Je, tofauti na kuishi milele ni kitu gani kingine sisi wakristo tutapewa?

Je, tofauti na kuishi milele ni kitu gani kingine sisi wakristo tutapewa?

Eeh Mkuu Sasa Kila Mkristo anasema atatawala na Yesu sasa wakienda huko Wanamtawala nani maana Tunasikia Mbingu na Nchi vyote vitakuwa Vipya hakuna wanyama wala Chochote
Leo umechangamka sana Talmid chacham.
Nafaidika sana na machapisho yako, ipo siku nitakusimulia uliponitoa na sasa niko wapi.
 
Back
Top Bottom