Je, tofauti na kuishi milele ni kitu gani kingine sisi wakristo tutapewa?

Je, tofauti na kuishi milele ni kitu gani kingine sisi wakristo tutapewa?

Kule mbinguni ni kusifu na kuabudu,

Kwaiyo watakaa machawa kina mayala, Lucas n.k

Kama uwezi kua chawa,kule hapakufai
Kusifu kwa mbinguni na kuabudi haimaanishi utakuwa chawa au wewe ni chawa bali ni kumpata utukufu Mungu aliyeumba vyote.

Hawq machawa wa hapa duniani husifu liwe baya wao wanasifu tu hii haifai.
 
Nakuelewa sana tu,
huwa najiuliza inakuaje dhambi zote ziwe sawa yani mimi ninywe bia tu nihukumiwe na muuaji?
Kwa maana yeye aliyesema, Usizini, pia alisema, Usiue. Basi ijapokuwa hukuzini, lakini umeua, umekuwa mvunja sheria.

Mkuu ukiamua kutenda mema wewe tenda tu na ukiamua uwe mtenda maovu uwe hivyo haswa. Mungu hapendi watu vuguvugu.

Halafu sisi Rc kunywa kidogo sio dhambi hata mashing yesu alikunywa yeye na wanafunzi wake kwenye karamu ya mwisho.
 
Hakika, hapa kuna baadhi ya maandiko yanayounga mkono wazo kwamba watu wataishi milele duniani katika paradiso:


  1. Zaburi 37:10, 11
    “Na bado kitambo kidogo mtu mwovu hatakuwako tena... Bali wapole watairithi nchi, Nao watapata furaha tele katika wingi wa amani.”
    — Hii inaonyesha kwamba wapole, au waadilifu, wataishi duniani kwa amani.
  2. Zaburi 37:29
    “Wenye haki watairithi nchi, Nao watakaa humo milele.”
    — Andiko hili linasisitiza kwamba waadilifu wataishi duniani milele, si kwa muda tu.
  3. Isaya 65:21-23
    “Nao watajenga nyumba na kukaa ndani yake; watapanda mashamba ya mizabibu na kula matunda yake... kazi ya mikono yao wataifurahia kabisa.”
    — Hii ni picha ya maisha ya amani, afya, na furaha duniani, si mbinguni.
  4. Mathayo 5:5
    “Heri wapole, kwa kuwa wao watairithi nchi.”
    — Yesu alithibitisha tena kusudi hilo la Mungu la wanadamu kuishi duniani.
  5. Ufunuo 21:3-4
    “Tazama, hema ya Mungu iko pamoja na wanadamu... wala mauti haitakuwapo tena, wala maombolezo wala kilio wala maumivu hayatakuwapo tena.”
    — Maisha haya ya furaha na kutokuwa na mateso yanaahidiwa kwa wanadamu, na si tu walioko mbinguni.

Maandiko haya yanaweza kutia moyo sana, hasa tunapotamani dunia iwe mahali bora pa kuishi. Unapenda wazo la dunia ya namna hiyo?

Vizuri sana! Tuanze na msingi wa mpango wa Mungu kwa wanadamu, tukitumia Biblia hatua kwa hatua.


Hatua ya 1: Kusudi la Mungu la awali kwa dunia na wanadamu


Soma: Mwanzo 1:27-28




Hoja kuu:

Mungu aliwaumba wanadamu waishi duniani, waijaze na kuitunza — si kwenda mbinguni. Kusudi lake halikubadilika.


Swali la kutafakari:
Kwa nini unadhani Mungu aliwapa wanadamu dunia badala ya kuwaweka moja kwa moja mbinguni?


Tukimaliza hatua hii, tunaweza kwenda kwenye hatua ya pili kuhusu sababu ya mateso na jinsi Mungu atakavyorejesha paradiso. Ungependa kuendelea sasa au baadae?
Ahsante sana mkuu
 
MKuu Nakusogezea Maandiko Ya Biblia yanayoonyesha Sehemu Inaitwa Peponi..
Ambayo wanaisifia Kwa Uzuri Ikiwa inamaanisha Ni Mbinguni..

Paulo Alipotembelea Peponi..

2 Wakorintho 12:2-4

Namjua mtu mmoja katika Kristo, yapata sasa miaka kumi na minne, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua). Mtu huyo alinyakuliwa juu mpaka mbingu ya tatu.

Nami namjua mtu huyo, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua);
ya kuwa alinyakuliwa mpaka Peponi, akasikia maneno yasiyotamkika, ambayo haijuzu mwanadamu ayanene.


Au Mkuu Umesahau kwamba Ufalme Wa Mungu Uko Peponi?

