Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,130
- 8,362
Vp kuhusu castroil na atlanticOil ya bp ndio oil nzuri zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp kuhusu castroil na atlanticOil ya bp ndio oil nzuri zaidi
Atlantic vp mkuuBp nyingi zimekuwa magumashi, nzuri ni castrol au total
..Nikueleweshe zaidi mkuu wangu suala la speed kuwekwa 160 au 180 haimaanishi ndio uendeshe kwa mwendo huo pili kwa nchi za wenzetu high way kuendesha ni speed 100 kuendelea au kama huendeshi mwendo huo unatakiwa kuendeshea service road na pia ni mara chache kukuta unaweza kundesha speed 100 au zaidi kwa km 50 au zaidi katika nchi za wenzetu. Lazima utakuta kuna taa,vizuizi nk ila nchini kwetu unaweza kuendesha speed 150 hata km 100 na bila kukuta hizo sheria na vizuizi. Hivyo wenzetu wakiendesha speed 100 akiona gari yake imezidiwa anasogea service road anaendesha mwendo anaotaka kuipimzisha gari yake. Huwa Ninakwenda mara nyingi kununua magari ya wateja wangu wanaponiagiza au magari ya kuweka yard kwangu kuyauza na ninapokuwa nayatest mfano yokohama au tokyo ndipo ninapokutana na hizo sheria za uendeshaji nilizokuambia hapo juu.pia speed ya gari toyota landcruiser mkonga iliyotengenezwa japan original ukiendesha ukiwa speed 100 na gari aina hiyo hiyo toyota landcruiser mkonga iliyotengenezwa afrika kusini ukiendesha speed 100 unaweza ukashangaa toyota original na hii toyota under licence utakuta zinapishana haziendi speed sawa moja itakuwa mbele zaidi ya nyingine Kwa mfano huu naimani utakuwa umenielewa au basi la abiria utakuta lina dashboard ina speed 100 tu ila basi hilo likiwa speed 80 unatashaangaa wewe unaendesha raum uko speed 120 lakini basi linakupita Hivyo dasboad speed sio kipimo tosha cha kujua mwendo unaoendesha ni ule uliooneshwe kwenye spedometer ya gari yako. Au utakuta unaendesha sehemu kuna kibao cha 50 kmph na dashboad yako inasoma 50 kmph ila utapigwa tochi na ukipewa picha ya gari yako utaona inasoma 65 kmph au 70kmph unapigwa fine.hivyo volkswagen akiwa speed 70 utashangaa wewe toyota uko speed 100 na bado mnaenda sawa. Kuna mambo mengi ya kujifunza bado kuhusu gari mkuu
. Nikujibu swali la pili kulingana na foleni haswa unapokuwa unaingia dar kuanzia mlandizi hadi kufika ubungo ni sawa na kuipooza gari yako kama nilivyotoa maekekezo hapo juu kwani foleni na gari iko silence injini inapoozwa vyema unaweza ukafika na kuizima gari yako mkuu.
Tulia wewe ENG wa kijiweni Sie tumefanya majaribio sana Kufika mwanza na ist Kawaida tena gari yeyote inafika ila Sema siku zinaongezeka tuKuna watu huwa nahisi wanaota humu jf. Ikitoboa service yake atajuta
Ili kudumisha maisha ya Gari yako, nashauri pumzika Singida then Ingia Mwanza kesho yake utafika poa kabisa. Mi Ki Ipsum changu nilitoka Iringa nikalala Tabora kesho yake Mwanza tena Sengerema sikuona utofauti wowote mpaka sasa nadunda tu unaishi sengerema sehem gani
Nazo sio mbayaAtlantic vp mkuu
Kwani hujui kama zinayo?Kwani kiti cha magari makubwa kina tofauti na cha gari ndogo ? Basi ingekuwa hivyo scania truck ingekuwa na kitanda.
Mkuu sijakataa kwamba haifiki swala hapa ni kupumzika. Ww au maada haujasomaTulia wewe ENG wa kijiweni Sie tumefanya majaribio sana Kufika mwanza na ist Kawaida tena gari yeyote inafika ila Sema siku zinaongezeka tu
..
momentum ya gari inauhusiano mkubwa na uzito wa gari..na factor zingine ikiwemo ukubwa wa matairi na aina ya tairi..uwezo wa engine .n.k..gari yenye horse power 200 itakuwa na uwezo mkubwa wa kukata mawimbi ya upepo kuliko paso yenye horse power 90 au 60..so mtu mwenye paso anaweza kwenda na speed ya 120 akawa sawa na vw yenye speed 70 hyo ni sawa kabisa..
Ona huyu jamaa na mark x yake kamaliza dash board speed lakini amepitwa kama mtoto na subaru pengine nayo ina dash board speed ya 180 kama mark x.
