Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

Ushauri wa bure kwa gari ambayo injini capacity au wengine wanaita cc ni chini ya 1500 sio gari nzuri kwa safari ndefu. Na haswa ambazo zina kuwa na piston 3. Ndio hazifai kabisa. Ist ina cc 1400. Hivyo sio nzuri kwa safari ndefu. Unashauriwa uiitembeze maximum km 800 kwa siku tu. Na katika hizo km hakikisha unazigawa nusu km 400 unaiweka sehemu gari ipumzike ili oil ipoe ishuke kwenye sample na block ipoe Kwa 30 min. gari ikiwa inanguruma tu kisha ndio uendelee na safari. Hii inatokana na kuwa injini zote za gari za kisasa zimetengenezwa na cast na sio chuma kama injini za zamani na cast kwa kawaida ni madini ya udongo yakipata moto sana huwa yanapasuka ghafla hivyo kwa ist sio nzuri kusafiri nayo umbali mrefu wa km 120 ikiwa ni dar hadi mwanza. NB utafika mwanza ndio ila durability ya injini itakuwa imeshuka kwani injini itapata moto sana na oil italainika sana na kuwa kama maji kisha oil itapoteza ile lubriant yake ya kulainisha piston au itapoteza ile kilainishi chake kutokana na joto kali la injini kisha piston zitakuwa zinasagana na piston ringi kwenye block kwa haraka hutaona madhara ila ile combastion ya injini kwenye piston itashuka na utajikuta unapowasha gari yako kesho yake utasikia mlio tofauti kidogo kwenye injini yako kama ni msikilizaji wa mngurumo vizuri na hutaona tena maji yanayotoka kwenye exhaust nyuma ukiwasha gari yako ambayo ni ishara moja ya kuonyesha kuwa njini yako iko intact kwani kianzia kwenze nozel hadi kwenyw plug zikipata moto sana bila lupoozwa kwa wakati hupoteza ule ufanisi wake wa awali.ijapokuwa utaendelea kuitumia gari vizuri lakini durability inakiwa imeshapungua sana. Mwisho ni kuwa sio vyema kuendesha gari yenye cc chini ya 1500 kwa safari ndefu ya zaidi km 800 kwa siku .na zaidi kipimo cha kawaida kwa kama sio mtaalam wa gari ukitaka kujua kuwa inatakiwa uipumzishe gari sasa ni pale utakapoona feni za gari yako kwenye rejeta zinafungua kila saa na hazizimi kwa dakika 5 au zaidi unakuta feni zikizima ni sekunde 3 zinajiwasha tena. Jua unatakiwa kuipumzisha gari yako kwa nusu saa hadi uone feni zinajizima kama kwa dakika 5 au zaidi hapo unaweza kuendelea na safari. Kama hujaelewa nakaribisha maswali zaidi nitajibu
Mkuu nakubaliana na wewe, mwezi uliopita niliwasha IST mpaka singida kisha nikaunga singida, kama unavyosema feni ya radiator ilikuwa inawaka kila dakika
 
Kwani mkuu imeandikwa kweny user manual itembee km ngapi kwa Sikh 1
Ukisoma user manual vizuri za toyota au gati nyingine ambazo injini ni chini ya cc 1500 utaona zimeandikwa 70 km ph. Lakini kwa undeshaji wa hapa kwetu utakuta mtu anatumia ist yenye cc 1400 au vits ya piston 3 cc 900 au paso piston 3 hadi anafikisha speed 1200 au wengine hata wanamaliza kabisa dash board yote speed 180. Ila utasikia harufi ya oil ikiuungua zaidi na inakuwa inatoa harufu kama mpira unaungua hivi. Na hata kama gari ni mpya utaona kuna moshi mwembamba mweupe utakuwa unatoka kwenye exhaust nyuma. Na wateja wengi ninapowaelewesha wanakuwa wabishi wanasema waliotengeneza gari wasingeweka speed 180 kwenye dashboard. Hivyo kwa ushauri kma utaweza kutembea 70kmph sawa ila kwa njia zetu ni ngumu kutembea mwendo huo mwanzo utaweza ila kuna wakati ukiwa njiani haswa kama una safari ndefu unajikuta umezoea barabara na speed unaongeza na unaona ni kawaida kwenya speed 120 kmph hata kama gari ni yenye cc ndogo.ndio maana fainaly tunashauriwa kenda km 800 per day onl kwa gari zanye cc chini ya 1500. Mwisho unapofika safari yako hakikisha sio unafika tu na kizima gari yako HAPANA iwache gari ingurume kwa dakika 30 ndipo uizime ni muhimu sana ili kurudisha mapigo ya injini katika hali ya kawaida,injini block ipoe,pisto zipoe na oil ishuke kwenye sample.kama una swali zaidi uliza nitakujibu
 
