Je, tofauti na kuishi milele ni kitu gani kingine sisi wakristo tutapewa?

1 Wakorintho (1Co) 2:9 lakini, kama ilivyoandikwa, Mambo ambayo jicho halikuyaona wala sikio halikuyasikia, (Wala hayakuingia katika moyo wa mwanadamu,) Mambo ambayo Mungu aliwaandalia wampendao.
 
Atamuoa nani?

mkuu Tulia Ushaposwa Tayari..

2 Wakorintho 11:2
" Maana nawaonea wivu, wivu wa Mungu; kwa kuwa naliwaposea mume mmoja, ili nimletee Kristo bikira safi."

Ukisoma Tena Kwenye Isaya..

Isaya 54:5
"Kwa sababu Muumba wako ni mume wako; Bwana wa majeshi ndilo jina lake; na Mtakatifu wa Israeli ndiye Mkombozi wako; Yeye ataitwa Mungu wa dunia yote."

Na Mwisho Tunapata Ahadi ya Kuolewa..

Hosea 2:19-22

19 Nami nitakuoa uwe wangu kwa milele; naam, nitakuoa kwa haki, na kwa hukumu, na kwa ufadhili, na kwa rehema.

20 Nami nitakuoa kwa uaminifu; nawe utamjua Bwana.

21 Tena itakuwa siku hiyo, mimi nitaitika, asema Bwana; nitaziitikia mbingu, nazo zitaiitikia nchi;

22 nayo nchi itaiitikia nafaka na divai na mafuta; nayo yataiitikia Yezreeli.
 
Dah hii ni hatari mno
 
Huwa najiuliza dini zilipataje airtime maelfu ya miaka🤔
Swali lako mkuu!
Mbona Lina Jibu Kabisa..
Unajiuliza kwanini Kuna wazee Kigamboni na Ubungo wana Maeneo ya Hekari zaidi ya 1000 na Sio Matajiri kwamba walinunua Na Unajiuliza walinunuaje?

Waliwahi Kipindi ambacho Hakukuwa na Wakazi Eneo hilo wala Hakukuwa na Macho ya Kuamka wakajikatia Maeneo Kipindi bado ni vichaka Mji ulipochangamka ukawakuta tayari wana maeneo na Mitaa inawafahamu na Kuwalinda..

Nahisi Umeelewa Kwa Hiyo allegory
 
Hapo nimekuelewa vizuri mno mkuu
 
Kimendika kiujumla. Kuwa tumendaliawa mambo mazuri ambayo macho wal masikio hayajawahi kusikia.
Kwa hiyo hapo hakuna tunachopoteza, chochote kitakachopotezwa kitakuwa na mbadala bora ulio nje ya upeo wetu.
Waislamu pamoja na yote wao yametajwa bayana kwanini sisi hamna?
 
Kimendika kiujumla. Kuwa tumendaliawa mambo mazuri ambayo macho wal masikio hayajawahi kusikia.
Kwa hiyo hapo hakuna tunachopoteza, chochote kitakachopotezwa kitakuwa na mbadala bora ulio nje ya upeo wetu.
Ukisoma kwa umakini kwenye biblia yako utaona kuna mahali wamekuambieni nanyi farijianeni kwa maneno hayo.
 
Logic haitaki hata mambo ya Mungu kuwepo , hivyo hapo zungumzia tu kujiliwaza na hofu ya kifo na tamaa ya kuishi tena .
Mtu anayemuamini hana hofu ya kifo. Kifo chake qmeshakikufa Yesu miaka 2000+ iliyopita mkuu.

Kiimani tunaamini licha ya kiwa tuniani lakini ametunzwa mbinguni katika ulimwengu wa roho. Mahala ambako kifo hakina nguvu. Mkristo anayeogopa qu kuzungumizia kifo sa a hawezi kwenda mbinguni. Maana waoga wote sehemu yao no katika ziwa la Moto.
 
Back
Top Bottom