The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Hana jeuri hiyo!View attachment 3537595
Kama ilivyokuwa kwa kukamatwa kwa rais wa zamani wa Venezuela Nicholas Maduro, kwanza, Marekani ililpeleka meli zake za kivita karibu na Venezuela. Kwa sasa, meli hizo sasa ziko karibu na Irani. Je, Trump kanogewa na hivyo anataka kumnyakuwa ayatollah Ali Khamenei ili kuzidisha kutunisha misuli yake duniani?
View attachment 3537596
Baada ya kumtoa Khamenei au kuuangusha utawala wa Iran ni nani atakayechukua nafasi yake?..View attachment 3537595
Kama ilivyokuwa kwa kukamatwa kwa rais wa zamani wa Venezuela Nicholas Maduro, kwanza, Marekani ililpeleka meli zake za kivita karibu na Venezuela. Kwa sasa, meli hizo sasa ziko karibu na Irani. Je, Trump kanogewa na hivyo anataka kumnyakuwa ayatollah Ali Khamenei ili kuzidisha kutunisha misuli yake duniani?
View attachment 3537596
Prince Reza PahlaviBaada ya kumtoa Khamenei au kuuangusha utawala wa Iran ni nani atakayechukua nafasi yake?..
Anakubalika na raia wengi wa Iran?..Prince Reza Pahlavi
Ni mtoto wa Mfalme Mohamed Reza Pahlavi aliyepinduliwa na Ayatollah Khomeiny mwaka 1979. Kwa sasa anaishi Washington DC, kukubalika kwake ni chini ya 25% na wananchi wa IranAnakubalika na raia wengi wa Iran?..
Atakuwa mfalme au ?..
Pahlavi hakupinduliwa na ayatollah bali CIA,MI 6,na shirika la ujasusi FranceNi mtoto wa Mfalme Mohamed Reza Pahlavi aliyepinduliwa na Ayatollah Khomeiny mwaka 1979. Kwa sasa anaishi Washington DC, kukubalika kwake ni chini ya 25% na wananchi wa Iran
Kama wewe umeweza kujua hilo basi ni rahisi zaidi kukamatwa kwa kiongozi huyo.Yupo kwenye mahandaki yalipo chini ya bahari ni ngumu kumkamata
Alisikika mpuuzi mmoja kutoka Ushirombo AkisemaKwa sasa Ayatollah haonekani hadharani. Mambo mengi yanasimamiwa na wasaidizi wake na mkuu wa majeshi.
Unakuwa kiongozi mkuu wa nchi halafu unaishi kama panyabuku.
Wewe tangia umfahamu Ayatollah umewahi kumuona mara ngapi hadharani? Ayatollah sio Rais wa nchi yule! Yule sikuzote anaokana ijumaa mojamoja tu sio siku nyingineKwa sasa Ayatollah haonekani hadharani. Mambo mengi yanasimamiwa na wasaidizi wake na mkuu wa majeshi.
Unakuwa kiongozi mkuu wa nchi halafu unaishi kama panyabuku.
WataobakiBaada ya kumtoa Khamenei au kuuangusha utawala wa Iran ni nani atakayechukua nafasi yake?..