Je, TRA wamesikia kilio chetu cha Ushuru wa kuingiza magari?

Je, TRA wamesikia kilio chetu cha Ushuru wa kuingiza magari?

GeoMex

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
5,431
Reaction score
19,913
Inafurahisha kwakweli hii ndio Tanzania tunayoitaka. Gari sio anasa,gari ni chombo muhimu kurahisisha shughuli za kiuchumi. Naomba na marekebisho mengine kwenye kodi yawe hivi hivi.

Hii ni Ford Ranger kabla ya mwezi March.

Screenshot_20210414-205432.png


Mabadiliko kidogo yalifanyika lakini yana unafuu mkubwa. Hii hapa chini ni leo
Screenshot_20210414-205447.png
Screenshot_20210414-205456.png

Tofauti karibu Mil15 yote dah. Mama SSH asante sana. Sasa na mimi ntamiliki gari​
 
Wamepunguza kale ka levy ka mreli uchwara. Ila walipaswa wakaondoe kabisa maana huo mreli hata haueleweki!

Kodi ni ile ile (rates) ila kilichopungua ni custom value ya gari. Lakini ikitokea bei halisi utakayonunulia kuwa kubwa kuliko custom value, na kwa Ford Ranger ya 2018, inaweza kuwa kubwa, itatumika hiyo kukokotoa kodi.
 
Kwa nini?

Ni kwamba kati ya Watanzania takriban milioni 60, ni yeye tu mwenye kuiweza hiyo kazi mpaka alazimishwe kuifanya hata kama hataki?

Fikra dhaifu sana hizo katika karne hii ya 21!

Atake asitake mama tutamlazimisha ,Mbona JIWE msukuma mwenzenu hamkupinga hizo kauli? "SSH MIKUMI TENA".
 
Back
Top Bottom