Masaa 16Mimi jee na nissan hardbody cc3000 natakiwa kwenda km ngapi. Màana langu hili nikiwasha dar sa11 jioni natembea mpaka sa16 ndio nasimama lakin hapo huwa nimekata km 1450 dar tarime
Mkuu umemaliza...nawaza kununua gari yenye matumizi madogo ya mafuta lakini iwe na umbo la gari.Yaani isiwe kama ist kwa mwonekano(kuwa chini sana).Naomba ushauri wako.Ushauri wa bure kwa gari ambayo injini capacity au wengine wanaita cc ni chini ya 1500 sio gari nzuri kwa safari ndefu. Na haswa ambazo zina kuwa na piston 3. Ndio hazifai kabisa. Ist ina cc 1400. Hivyo sio nzuri kwa safari ndefu. Unashauriwa uiitembeze maximum km 800 kwa siku tu. Na katika hizo km hakikisha unazigawa nusu km 400 unaiweka sehemu gari ipumzike ili oil ipoe ishuke kwenye sample na block ipoe Kwa 30 min. gari ikiwa inanguruma tu kisha ndio uendelee na safari. Hii inatokana na kuwa injini zote za gari za kisasa zimetengenezwa na cast na sio chuma kama injini za zamani na cast kwa kawaida ni madini ya udongo yakipata moto sana huwa yanapasuka ghafla hivyo kwa ist sio nzuri kusafiri nayo umbali mrefu wa km 120 ikiwa ni dar hadi mwanza. NB utafika mwanza ndio ila durability ya injini itakuwa imeshuka kwani injini itapata moto sana na oil italainika sana na kuwa kama maji kisha oil itapoteza ile lubriant yake ya kulainisha piston au itapoteza ile kilainishi chake kutokana na joto kali la injini kisha piston zitakuwa zinasagana na piston ringi kwenye block kwa haraka hutaona madhara ila ile combastion ya injini kwenye piston itashuka na utajikuta unapowasha gari yako kesho yake utasikia mlio tofauti kidogo kwenye injini yako kama ni msikilizaji wa mngurumo vizuri na hutaona tena maji yanayotoka kwenye exhaust nyuma ukiwasha gari yako ambayo ni ishara moja ya kuonyesha kuwa njini yako iko intact kwani kianzia kwenze nozel hadi kwenyw plug zikipata moto sana bila lupoozwa kwa wakati hupoteza ule ufanisi wake wa awali.ijapokuwa utaendelea kuitumia gari vizuri lakini durability inakiwa imeshapungua sana. Mwisho ni kuwa sio vyema kuendesha gari yenye cc chini ya 1500 kwa safari ndefu ya zaidi km 800 kwa siku .na zaidi kipimo cha kawaida kwa kama sio mtaalam wa gari ukitaka kujua kuwa inatakiwa uipumzishe gari sasa ni pale utakapoona feni za gari yako kwenye rejeta zinafungua kila saa na hazizimi kwa dakika 5 au zaidi unakuta feni zikizima ni sekunde 3 zinajiwasha tena. Jua unatakiwa kuipumzisha gari yako kwa nusu saa hadi uone feni zinajizima kama kwa dakika 5 au zaidi hapo unaweza kuendelea na safari. Kama hujaelewa nakaribisha maswali zaidi nitajibu
Kama una uwezo ni vyema ukanunua toyota rav4 kuanzia rav4 old model, rav4J au hata rav4 kili time zote ni gari za juu na ni nzuri kwanza ziko juu na upatikanaji wake wa vifaa ni rahisi na bei ni resonable mwisho ulaji wa mafuta ni mzuri na gari ni ngumu na ya kudumu ila tu injini zake hakikisha ni 3s au 4s au VVTI na sio rav 4 zenye injini ya D4 sio nzuri sana mkuu.Mkuu umemaliza...nawaza kununua gari yenye matumizi madogo ya mafuta lakini iwe na umbo la gari.Yaani isiwe kama ist kwa mwonekano(kuwa chini sana).Naomba ushauri wako.
Nikufahamishe Ulaji mzuri wa mafuta hakuna zaid ya Toyota platz mkuuMaana me IST nimezipendea kwenye ulaji wa mafuta tu
Hii ni gari kubwa cc3000 hata ukiamua kuendesha kwa siku 5 bila kupumzika gari inauwezo huo hata ukiendesha km 10000 bila kupumzika inauwezo huo.hivyo wala usiwe na wasiwasi.ila zingatia tu kabla ya kuanza safari kuikagua vitu kama maji,oil,upepo wa tairi na kusafisha air clener na mara umalizapo safari pia kuiacha silence kwa muda kama 15 min kabla ya kuizima mkuuMimi jee na nissan hardbody cc3000 natakiwa kwenda km ngapi. Màana langu hili nikiwasha dar sa11 jioni natembea mpaka sa16 ndio nasimama lakin hapo huwa nimekata km 1450 dar tarime
Mkuu mimi nauza magari yakiwa complete ila kama unahitaji injini na gear box nakushauri uende ilala pale utapata injini na gear box za gari aina zote muhimu uende na fundi wako ambaye unamuamini wewe atakayekukagulia injini na gear box kabla ya kuinunua mkuu.mkuu mimi niuzie engine tu na gia box.... ntashukuru sana
Nazo ni oil nzuri ila oil standad ni bp mkuu.Vp kuhusu castroil na atlantic