Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
Hii ningeipata inbox ingekaa kama kumbukumbu till I visit those car rooms. Thanks Mkuu.Kama una uwezo ni vyema ukanunua toyota rav4 kuanzia rav4 old model, rav4J au hata rav4 kili time zote ni gari za juu na ni nzuri kwanza ziko juu na upatikanaji wake wa vifaa ni rahisi na bei ni resonable mwisho ulaji wa mafuta ni mzuri na gari ni ngumu na ya kudumu ila tu injini zake hakikisha ni 3s au 4s au VVTI na sio rav 4 zenye injini ya D4 sio nzuri sana mkuu.