Ufunuo 21 - Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi

Ukisoma kwa umakini wote utagundua hakika sifa nyingi umepewa ule mji wa wateuli biblia haijasema kama kutakuwa burudani zingine kama wenzetu wao waziwazi bila kufichwa wameahidiwa wanawake bikra tena warembo wenye macho kama bilauri.

Maswali yangu ya msingi ni haya JE TOFAUTI NA KUISHI MILELE NI KITU GANI KINGINE SISI WAKRISTO TUTAPEWA?
JE KAMA HAKUNA STAREHE KUNA HAJA GANI YA KUISHI MILELE?


KaribuniView attachment 3315146
Hivi sisi hatuna ahadi ya bikra?😭😭😭
 
Huwa nikisoma naona mji mpya ndo umeelezewa zaidi iwe ukubwa malango ni12 yaani sidhani kama kuna kitu hakijaandikwa kuhusu mji. Swali ni je yohana hakuona wateule wa Mungu wakila bata na starehe au starehe ni dhambi?
Hizi bata na starehe unazoziona ni fake version ya starehe.
Starehe zilazoleta
Magonjwa ngoma mfano
Ugomvi
Huzuni
Kuviziana
Aibu
Kudhalil8shana
Huwezi kustarehe wakati unahofu ya kufa wakati wowote.

Kule kutakuwa na anasa halosi na starehe halisi.
Ndio maana yohana anaifananisha na Harusi.
 
Mungu hadhibitiki kwa maneno. Ndani kabiss ya ubinadamu anajithibitisha mwenyewe. Kila anayepinga na kutaka athibitishiwe anakuwa ameusaliti ubinadamu na asili yake na kumkataa Mungu makusudi.
Hapo bado hauja toa hakika ya uwepo wa mungu umetumia mbinu ya fear appeal kukwepa mtego wa swali.
 
Mabikra 72 wenye mizigo, tena wasiomaliza ubikra pamoja na mito ya pombe tamu isiyokauka (kulingana na mafundisho ya Sheikh Kipozeo)

Vs.

Kusujudu, kusifu na kuimba mbele ya kiti cha enzi milele na milele 24/7 daima dumu (kulingana na kitabu cha Ufunuo)....


Uchaguzi ni wako 😂😂😂🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
72 wengi sana aisee hawa wawili tu mziki bora option ya kwenda kujiimbia zangu tu machenja ya huko.
 
Back
Top Bottom