Yaaani sijui watu mnachobisha ni nini wakuu.
View attachment 1752226
View attachment 1752218
Kikubwa kilichobadilika ni CIF(ambayo ni automatic wanaipanga TRA) bei uliyonunulia ikiwa chini wanakadiria hapo na ikiwa juu manaake wanachukua kwa bei yako halisi
Sasa haya makadirio ndio yaliyobadilika. Hadi nahisi wanaojibu hata hawajawahi kuagiza magari
Yaaani gari ya CC ndogo iwe bei kubwa kuliko ya CC kubwa??( kwa zile screenshots za mwanzoni)
Au mwingine anaongelea tofauti gari ya 2017 iwe na bei kubwa kuliko ya 2018 kweli[emoji23][emoji23]
Haya hiyo hapo nimepigia hesabu gari ile ile CC zile zile nilizopigiwa hesabu mwezi February
Ze Dudu njoo unitake radhi