Je, tofauti na kuishi milele ni kitu gani kingine sisi wakristo tutapewa?

Raha isiyo isha ndio nini? wewe elezea nini mmeandaliwa mbimguni
Mambo ya rohoni hutambuliwa na watu wa rohoni.
Huwezi kuelezewa ladha ya tunda mpaka ukaelewa. Unapaswa ule lile tunda ndipo ujue ladha yake.
Eternal life huelezeka kiroho maana si mwili huo dhaifu utakao experience. Ni nafsi.
Mwamini Yesu ujazwe Roho Mtakatifu ndipo utaanza kuona ile raha nafsini mwako. Achana na dini hizo za kuishi kwa imani tu
 
Mbona unarudia kitu kile kile ambacho hakina uhalisia, tuambie mbinguni mtapata nini nje ya kukaa milele
 
Da Angel lakini wamesema mabikra 72 sasa huku waume zetu si wana wake mmoja, sasa hiyo idadi itafidiwa vipi?? 😹
Angelipatikana Shehe Kipozeo kwa ufafanuzi, ndiye mtaalamu wa hizo mambo za ahera na anasa zake.

Hao wengine wataishia tu kuishika shika hoja yako hiyo bila majibu ya maana na kukimbia, swali rahisi lakini ni gumu sana kulijibu, labda mtu atunge uongo wake.

Shehe Kipozeo anazijua hadi Idadi ya Ahera na hadhi zake, ipo ile ya mwisho kwa ufahari na anasa inaitwa 'firdaus', hiyo haiguswi wala kuingiwa na marehemu ovyo ovyo ni special.
 
Mambo ya dini ni magumu sana kama utafata kwa kutumia akili nyingi, wewe tizama tu bible, na tizama tu hadith za mtume kutoka uislam, yani picha utaona kama unatumia akili.
 
Angelipatikana Shehe Kipozeo kwa ufafanuzi, ndiye mtaalamu wa hizo mambo za ahera na anasa zake.

Hao wengine wataishia tu kuishika shika hoja yako hiyo bila majibu ya maana na kukimbia, swali rahisi lakini ni gumu sana kulijibu, labda mtu atunge uongo wake.

Shehe Kipozeo anazijua hadi Idadi ya Ahera na hadhi zake, ipo ile ya mwisho kwa ufahari na anasa inaitwa 'firdaus', hiyo haiguswi wala kuingiwa na marehemu ovyo ovyo ni special.
Kipozeo kwa kuwananga hawa ndg zetu hajambo huwa anasema pombe ya kule ni tamu sana sio kama za huku ni chungu unakunywa huku umefumba macho swali yeye alijua vipi ni chungu?
 
Yesu alisema Mbinguni hakuna kuoa, (kwa wanamme) wala kuolewa (kwa wanawake), bali tutaishi kama Malaika:
Katika Mathayo 22:
kwahiyo mbigu yenye zawadi ya mabikra 72 kwa kila mwanamme, itakuwa tofauti na hiyo ya kuimba na kuabudu ? Na kama ni hivyo mbingu yawezekana zitakuwa nyingi kulingana na kila mtu na dini yake aisee!!👿
 
Waislamu wao wakifika peponi Allah amewaofa mabikira 72 kwa kila mwanaume halafu wakaongezewa na pombe.

Upande wetu wakristo kwa madhehebu yetu yote tunaamini huko mbinguni hakuna koa wala kuolewa.
Sisi Yehova ametueahidi uzima wa milele (nijuavyo mimi).

Biblia inatoa sifa za ile mbingu mpya na nchi mpya baadhi ya sifa hizo ni kama.......

