Je, TRA wamesikia kilio chetu cha Ushuru wa kuingiza magari?

Je, TRA wamesikia kilio chetu cha Ushuru wa kuingiza magari?

Atake asitake mama tutamlazimisha ,Mbona JIWE msukuma mwenzenu hamkupinga hizo kauli? "SSH MIKUMI TENA".
 
Kwani wakati ule mungu wenu magufuli anaambiwa atake asitake mbona hukuja na swali hili ?
 
Kama ulipinga tangu enzi za JIWE basi kwa hapa huko sahihi.
Mzushi wewe!

 
Nimekupata mkuu ndio maana sikutaka kukupinga.
 
Inafurahisha kwakweli hii ndio Tanzania tunayoitaka. Gari sio anasa,gari ni chombo muhimu kurahisisha shughuli za kiuchumi. Naomba na marekebisho mengine kwenye kodi yawe hivi hivi.

Hii ni Ford Ranger kabla ya mwezi March
View attachment 1752100

Mabadiliko kidogo yalifanyika lakini yana unafuu mkubwa. Hii hapa chini ni leoView attachment 1752101View attachment 1752102
Tofauti karibu Mil15 yote dah. Mama SSH asante sana. Sasa na mimi ntamiliki gari
Tofauti ni kuwa moja ni cc 2000 to 2500cc na nyingine ni zaidi ya cc2501 . Hii tofauti kwa Import duty huongoza gharama ya uingizaji na maana hiyo gharama zote hubadilika. Labda uwe na maana nyingine.
 
Na miaka imetofautiana
Akili zenu ni ndogo sana, hizo cif za kwanza ni za kinyonyaji zilizopangwa na marehemu dikiteta magufuli, maza kaamua kushusha cif ili wanyonge tuvute ndinga za maana, cif sio bei za soko ni mabei ya tra hayo, mfano maza kashusha cif kutoka dola elf26 hadi elf 13, maana yake hata kama hiyo gari utanunua dola elf4 kikotoo cha tra kinaitambua ina thamani ya dola elf13 na tozo zake zitabase humohumo.
 
Tofauti ni kuwa moja ni cc 2000 to 2500cc na nyingine ni zaidi ya cc2501 . Hii tofauti kwa Import duty huongoza gharama ya uingizaji na maana hiyo gharama zote hubadilika. Labda uwe na maana nyingine.
Yaaani sijui watu mnachobisha ni nini wakuu.
Screenshot_20210414-230838_1618431314483.jpg

Screenshot_20210414-230847_1618430989576.jpg

Kikubwa kilichobadilika ni CIF(ambayo ni automatic wanaipanga TRA) bei uliyonunulia ikiwa chini wanakadiria hapo na ikiwa juu manaake wanachukua kwa bei yako halisi

Sasa haya makadirio ndio yaliyobadilika. Hadi nahisi wanaojibu hata hawajawahi kuagiza magari

Yaaani gari ya CC ndogo iwe bei kubwa kuliko ya CC kubwa??( kwa zile screenshots za mwanzoni)

Au mwingine anaongelea tofauti gari ya 2017 iwe na bei kubwa kuliko ya 2018 kweli😂😂

Haya hiyo hapo nimepigia hesabu gari ile ile CC zile zile nilizopigiwa hesabu mwezi February

Ze Dudu njoo unitake radhi
 
Kwa akili zako ndogo hujui hiyo cif imepangwa na tra sio bei ya soko, sokoni hilo gari unaweza kupata hata kwa dola elf 6 au bure kabisa, lkn ukiifikisha bongo tra watakupigia kwa cif hiyo waliyobuni wao!!
Yaaani watu in wabishi hata kwa wasioyajua(kuyaelewa) ili mradi aonekane kachangia tu

Nimecalculate upya kwa "Parameters" zile zile tena

Embu nisaidie kuwaelewesha
 
Kwa nini?

Ni kwamba kati ya Watanzania takriban milioni 60, ni yeye tu mwenye kuiweza hiyo kazi mpaka alazimishwe kuifanya hata kama hataki?

Fikra dhaifu sana hizo katika karne hii ya 21!
Hawa hawa mazwazwa walikua wanampigia debe Meko aongoze bila ukomo, Sijui akili zao saa zingine huwa wanazikodishaga wapi tu..
 
Gari aina moja. Kinachotozwa kodi ni Aina ya gari mkuu(nadhani) na pia kodi ya uchakavu(miaka 10) kwa hiyo hizi zote ziko kundi moja(ilipaswa kodi moja)
Si kweli, umri wa gari pia hitofautisha bei.
2017
 
Si kweli, umri wa gari pia hitofautisha bei.
2017
Ipi inakua na bei kubwa?? Kati ya 2018 na 2017???

Halafu rudia posti yangu namba moja

Halafu rudia posting yangu namba 60.
Njoo unijibu tena mkuu

Gari ya 2017 na 2018 haziwezi tofautiana kodi 10+ million Tsh. KAMWE

Ndomaana mimi mwanzoni mwa mwaka huu nilitaka kuagiza hiyo gari(2017) nikapiga hesabu nilipelea kama mil 12 hivi nikaweka pending. Leo nikaamua kutafuta ile gari tena, nikaipata(ila ya 2018) kuja TRA nikapiga hesabu naagiza vizuri ile gari(bila kuongeza) na chenji inarudi
 
Suzuki Jimny nimeangalia bado kodi iko pale pale. Hili toleo jipya kuanzia 2018 ~ 2021 kodi yake ni Tshs. 16,890,220.92 ~ 22,438,200.81.

Sijaona mabadiliko hapa labda wanachagua baadhi ya magari yanayoagizwa na kundi kubwa la watu.
 
Kwa nini?

Ni kwamba kati ya Watanzania takriban milioni 60, ni yeye tu mwenye kuiweza hiyo kazi mpaka alazimishwe kuifanya hata kama hataki?

Fikra dhaifu sana hizo katika karne hii ya 21!

Maraisi wote waliopita hakuna hata mmoja aliethubutu kushusha ushuru wa kuingiza magari nchini, kama yupo mtaje!
 
Back
Top Bottom