Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,669
- 33,691
πππTena kikaragosi kilochofanyiwa MODIFICATION ya kiuno na nyeti,....πππππ
πππTena kikaragosi kilochofanyiwa MODIFICATION ya kiuno na nyeti,....πππππ
Umefanya Nimecheka Kwa sauti,kwamba Akili Ni mpango wa shetani au sioπ€π€π€π€π€Akili ni mpango wa shetani , amelaaniwa azitegemeae akili zake mwenyewe
Kabisa, ndo maana Shetani alimwambia Hawa ale lile tunda ili awe na akili. Na kweli Hawa na Adam walivyokula wakajitambua ya kuwa wako uchi.Umefanya Nimecheka Kwa sauti,kwamba Akili Ni mpango wa shetani au sioπ€π€π€π€π€
Hahaha umecheka kumbe asante πUmefanya Nimecheka Kwa sauti,kwamba Akili Ni mpango wa shetani au sioπ€π€π€π€π€
mungu βββββββββWale walio shinda watapewa kufanyika wana wa mungu ..... ukiambiwa uchague bikira 1000 au kuwa mungu ungechagua nini aliye mungu kapata yote tena atakavyo yeye mwenyewe.
Usiwe na wasiwasi. Utakuwa na nguvu za kiume ambazo hazipungui na zinaongezeka siku hadi siku. Ngoja nikutafutie clip ya Sheikh Kipozeo uone. Usipojikaza unaweza kusilimu leo hii hii ohoo!π72 wengi sana aisee hawa wawili tu mziki bora option ya kwenda kujiimbia zangu tu machenja ya huko.
Kila ajishushaye atakwezwa na kila ajikwezae atashushwa ...mungu ni perfect kuliko Mungumungu βββββββββ
Mungu ββββββββββ
Hii tofauti ni ya muhimu sana na hata kama ulikuwa na pointi, pointi hiyo imekufa kibudu!
Uko sahihi 100% πΆπΏββοΈπΆπΏββοΈπΆπΏββοΈπΆπΏββοΈπΆπΏββοΈπΆπΏββοΈπΆπΏββοΈπΆπΏββοΈKila ajishushaye atakwezwa na kila ajikwezae atashushwa ...mungu ni perfect kuliko Mungu
NI series ina Season 6Natak hii ipo youtube
Kuna faida gani ya kuwa hivyo?Afu hakuna jinsi yaan wote mnakuwa sawa kimuonekano,hakuna mwanaume wala mwanamke
Hahahaha!Kunawatu Wana mpango wa kuhamia mars nao mwisho watarudisha huku huku tuimbe nao na kusifu au ndo mambo ya rohoni hayaelezeki Kwa akili DR Mambo Jambo
Lakini bia si zipo pia kwa Wakristi Nasikia Hivyo..Mkuu na wewe ulitaka bia??? Uzima wa milele is enough...kama hutaki nenda ocean road kwa wagonjwa wa kansa wakuambie jinsi uzima wa milele ulivyo tunu.
πKashesheHahahaha!
ni tatizo sana Hahah Na wale waliofia Huko Kwenye Space na wenyewe Watarudishwa huku π€£π€£
OK karibu sana na nakupenda mdau.Thank you
Uzima, no suffering...maana yake...sio tu longevity...anyway sijui...Lakini bia si zipo pia kwa Wakristi Nasikia Hivyo..
Mind you Kuna watu walioishi maisha marefu walipewa kama Adhabu Ukiwafata wanatamani Wafe..
Ukisoma Kwenye Biblia anasema Kuna wakati Kifo kitafichwa Hivyo watu watakuwa hawafi watakuwa wanalia Na Kusaga meno wakiomba Wafe..
Sasa How comes Uzima Wa Milele Uwe ni zawadi??
Tuabudu duniani na mbinguni!?.. mbinguni ni malipo ya uchamungu duniani,siye wapenda kkuma ni kutia tu vitu tyteMabikra 72 wenye mizigo, tena wasiomaliza ubikra pamoja na mito ya pombe tamu isiyokauka (kulingana na mafundisho ya Sheikh Kipozeo)
Vs.
Kusujudu, kusifu na kuimba mbele ya kiti cha enzi milele na milele 24/7 daima dumu (kulingana na kitabu cha Ufunuo)....
Uchaguzi ni wako πππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