Mkuu nakubaliana na wewe, mwezi uliopita niliwasha IST mpaka singida kisha nikaunga singida, kama unavyosema feni ya radiator ilikuwa inawaka kila dakika
Ukiona hivyo ujue umeizidishia gari yako uwezo wake wa kuitumika kwa siku hiyo ni vyema ukishaona feni inajiwasha kila saa haizimi kwa dakika 5 au zaidi basi unashauriwa uipumzishe gari yako kwa dakika 15 mpaka 30 min bila kuizima uiwache ingurume tu. Utaona feni za gari yako zinajiwasha na kuzima katika mfumo mzuri na unaotakiwa. Kama una swali zaidi karibu nitakujibu
 
Ushauri wa bure kwa gari ambayo injini capacity au wengine wanaita cc ni chini ya 1500 sio gari nzuri kwa safari ndefu. Na haswa ambazo zina kuwa na piston 3. Ndio hazifai kabisa. Ist ina cc 1400. Hivyo sio nzuri kwa safari ndefu. Unashauriwa uiitembeze maximum km 800 kwa siku tu. Na katika hizo km hakikisha unazigawa nusu km 400 unaiweka sehemu gari ipumzike ili oil ipoe ishuke kwenye sample na block ipoe Kwa 30 min. gari ikiwa inanguruma tu kisha ndio uendelee na safari. Hii inatokana na kuwa injini zote za gari za kisasa zimetengenezwa na cast na sio chuma kama injini za zamani na cast kwa kawaida ni madini ya udongo yakipata moto sana huwa yanapasuka ghafla hivyo kwa ist sio nzuri kusafiri nayo umbali mrefu wa km 120 ikiwa ni dar hadi mwanza. NB utafika mwanza ndio ila durability ya injini itakuwa imeshuka kwani injini itapata moto sana na oil italainika sana na kuwa kama maji kisha oil itapoteza ile lubriant yake ya kulainisha piston au itapoteza ile kilainishi chake kutokana na joto kali la injini kisha piston zitakuwa zinasagana na piston ringi kwenye block kwa haraka hutaona madhara ila ile combastion ya injini kwenye piston itashuka na utajikuta unapowasha gari yako kesho yake utasikia mlio tofauti kidogo kwenye injini yako kama ni msikilizaji wa mngurumo vizuri na hutaona tena maji yanayotoka kwenye exhaust nyuma ukiwasha gari yako ambayo ni ishara moja ya kuonyesha kuwa njini yako iko intact kwani kianzia kwenze nozel hadi kwenyw plug zikipata moto sana bila lupoozwa kwa wakati hupoteza ule ufanisi wake wa awali.ijapokuwa utaendelea kuitumia gari vizuri lakini durability inakiwa imeshapungua sana. Mwisho ni kuwa sio vyema kuendesha gari yenye cc chini ya 1500 kwa safari ndefu ya zaidi km 800 kwa siku .na zaidi kipimo cha kawaida kwa kama sio mtaalam wa gari ukitaka kujua kuwa inatakiwa uipumzishe gari sasa ni pale utakapoona feni za gari yako kwenye rejeta zinafungua kila saa na hazizimi kwa dakika 5 au zaidi unakuta feni zikizima ni sekunde 3 zinajiwasha tena. Jua unatakiwa kuipumzisha gari yako kwa nusu saa hadi uone feni zinajizima kama kwa dakika 5 au zaidi hapo unaweza kuendelea na safari. Kama hujaelewa nakaribisha maswali zaidi nitajibu
Umefafanua vizuri sana nimeelewa
 