Luka 23:42-43
Kisha akasema, Ee Yesu, nikumbuke utakapoingia katika ufalme wako.Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi.
Pepo kama Pepo watafasiri wa bibilia ndo walichanganya kumbuka biblia walitafsiri watu wa wapwani waislamu na ndio maana unaweza kuta maneno kama Shekh ikimaanisha wazee nk.

Kiswahili tuna paradiso mkuu hata ukisoma kiingereza (paradise)utakuna na neno hili hilo la paradiso.
 
Waambie kwamba Wao Wataimba Milele Na milele..Bila Kupumzika Huku wakisujudu Bila Kupumzika..
Huku wakila Maziwa tu na Asali..
Hakuna Ziada
kwa vle ni roho ndo itakwenda mbinguni na mwili utakuwa mavumbi, roho itavikwa mwil mpya usiosikia njaa wala kiu. kwa hyo hakutakuwa na kula wala kunywa. Ni kuimba na kuabudu tuuu.
 
Lete uthibitisho.

Mimi napingana na wewe kwa sababu biblia imesema hakuna kuolewa wala kuoa kule wenzetu kuna mabikira 72 na mito ya pombe je ni sehemu moja hiyo?
MKuu Nakusogezea Maandiko Ya Biblia yanayoonyesha Sehemu Inaitwa Peponi..
Ambayo wanaisifia Kwa Uzuri Ikiwa inamaanisha Ni Mbinguni..

Paulo Alipotembelea Peponi..

2 Wakorintho 12:2-4

Namjua mtu mmoja katika Kristo, yapata sasa miaka kumi na minne, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua). Mtu huyo alinyakuliwa juu mpaka mbingu ya tatu.

Nami namjua mtu huyo, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua); ya kuwa alinyakuliwa mpaka Peponi, akasikia maneno yasiyotamkika, ambayo haijuzu mwanadamu ayanene.


Umeona Kwenye Hilo Kumbe Peponi ni Mbingu ya Tatu
Au Mkuu Umesahau kwamba Ufalme Wa Mungu Uko Peponi?

Luka 23:42-43

Kisha akasema, Ee Yesu, nikumbuke utakapoingia katika ufalme wako.Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi.
 
MKuu Nakusogezea Maandiko Ya Biblia yanayoonyesha Sehemu Inaitwa Peponi..
Ambayo wanaisifia Kwa Uzuri Ikiwa inamaanisha Ni Mbinguni..

Paulo Alipotembelea Peponi..

2 Wakorintho 12:2-4

Namjua mtu mmoja katika Kristo, yapata sasa miaka kumi na minne, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua). Mtu huyo alinyakuliwa juu mpaka mbingu ya tatu.

Nami namjua mtu huyo, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua); ya kuwa alinyakuliwa mpaka Peponi, akasikia maneno yasiyotamkika, ambayo haijuzu mwanadamu ayanene.


Umeona Kwenye Hilo Kumbe Peponi ni Mbingu ya Tatu
Au Mkuu Umesahau kwamba Ufalme Wa Mungu Uko Peponi?

Luka 23:42-43

Kisha akasema, Ee Yesu, nikumbuke utakapoingia katika ufalme wako.Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi.
Na paradiso ni wapi mkuu?
 
Yani return on investment ni kama kuuza tembo kwa kesi ya kuku! Efforts zote tunazoambiwa tufanye miaka na miaka tangu enzi za kina moses kulola hadi leo malipo ndio hayo tu? Bora wenzetu wataongezewa na bikra 72 na mito ya pombez!😋😋
 
Kisayansi mungu yupo pia unasemaje jamii za kale ....kwangu mimi genius ninaona kinyume maana ni ngumu kuamini mungu yupo katika zama za kale kuliko zama za sasa,...sasa hivi tuna elimu kubwa ya sayansi hivyo ni rahisi kumtambua mungu kwa hakika zaidi .....

GENIUS...SAYANSI INAMTHIBITISHA MUNGU KULIKO IMANI.ni swala la kutumia akili tu.
Hizi ni tishatisha za jamii ya kale tu ambazo jamii ya watu walioelimika wa leo haitakiwi kuzifuata.

Tatizo kuna watu wengi wa jamii ya leo hawajaelimika bado.
 
Kuna faida gani ya kuwa hivyo?

Watu wanapenda kuona vishundu vinakatiza mbele yao!

Wee fikiria, hii dunia binadamu tungeliumbwa kwa mfano wa miti, kuwe madume matupu bila wanawake, tukitaka kuzaa tuna shade kama plasmodium!

Nani angelipenda kuishi?

Maisha yanakuwa ya thamani kama milango yote ya ufahamu inafanya kazi na viwepo vya kukufurahisha, sasa tufike huko sote tuhasiwe, umilele unakosa maana.
Daaah
 
Back
Top Bottom