Je, treni ya Gwajima inaenda mikoa ipi, na inapita njia gani?

Je, treni ya Gwajima inaenda mikoa ipi, na inapita njia gani?

Itakua imekuja ila inapita angani ni sisi tu ndo hatuioni😂
 
Nyie ambao mmetembea nchi mbalimbali hasa za Ulaya na USA, je viongozi nao huko wanatoa ahadi halafu hawazitekelezi?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye usiku wa kuuaga mwaka 2016 na kuukaribisha mwaka 2017, mtumishi wa Mungu, Askofu Gwajima kupitia madhabahu ya kanisa lake la Uzima na Ufufuo aliitangazia dunia kuwa kanunua treni yake, tena kanunua kwa pesa taslimu.

Ndugu Watanzania wenzangu, naomba kujulishwa hiyo treni wanapandia wapi? Je, inaenda mikoa gani? Je inatumia reli ipi?

Nawashukuru sana

View attachment 2076485
Ila hapo kasema fedha ya kununua treni imepatikana na siyo kwamba ameshanunua. Labda kama aliongea zaidi na kusema kabisa kwamba ameshanunua.
 
Back
Top Bottom