Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

Mkuu nakubaliana na wewe, mwezi uliopita niliwasha IST mpaka singida kisha nikaunga singida, kama unavyosema feni ya radiator ilikuwa inawaka kila dakika
 
Kwani mkuu imeandikwa kweny user manual itembee km ngapi kwa Sikh 1
Ukisoma user manual vizuri za toyota au gati nyingine ambazo injini ni chini ya cc 1500 utaona zimeandikwa 70 km ph. Lakini kwa undeshaji wa hapa kwetu utakuta mtu anatumia ist yenye cc 1400 au vits ya piston 3 cc 900 au paso piston 3 hadi anafikisha speed 1200 au wengine hata wanamaliza kabisa dash board yote speed 180. Ila utasikia harufi ya oil ikiuungua zaidi na inakuwa inatoa harufu kama mpira unaungua hivi. Na hata kama gari ni mpya utaona kuna moshi mwembamba mweupe utakuwa unatoka kwenye exhaust nyuma. Na wateja wengi ninapowaelewesha wanakuwa wabishi wanasema waliotengeneza gari wasingeweka speed 180 kwenye dashboard. Hivyo kwa ushauri kma utaweza kutembea 70kmph sawa ila kwa njia zetu ni ngumu kutembea mwendo huo mwanzo utaweza ila kuna wakati ukiwa njiani haswa kama una safari ndefu unajikuta umezoea barabara na speed unaongeza na unaona ni kawaida kwenya speed 120 kmph hata kama gari ni yenye cc ndogo.ndio maana fainaly tunashauriwa kenda km 800 per day onl kwa gari zanye cc chini ya 1500. Mwisho unapofika safari yako hakikisha sio unafika tu na kizima gari yako HAPANA iwache gari ingurume kwa dakika 30 ndipo uizime ni muhimu sana ili kurudisha mapigo ya injini katika hali ya kawaida,injini block ipoe,pisto zipoe na oil ishuke kwenye sample.kama una swali zaidi uliza nitakujibu
 
Mkuu nakubaliana na wewe, mwezi uliopita niliwasha IST mpaka singida kisha nikaunga singida, kama unavyosema feni ya radiator ilikuwa inawaka kila dakika
Ukiona hivyo ujue umeizidishia gari yako uwezo wake wa kuitumika kwa siku hiyo ni vyema ukishaona feni inajiwasha kila saa haizimi kwa dakika 5 au zaidi basi unashauriwa uipumzishe gari yako kwa dakika 15 mpaka 30 min bila kuizima uiwache ingurume tu. Utaona feni za gari yako zinajiwasha na kuzima katika mfumo mzuri na unaotakiwa. Kama una swali zaidi karibu nitakujibu
 
Umefafanua vizuri sana nimeelewa
 
Mkuu nakubaliana na wewe, mwezi uliopita niliwasha IST mpaka singida kisha nikaunga singida, kama unavyosema feni ya radiator ilikuwa inawaka kila dakika
Mkuu naomba unambie kutoka dar hadi singida ni km ngp ????
 
Umefafanua vizuri sana nimeelewa
umeona eeh ukiunganisha na alivyosema Bila bila nadhani kuna kitu umegundua sasa kazi ni kwako
 
mkuu Asante kwa maelezo mazuri,ubarikiwe
 
Reactions: y-n
Ukiwasha A.C feni huwa zinazuguka na kupumzika kwa muda mfupi..
 
What if ukazima baada ya kufika bila kuiacha ingurume kwa nusu saa ..itatikea tatizo gani
 
Kwa vile engine ya IST ni ndogo na haina Turbo Charger na Intercooler system inatakiwa kupumzishwa kwa muda fulani kabla ya kuendelea na safari vinginevyo itakufanya mbaya
 
Kwa vile engine ya IST ni ndogo na haina Turbo Charger na Intercooler system inatakiwa kupumzishwa kwa muda fulani kabla ya kuendelea na safari vinginevyo itakufanya mbaya
Intercooler ni nn?
 
Asante mkuu na karibu sana kama una swali zaidi nitakujibu
Nimekuja DM hujanijibu. Kwahyo unataka kunambia ukichukua gari yoyote yenye cc zaidi ya 1500 nikitaka kwenda hata kigoma nitaenda kwa siku moja ????
 
Reactions: y-n
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…