Je Trump ana mpango wa kama aliomfanyia Maduro kwa Ali Khamenei wa Iran

Je Trump ana mpango wa kama aliomfanyia Maduro kwa Ali Khamenei wa Iran

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
1769960264562.png

Kama ilivyokuwa kwa kukamatwa kwa rais wa zamani wa Venezuela Nicholas Maduro, kwanza, Marekani ililpeleka meli zake za kivita karibu na Venezuela. Kwa sasa, meli hizo sasa ziko karibu na Irani. Je, Trump kanogewa na hivyo anataka kumnyakuwa ayatollah Ali Khamenei ili kuzidisha kutunisha misuli yake duniani?
1769960300155.png
 
View attachment 3537595
Kama ilivyokuwa kwa kukamatwa kwa rais wa zamani wa Venezuela Nicholas Maduro, kwanza, Marekani ililpeleka meli zake za kivita karibu na Venezuela. Kwa sasa, meli hizo sasa ziko karibu na Irani. Je, Trump kanogewa na hivyo anataka kumnyakuwa ayatollah Ali Khamenei ili kuzidisha kutunisha misuli yake duniani?
View attachment 3537596
Baada ya kumtoa Khamenei au kuuangusha utawala wa Iran ni nani atakayechukua nafasi yake?..
 
Ni mtoto wa Mfalme Mohamed Reza Pahlavi aliyepinduliwa na Ayatollah Khomeiny mwaka 1979. Kwa sasa anaishi Washington DC, kukubalika kwake ni chini ya 25% na wananchi wa Iran
Pahlavi hakupinduliwa na ayatollah bali CIA,MI 6,na shirika la ujasusi France
Ayatollah akili nyingi akawageuka
 
Kwa sasa Ayatollah haonekani hadharani. Mambo mengi yanasimamiwa na wasaidizi wake na mkuu wa majeshi.

Unakuwa kiongozi mkuu wa nchi halafu unaishi kama panyabuku.
 
Kwa sasa Ayatollah haonekani hadharani. Mambo mengi yanasimamiwa na wasaidizi wake na mkuu wa majeshi.

Unakuwa kiongozi mkuu wa nchi halafu unaishi kama panyabuku.
Wewe tangia umfahamu Ayatollah umewahi kumuona mara ngapi hadharani? Ayatollah sio Rais wa nchi yule! Yule sikuzote anaokana ijumaa mojamoja tu sio siku nyingine
 
Sema USA wanaweza wako sawa kwenye vikosi vyao kama wanamnyatia jamaa nyumbani kwake ntawakubali sana ila sidhani kama ni rahisi kihivyo kwa waajemi aisee yule Maduro analindwa na Wa Cuba watu wa jeshi lake waliuza password sio huyu mtata.
 
Back
Top Bottom