Je Trump ana mpango wa kama aliomfanyia Maduro kwa Ali Khamenei wa Iran

Pahlavi hakupinduliwa na ayatollah bali CIA,MI 6,na shirika la ujasusi France
Ayatollah akili nyingi akawageuka
Umechanganya mapinduzi ya kumuondoa Mohammed mosadegh ili kuwekwa Shah Mohammed Reza aliyekua kibaraka wa US/UK.

Khomeini aliingia baada ya maandamano ya kumkataa kibaraka wa USA sasa kivipi tena USA hiyo hiyo ifadhili mapinduzi ya mtu wake? Kumbuka khomeini aliunga mkono uvamizi wa ubalozi wa USA Tehran kivipi awe ally wao?
 
View attachment 3537595
Kama ilivyokuwa kwa kukamatwa kwa rais wa zamani wa Venezuela Nicholas Maduro, kwanza, Marekani ililpeleka meli zake za kivita karibu na Venezuela. Kwa sasa, meli hizo sasa ziko karibu na Irani. Je, Trump kanogewa na hivyo anataka kumnyakuwa ayatollah Ali Khamenei ili kuzidisha kutunisha misuli yake duniani?
View attachment 3537596
Waliwahi jaribu huko miaka ya 80 ila walipata aibu kubwa sana. Walikufa makomandoo 8 wa USA na bado mateka waliachiwa kwa mazungumzo maana solution ya kijeshi ilifeli vibaya sana.
 
Umechanganya mapinduzi ya kumuondoa Mohammed mosadegh ili kuwekwa Shah Mohammed Reza aliyekua kibaraka wa US/UK.

Khomeini aliingia baada ya maandamano ya kumkataa kibaraka wa USA sasa kivipi tena USA hiyo hiyo ifadhili mapinduzi ya mtu wake? Kumbuka khomeini aliunga mkono uvamizi wa ubalozi wa USA Tehran kivipi awe ally wao?
Marekani, uingereza na France makampuni yalikua yakichimba mafuta bila kulipa mirabaha stahiki, Pahlavi akawaambia sasa mtakipa mirabaha stahiki,ndiyo wazee wa BP,SHELL, EQUINOX wakakaa chini wakaona wamng'oe kupitia ayatollah itakua simple
Wakaingia mkataba na ayatollah, ayatollah akaingia Iran akitokea 'france' na ndege ya shirika la ufaransa alupokalia kiti, ayatollah akavunja makubaliano yote, ndiyo maana vikwazo vikaanza hapohapo
 
Je kuna viongozi wa iran wanaonunulika, ili kumdaka kirahisi vile lazima wanunue watu kadhaa, wapate urahisi
 
Marekani, uingereza na France makampuni yalikua yakichimba mafuta bila kulipa mirabaha stahiki, Pahlavi akawaambia sasa mtakipa mirabaha stahiki,ndiyo wazee wa BP,SHELL, EQUINOX wakakaa chini wakaona wamng'oe kupitia ayatollah itakua simple
Wakaingia mkataba na ayatollah, ayatollah akaingia Iran akitokea 'france' na ndege ya shirika la ufaransa alupokalia kiti, ayatollah akavunja makubaliano yote, ndiyo maana vikwazo vikaanza hapohapo
Umechanganya, aliyetaka hayo alikua Mohammed mosadegh actually alitaka kuyataifisha makampuni ya mafuta ya kigeni.
 
Attachments

  • Screenshot_2026-02-03-22-39-20-605.jpg
    Screenshot_2026-02-03-22-39-20-605.jpg
    170.8 KB · Views: 11
Back
Top Bottom