Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

..
momentum ya gari inauhusiano mkubwa na uzito wa gari..na factor zingine ikiwemo ukubwa wa matairi na aina ya tairi..uwezo wa engine .n.k..gari yenye horse power 200 itakuwa na uwezo mkubwa wa kukata mawimbi ya upepo kuliko paso yenye horse power 90 au 60..so mtu mwenye paso anaweza kwenda na speed ya 120 akawa sawa na vw yenye speed 70 hyo ni sawa kabisa..
Ona huyu jamaa na mark x yake kamaliza dash board speed lakini amepitwa kama mtoto na subaru pengine nayo ina dash board speed ya 180 kama mark x.
 
Kuna watu huwa nahisi wanaota humu jf. Ikitoboa service yake atajuta
Tulia wewe ENG wa kijiweni Sie tumefanya majaribio sana Kufika mwanza na ist Kawaida tena gari yeyote inafika ila Sema siku zinaongezeka tu
 
Tulia wewe ENG wa kijiweni Sie tumefanya majaribio sana Kufika mwanza na ist Kawaida tena gari yeyote inafika ila Sema siku zinaongezeka tu
Mkuu sijakataa kwamba haifiki swala hapa ni kupumzika. Ww au maada haujasoma
 
mkuu mimi niuzie engine tu na gia box.... ntashukuru sana
 
Mimi jee na nissan hardbody cc3000 natakiwa kwenda km ngapi. Màana langu hili nikiwasha dar sa11 jioni natembea mpaka sa16 ndio nasimama lakin hapo huwa nimekata km 1450 dar tarime
 
duh
 
Mimi jee na nissan hardbody cc3000 natakiwa kwenda km ngapi. Màana langu hili nikiwasha dar sa11 jioni natembea mpaka sa16 ndio nasimama lakin hapo huwa nimekata km 1450 dar tarime
Masaa 16
 
Mkuu umemaliza...nawaza kununua gari yenye matumizi madogo ya mafuta lakini iwe na umbo la gari.Yaani isiwe kama ist kwa mwonekano(kuwa chini sana).Naomba ushauri wako.
 
Mkuu umemaliza...nawaza kununua gari yenye matumizi madogo ya mafuta lakini iwe na umbo la gari.Yaani isiwe kama ist kwa mwonekano(kuwa chini sana).Naomba ushauri wako.
Kama una uwezo ni vyema ukanunua toyota rav4 kuanzia rav4 old model, rav4J au hata rav4 kili time zote ni gari za juu na ni nzuri kwanza ziko juu na upatikanaji wake wa vifaa ni rahisi na bei ni resonable mwisho ulaji wa mafuta ni mzuri na gari ni ngumu na ya kudumu ila tu injini zake hakikisha ni 3s au 4s au VVTI na sio rav 4 zenye injini ya D4 sio nzuri sana mkuu.
 
Mimi jee na nissan hardbody cc3000 natakiwa kwenda km ngapi. Màana langu hili nikiwasha dar sa11 jioni natembea mpaka sa16 ndio nasimama lakin hapo huwa nimekata km 1450 dar tarime
Hii ni gari kubwa cc3000 hata ukiamua kuendesha kwa siku 5 bila kupumzika gari inauwezo huo hata ukiendesha km 10000 bila kupumzika inauwezo huo.hivyo wala usiwe na wasiwasi.ila zingatia tu kabla ya kuanza safari kuikagua vitu kama maji,oil,upepo wa tairi na kusafisha air clener na mara umalizapo safari pia kuiacha silence kwa muda kama 15 min kabla ya kuizima mkuu
 
mkuu mimi niuzie engine tu na gia box.... ntashukuru sana
Mkuu mimi nauza magari yakiwa complete ila kama unahitaji injini na gear box nakushauri uende ilala pale utapata injini na gear box za gari aina zote muhimu uende na fundi wako ambaye unamuamini wewe atakayekukagulia injini na gear box kabla ya kuinunua mkuu.
 
Kwani hamna Ist zile za transit ambazo hupelekwa Congo, au Malawi au Zambia kutoka bandarini ?
Anyway hoja hasa ya swami lako ni IPI ?
Naamini ist no gari na tunaposema gari ikiwa katika ubora wake sidhani kama kuna mahali haitafika ilimradi pana barabara inayopitika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…