Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

Hii ningeipata inbox ingekaa kama kumbukumbu till I visit those car rooms. Thanks Mkuu.
 
Mkuu angalia vizuri hapo kwenye umbali wa(kilometa 120) Dar to Mwanza.

Gari itafika salama,muhimu ni kufanya service vizuri na kuwa na mwendo wa kawaida(50km/h hadi 110km/h) badala ya kukanyaga kibati hadi injini inung'unike.
Ni typing error. Km 1200
 
Kumbe ni kweli " hakuna dreva mkweli "kuna jamaa katwambia humu eti katoka dar SAA 9 alfajiri alafu saa moja asubuh yuko Dodoma huku ana ist aiseee
 
magri kuu kuu una uza...? yaliyo juu ya mawe... lakini yana weza fanya kazi yakitengenezwa... used land cruiser una uzaje...?
 
Kumbe ni kweli " hakuna dreva mkweli "kuna jamaa katwambia humu eti katoka dar SAA 9 alfajiri alafu saa moja asubuh yuko Dodoma huku ana ist aiseee
Yeah mbona very possible..
 
Kumbe ni kweli " hakuna dreva mkweli "kuna jamaa katwambia humu eti katoka dar SAA 9 alfajiri alafu saa moja asubuh yuko Dodoma huku ana ist aiseee
ist ina speed adi 180/hr..ila ukiiminya inaenda adi 160 bila wasiwasi.. Kwa mwendo wa kawaida dar to dodoma kukiwa hamna torch ni masaa 5..je ukiwa unaenda 140-150 haifiki..tena inawezekana akawahi ata zaidi ya hapo..au unaiangalia IST kwa jicho la hofu..me sio mpenzi wa toyota ila cku nilisafiri nacho nusu kanibadilishe mawazo.
 
Unajua nimegundua watanzania wengi ni wageni kwenye hii taluuma ya magari.
Toyota probox ni mashine hasa ,usikaone kadogo hako kagari .Unaweza kusafiri nako km 1600 huku kamebeba kg450 kwenye buti na abiria watano.
Hizo gari kigoma Zinapiga ruti sana Kasuli Kibondo na Kakonko. Wanazipenda sana
 
magri kuu kuu una uza...? yaliyo juu ya mawe... lakini yana weza fanya kazi yakitengenezwa... used land cruiser una uzaje...?
Nauza pia magari kuu kuu ila sio screpa ni yal ambayo unaweza kuyatumia bado yapo katika hali nzuri.kwa sasa sina land cruiser mkuu nina harrier old mode,noah new mode,rav4 kili time na nissan dualis mengine ni mapya chasis number.
 
Kumbe ni kweli " hakuna dreva mkweli "kuna jamaa katwambia humu eti katoka dar SAA 9 alfajiri alafu saa moja asubuh yuko Dodoma huku ana ist aiseee
Hizo ni safari zangu za kila ijumaa Dar to Mwanza na kurudi Jumatatu kuendelea na majukumu ya Magu sina haja ya kuongopea.
 
Mkuu upande wa speed haina max recomende au ukitaka kifuta mshale unamaliza tuu haina madhara maana
 
Mkuu upande wa speed haina max recomende au ukitaka kifuta mshale unamaliza tuu haina madhara maana
Speed kwa nchi yetu Tanzania ni 80kmph ndio inayoshauriwa kulingana na barabara zetu ijapokua unaweza kendesha hata speed 100 au zaidi kutegemea na dereva je unaweza kuimudu gari yako pindi linapotokea lolote la ghafla barabarani.
 
Samahani, naomba kujua IST inakula mafuta lita moja kwa km ngapi ???? Na MARK II GRAND inakula mafuta lita moja kwa km ngap ???? Asante
 
Samahani, naomba kujua IST inakula mafuta lita moja kwa km ngapi ???? Na MARK II GRAND inakula mafuta lita moja kwa km ngap ???? Asante
Ist lita moja inakwenda kuanzia km 16 hadi km 22 kulingana na service ya gari au ukiwasha ac. Na pia kama unaikanyagia sana ili achanganye mapema. Mark II grand inatumia lita 1 kwa km 9 mpaka km11. Kulingana na maelezo niliyotoa hapo juu.
 
Kwann DM haupatikani ???
 
Inatoboa kwenda na kurudi, Ila akikicha umefanya service kabla ya safari, cheki oil,kama ilitumika sana weka mpya kwa engine na transmission, na akikisha radiator imewekwa coolant ya kutosha , check tairi ,upepo na alignment..! Then off you go...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…