Kwa nini?Maza Atake asitake lazima aongezewe, akikataa alazimishwe yule. Suluhu mikumi tena.
Wamepunguza kale ka levy ka mreli uchwara. Ila walipaswa wakaondoe kabisa maana huo mreli hata haueleweki!Kwa nini?
Ni kwamba kati ya Watanzania takriban milioni 60, ni yeye tu mwenye kuiweza hiyo kazi mpaka alazimishwe kuifanya hata kama hataki?
Fikra dhaifu sana hizo katika karne hii ya 21!
Hao ni MATAGA na Sukuma gangKwani wakati ule mungu wenu magufuli anaambiwa atake asitake mbona hukuja na swali hili ?
Magu tu ndio alikua ana uwezo wa kuongoza wabongo mil 60.Kwa nini?
Ni kwamba kati ya Watanzania takriban milioni 60, ni yeye tu mwenye kuiweza hiyo kazi mpaka alazimishwe kuifanya hata kama hataki?
Fikra dhaifu sana hizo katika karne hii ya 21!
Mbona yule mungu wenu kiongozi wa malaika mlitaka atawale milele!!/Kwa nini?
Ni kwamba kati ya Watanzania takriban milioni 60, ni yeye tu mwenye kuiweza hiyo kazi mpaka alazimishwe kuifanya hata kama hataki?
Fikra dhaifu sana hizo katika karne hii ya 21!
Wasukuma msahau kushika madaraka makubwa ktk nchi hii,, tushapata somoUna uhakika???
Lake zone the king makersNyau ww, wasukuma msahau kushika madaraka makubwa ktk nchi hii,, tushapata somo
Wamepunguza kale ka levy ka mreli uchwara. Ila walipaswa wakaondoe kabisa maana huo mreli hata haueleweki!
Kwa nini?