Hakutakuwa na kifo,jua wala mwezi ,magonjwa maandiko yanasema mji ule ni mzuri sana njia zake ni dhahabu safi malango yake ni lulu ule mji hautafungwa ( Mji ulikuwa unang'aa kwa utukufu wa Mungu. Ulikuwa unang'aa kwa uangavu kama yaspi, kito cha thamani sana. Ulionekana kwa uwazi kama kioo "ufunuo 21:11")

zaidi soma hapa Bible Gateway passage: Ufunuo 21 - Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi

Ukisoma kwa umakini wote utagundua hakika sifa nyingi umepewa ule mji wa wateuli biblia haijasema kama kutakuwa burudani zingine kama wenzetu wao waziwazi bila kufichwa wameahidiwa wanawake bikra tena warembo wenye macho kama bilauri.

Maswali yangu ya msingi ni haya JE TOFAUTI NA KUISHI MILELE NI KITU GANI KINGINE SISI WAKRISTO TUTAPEWA?
JE KAMA HAKUNA STAREHE KUNA HAJA GANI YA KUISHI MILELE?

KaribuniView attachment 3315146
Swali zuri.
 
Kwa iamni ya kikristo hakuna kuolewa wala kuoa kule. Sasa kwa wenzetu wao ndo kama hivyo hadi pombe itakuwa sehemu ya starehe huko peponi
 
Kuna baadhi ya watu hiyo ngono hatuipendi kihivyo, ni basi tu pale tunahitajika kimajukumu, nyie jiungeni kwenye hiyo dini ambayo huendekeza ngono na ugaidi, hawana kingine, kule hata muasisi wake alikuwa anachafua kingono katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa.
 
Sijasema mimi nataitaka hiyo ngono bali nauliza swali kama linavyosema na kisha nikatoa mfano kwa waislamu wao walichoahidiwa kuwa pamoja na kwamba wataishi milele bado watapewa pombe na bikira72
 
Waislamu wao wakifika peponi Allah amewaofa mabikira 72 kwa kila mwanaume halafu wakaongezewa na pombe.

Upande wetu wakristo kwa madhehebu yetu yote tunaamini huko mbinguni hakuna koa wala kuolewa.
Sisi Yehova ametueahidi uzima wa milele (nijuavyo mimi).

Biblia inatoa sifa za ile mbingu mpya na nchi mpya baadhi ya sifa hizo ni kama.......

Hakutakuwa na kifo,jua wala mwezi ,magonjwa maandiko yanasema mji ule ni mzuri sana njia zake ni dhahabu safi malango yake ni lulu ule mji hautafungwa ( Mji ulikuwa unang'aa kwa utukufu wa Mungu. Ulikuwa unang'aa kwa uangavu kama yaspi, kito cha thamani sana. Ulionekana kwa uwazi kama kioo "ufunuo 21:11")

zaidi soma hapa Bible Gateway passage: Ufunuo 21 - Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi

Ukisoma kwa umakini wote utagundua hakika sifa nyingi umepewa ule mji wa wateuli biblia haijasema kama kutakuwa burudani zingine kama wenzetu wao waziwazi bila kufichwa wameahidiwa wanawake bikra tena warembo wenye macho kama bilauri.

Maswali yangu ya msingi ni haya JE TOFAUTI NA KUISHI MILELE NI KITU GANI KINGINE SISI WAKRISTO TUTAPEWA?
JE KAMA HAKUNA STAREHE KUNA HAJA GANI YA KUISHI MILELE?

KaribuniView attachment 3315146
Tumuombe Mungu atusaidie tuuone Ufalme wake kwanza hayo mengine tutayajulia huko
 
Wajuvi wa maandiko wanasema huko tutakuwa kama malaika tu
According to bible malaika pia wana uwezo wa kukazana na waliwakaza wanawake wa duniani wakatoka watoto wanefili tukirudi kwenye mada .

Vipi mtu akilalamika hajawahi piga mzigo kabisa duniani na anataka kuonja angalau kidogo kabla ya kuishi milele akisifu na kuabudu vipi hapo ?
 
Hilo sijui mkuu.Nijualo ni kuwa mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa ....hakuna kuzaliana
 
Back
Top Bottom