Je, treni ya Gwajima inaenda mikoa ipi, na inapita njia gani?

Itakua imekuja ila inapita angani ni sisi tu ndo hatuioni😂
 
Nyie ambao mmetembea nchi mbalimbali hasa za Ulaya na USA, je viongozi nao huko wanatoa ahadi halafu hawazitekelezi?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ila hapo kasema fedha ya kununua treni imepatikana na siyo kwamba ameshanunua. Labda kama aliongea zaidi na kusema kabisa kwamba ameshanunua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…