Je, treni ya Gwajima inaenda mikoa ipi, na inapita njia gani?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Kwenye usiku wa kuuaga mwaka 2016 na kuukaribisha mwaka 2017, mtumishi wa Mungu, Askofu Gwajima kupitia madhabahu ya kanisa lake la Uzima na Ufufuo aliitangazia dunia kuwa kanunua treni yake, tena kanunua kwa pesa taslimu.

Ndugu Watanzania wenzangu, naomba kujulishwa hiyo treni wanapandia wapi? Je, inaenda mikoa gani? Je inatumia reli ipi?

Nawashukuru sana

Your browser is not able to display this video.
 
Nami nasubiri mrejesho.
 
Kuna wanasiasa wana tabia za malaya malaya in Nyerere 's voice
 
Hiyo ni ya kiroho zaid, muhuni kama ww huwez kujua wala kuiona[emoji44]
 
Gwajima sio mtu makini, hapaswi yeyote kumchukulia seriously!.
Hapo alikuwa anauunga mkono juhudi tu. Huoni bendera ya ya TZ hapo nyuma!
Sidhani kama hii bendera bado ipo madhabahuni!
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…