Je, tuendelee kuamini Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini?

Wapi huko kuna joto kali?

Kawiki kalikoishi kwetu imepiga mvua, sio kubwaa, sio ndogo.
Ila ni ile ya asbh mpaka usiku
 
Hao watu inatakiwa wafungwe na majabali halafu watupwe katikati ya bahari maana wamedanganya watu na wakulima wameweka mbegu zao ardhini halafu hakuna dalili ya mvua.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM walikuwa wanatafuta kupotezea dhoruba ya Deep World na hakuna lolote lililokuwa la ukweli hapo.
Hii ni Serikali ya waongo Tanzania.
 
Familia yangu inaishi bonde lenye uhatari wa mafuriko. Niliogopa sana. Namshukuru Mungu kama haitakuwepo. Tutahama miaka ijayo.
 
Huku imeanza leo imepiga kutwa nzima ajabu ukichimba chin na fito hata hapajaloa
 
Kuwa mpole...

Ila Hana bondeni mkuu.. usije juta.
 
We hohehahe wa kisayansi, hujui kuwa joto na unyevu(humidity) ndivyo vinatengeneza mvua?
 
Kuna watu wanakatiana viwanja mbugani na kwenye mapitio ya majii mie nawaangalia tu ngoja Ije
 
Hata na wao hawana uhakika ila jiandaeni
 
Mkuu hilo joto kali ndio kiashiria chenyewe sasa cha mvua nyingi inayoenda kushuka, hilo fukuto linatokana na jua kupiga sana na hatimaye kukusanya maji ya kutosha yanayoevaporate kutoka kwenye miti, bahari, mito, maziwa, et al, ambayo yanaenda kuwa condensed huko juu na kutengeneza mawingu ya kutosha ambayo yatasababisha hizo mvua nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…