Mkuu nakubaliana na wewe, mwezi uliopita niliwasha IST mpaka singida kisha nikaunga singida, kama unavyosema feni ya radiator ilikuwa inawaka kila dakika
Mkuu naomba unambie kutoka dar hadi singida ni km ngp ????
 
Umefafanua vizuri sana nimeelewa
umeona eeh ukiunganisha na alivyosema Bila bila nadhani kuna kitu umegundua sasa kazi ni kwako
Ili kudumisha maisha ya Gari yako, nashauri pumzika Singida then Ingia Mwanza kesho yake utafika poa kabisa. Mi Ki Ipsum changu nilitoka Iringa nikalala Tabora kesho yake Mwanza tena Sengerema sikuona utofauti wowote mpaka sasa nadunda tu hapa Iringa.
 
Ushauri wa bure kwa gari ambayo injini capacity au wengine wanaita cc ni chini ya 1500 sio gari nzuri kwa safari ndefu. Na haswa ambazo zina kuwa na piston 3. Ndio hazifai kabisa. Ist ina cc 1400. Hivyo sio nzuri kwa safari ndefu. Unashauriwa uiitembeze maximum km 800 kwa siku tu. Na katika hizo km hakikisha unazigawa nusu km 400 unaiweka sehemu gari ipumzike ili oil ipoe ishuke kwenye sample na block ipoe Kwa 30 min. gari ikiwa inanguruma tu kisha ndio uendelee na safari. Hii inatokana na kuwa injini zote za gari za kisasa zimetengenezwa na cast na sio chuma kama injini za zamani na cast kwa kawaida ni madini ya udongo yakipata moto sana huwa yanapasuka ghafla hivyo kwa ist sio nzuri kusafiri nayo umbali mrefu wa km 120 ikiwa ni dar hadi mwanza. NB utafika mwanza ndio ila durability ya injini itakuwa imeshuka kwani injini itapata moto sana na oil italainika sana na kuwa kama maji kisha oil itapoteza ile lubriant yake ya kulainisha piston au itapoteza ile kilainishi chake kutokana na joto kali la injini kisha piston zitakuwa zinasagana na piston ringi kwenye block kwa haraka hutaona madhara ila ile combastion ya injini kwenye piston itashuka na utajikuta unapowasha gari yako kesho yake utasikia mlio tofauti kidogo kwenye injini yako kama ni msikilizaji wa mngurumo vizuri na hutaona tena maji yanayotoka kwenye exhaust nyuma ukiwasha gari yako ambayo ni ishara moja ya kuonyesha kuwa njini yako iko intact kwani kianzia kwenze nozel hadi kwenyw plug zikipata moto sana bila lupoozwa kwa wakati hupoteza ule ufanisi wake wa awali.ijapokuwa utaendelea kuitumia gari vizuri lakini durability inakiwa imeshapungua sana. Mwisho ni kuwa sio vyema kuendesha gari yenye cc chini ya 1500 kwa safari ndefu ya zaidi km 800 kwa siku .na zaidi kipimo cha kawaida kwa kama sio mtaalam wa gari ukitaka kujua kuwa inatakiwa uipumzishe gari sasa ni pale utakapoona feni za gari yako kwenye rejeta zinafungua kila saa na hazizimi kwa dakika 5 au zaidi unakuta feni zikizima ni sekunde 3 zinajiwasha tena. Jua unatakiwa kuipumzisha gari yako kwa nusu saa hadi uone feni zinajizima kama kwa dakika 5 au zaidi hapo unaweza kuendelea na safari. Kama hujaelewa nakaribisha maswali zaidi nitajibu
mkuu Asante kwa maelezo mazuri,ubarikiwe
 
  • Thanks
Reactions: y-n

Ukiwasha A.C feni huwa zinazuguka na kupumzika kwa muda mfupi..
 
Ushauri wa bure kwa gari ambayo injini capacity au wengine wanaita cc ni chini ya 1500 sio gari nzuri kwa safari ndefu. Na haswa ambazo zina kuwa na piston 3. Ndio hazifai kabisa. Ist ina cc 1400. Hivyo sio nzuri kwa safari ndefu. Unashauriwa uiitem8beze maximum km 800 kwa siku tu. Na katika hizo km hakikisha unazigawa nusu km 400 unaiweka sehemu gari ipumzike ili oil ipoe ishuke kwenye sample na block ipoe Kwa 30 min. gari ikiwa inanguruma tu kisha ndio uendelee na safari. Hii inatokana na kuwa injini zote za gari za kisasa zimetengenezwa na cast na sio chuma kama injini za zamani na cast kwa kawaida ni madini ya udongo yakipata moto sana huwa yanapasuka ghafla hivyo kwa ist sio nzuri kusafiri nayo umbali mrefu wa km 120 ikiwa ni dar hadi mwanza. NB utafika mwanza ndio ila durability ya injini itakuwa imeshuka kwani injini itapata moto sana na oil italainika sana na kuwa kama maji kisha oil itapoteza ile lubriant yake ya kulainisha piston au itapoteza ile kilainishi chake kutokana na joto kali la injini kisha piston zitakuwa zinasagana na piston ringi kwenye block kwa haraka hutaona madhara ila ile combastion ya injini kwenye piston itashuka na utajikuta unapowasha gari yako kesho yake utasikia mlio tofauti kidogo kwenye injini yako kama ni msikilizaji wa mngurumo vizuri na hutaona tena maji yanayotoka kwenye exhaust nyuma ukiwasha gari yako ambayo ni ishara moja ya kuonyesha kuwa njini yako iko intact kwani kianzia kwenze nozel hadi kwenyw plug zikipata moto sana bila lupoozwa kwa wakati hupoteza ule ufanisi wake wa awali.ijapokuwa utaendelea kuitumia gari vizuri lakini durability inakiwa imeshapungua sana. Mwisho ni kuwa sio vyema kuendesha gari yenye cc chini ya 1500 kwa safari ndefu ya zaidi km 800 kwa siku .na zaidi kipimo cha kawaida kwa kama sio mtaalam wa gari ukitaka kujua kuwa inatakiwa uipumzishe gari sasa ni pale utakapoona feni za gari yako kwenye rejeta zinafungua kila saa na hazizimi kwa dakika 5 au zaidi unakuta feni zikizima ni sekunde 3 zinajiwasha tena. Jua unatakiwa kuipumzisha gari yako kwa nusu saa hadi uone feni zinajizima kama kwa dakika 5 au zaidi hapo unaweza kuendelea na safari. Kama hujaelewa nakaribisha maswali zaidi nitajibu
What if ukazima baada ya kufika bila kuiacha ingurume kwa nusu saa ..itatikea tatizo gani
 
Habari wanajamvi,

Nimetokea kuipenda sana gari toyota IST. Kilichonifanya niipende ni ulaji wake wa mafuta, haina gharama kwenye mafuta. Sasa swali langu je mtu akiamua kusafiri na IST kutoka DAR kwenda Mwanza atatoboa?

Nisaidieni please. Kama kuna mwenye ushauri pia niambieni
Kwa vile engine ya IST ni ndogo na haina Turbo Charger na Intercooler system inatakiwa kupumzishwa kwa muda fulani kabla ya kuendelea na safari vinginevyo itakufanya mbaya
 
Intercooler ni nn?
 
Asante mkuu na karibu sana kama una swali zaidi nitakujibu
Nimekuja DM hujanijibu. Kwahyo unataka kunambia ukichukua gari yoyote yenye cc zaidi ya 1500 nikitaka kwenda hata kigoma nitaenda kwa siku moja ????
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Back
Top Bottom